GE2025 CCM vita ya kuwania kuteuliwa kugombea ubunge inaweza kuwafanya wakaumizana sana

GE2025 CCM vita ya kuwania kuteuliwa kugombea ubunge inaweza kuwafanya wakaumizana sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi ni kweli waislam ni wapumbavu!!???
Au ni baadhi ya waislam?
Kuamini muhammad ni mtume wa mungu wa kweli ...hiyo ni dosari ya wazi kwenye ubongo ndiyo maana unawaona wanashindwa kujibu swali langu "shetani ibilisi ni dini gani,
 
acha yauane
Hali ni ngumu sana ndani ya ccm kwenye vita ya kinyang'anyiro cha kuteuliwa kugombea ubunge ma sidhani kama majeraha yatapona baada ya uchaguzi kama utakuwepo bila kujali kama watashinda ama la
Vita vyao wenyewe kwa wenyewe vinafunua siri nyingi sana za huko nyuma .. Ni faida ya baadae huko mbeleni kwenye ushahidi nk
Matumizi makubwa ya rushwa.. Kutamalaki kwa ushirikina na mbinu nyingine chafu ni mambo yanayoendelea kuanikwa kipindi hiki
Nitawaletea taarifa mbalimbali kadiri zinatavyokuwq zinatolewa na wahusikaView attachment 3389
 

 
IMG-20250701-WA0053.jpg
 
Hivi Job D Mzee wa Nazaleti ndo safari yake kisiasa wameikatisha kabisa - sijasikia mambo ya form so for.
Ila kushi CCM kunahitaji uwe na uchawa wa hali ya juu sana hata Mzee Gwaji Boy amegoma kabisa kumpigia magoti malkia - hio ndiyo unanamume.
 
 
 
Kumeanza kuchangamka, walikuwa wapi miaka 5 yote
 
Back
Top Bottom