GE2025 CCM vita ya kuwania kuteuliwa kugombea ubunge inaweza kuwafanya wakaumizana sana

GE2025 CCM vita ya kuwania kuteuliwa kugombea ubunge inaweza kuwafanya wakaumizana sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Waislam na upumbavu ni damu damu ....ndiyo wanao tuchelewesha kufikia maendeleo ya kweli
Upumbavu ni hali ya mtu kukosa hekima na maarifa juu ya kile anachokitamka. Kielelezo ni hii kauli uliyoitoa
 
wakuu nimeizoom hiyo fomu pichani kwanini imeandikwa hivyo eti "FOMU YA MAOMBI YA KUGOMBEA NAFASI YA UONGOZI KATIKA VYOMBO VYA DOLA" sijaelewa kivipi yaani..wakati hizo ni fomu za kuwania ubunge huko CCM sasa why iwe vyombo vya dola.?
Hahahaha.. Wane hang any okie a hawa majizi
 
Waislam na upumbavu ni damu damu ....ndiyo wanao tuchelewesha kufikia maendeleo ya kweli
Hivi ni kweli waislam ni wapumbavu!!???
Au ni baadhi ya waislam?
 
Hali ni ngumu sana ndani ya ccm kwenye vita ya kinyang'anyiro cha kuteuliwa kugombea ubunge ma sidhani kama majeraha yatapona baada ya uchaguzi kama utakuwepo bila kujali kama watashinda ama la
Vita vyao wenyewe kwa wenyewe vinafunua siri nyingi sana za huko nyuma .. Ni faida ya baadae huko mbeleni kwenye ushahidi nk
Matumizi makubwa ya rushwa.. Kutamalaki kwa ushirikina na mbinu nyingine chafu ni mambo yanayoendelea kuanikwa kipindi hiki
Nitawaletea taarifa mbalimbali kadiri zinatavyokuwq zinatolewa na wahusikaView attachment 3389105
Tunakushukuru sana kada wa CHADEMA kwa kufuatilia mambo ya CCM. Hakika CCM ni zaidi ya maji. Hakuna ujinga wa no reform hadi uchaguzi upite. Kwa sasa makada wa CHADEMA mnafanya uchambuzi wa siasa za CCM na kuachana na upuuzi wa NRNE
 
😄😄😄 hapa ni mwendo wa tawire tuu... wakishashinda wanakuja na bra bra kibao kuwa "Tulifunga na kuomba mimi na mke wangu Mungu anajibu maombi" tumtegemee Mungu.
 
wakuu nimeizoom hiyo fomu pichani kwanini imeandikwa hivyo eti "FOMU YA MAOMBI YA KUGOMBEA NAFASI YA UONGOZI KATIKA VYOMBO VYA DOLA" sijaelewa kivipi yaani..wakati hizo ni fomu za kuwania ubunge huko CCM sasa why iwe vyombo vya dola.?
Kuna hilo jimbo ambalo wagombea hutokea kwenye vyombo vya dola
 
Back
Top Bottom