GE2025 CCM vita ya kuwania kuteuliwa kugombea ubunge inaweza kuwafanya wakaumizana sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Hali ni ngumu sana ndani ya ccm kwenye vita ya kinyang'anyiro cha kuteuliwa kugombea ubunge ma sidhani kama majeraha yatapona baada ya uchaguzi kama utakuwepo bila kujali kama watashinda ama la
Vita vyao wenyewe kwa wenyewe vinafunua siri nyingi sana za huko nyuma .. Ni faida ya baadae huko mbeleni kwenye ushahidi nk
Matumizi makubwa ya rushwa.. Kutamalaki kwa ushirikina na mbinu nyingine chafu ni mambo yanayoendelea kuanikwa kipindi hiki
Nitawaletea taarifa mbalimbali kadiri zinatavyokuwq zinatolewa na wahusika
 
Mnatumia Sime, bodySpray kuumiza watu, kuua watu ili fulani awe mbunge. Chaguzi za namna hii zitavuruga amani tuliyonayo
Your browser is not able to display this video.
 
Mwaka huu wanaumbuka sana. Kila kilicho gizani kitaonekana kwenye mwanga, CCM imekufa vibaya sana.
No Reforms, No elections.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…