CCM waanza kuchukua namba za NIDA za wananchi, Msajiri wa vyama vya siasa ameruhusu hili?

CCM waanza kuchukua namba za NIDA za wananchi, Msajiri wa vyama vya siasa ameruhusu hili?

Inaandikisha kadi za chama kwa mfumo upi? Kama ni Electronic wanatumia NIDA
 
Mbona hiyo ni kawaida kila ukikaribia uchaguzi mkuu?
Mimi mwaka 2015 alikuja mjumbe akataka namba zangu eti tutapewa kipaumbele kwenye kupewa kitambulisho cha mpiga kura nilikataa alikasirika sana nikahama na mtaa kabisa.
 
Ccm siyo chama cha siasa, ni kikundi cha kigaidi.

Waacheni wachukuwe hizo data hawa unawanyonga kwenye sanduku la kura tu.

Hizo data hazina maana yoyote watu wenye akili wanachaguwa mtu wanayemtaka na siyo kuchaguwa vyama.
 
Hii mbona imeanza ina kama week kadhaa? Mtaani kweyu walipita kama week mbili nyuma, wamekusanya za kutosha tu hadi aibu.
 
Kuna mjumbe wa mtaa wangu leo aliniambia CCM inaandikisha kadi za chama na pia inachukua namba za NIDA!

Nani ameruhusu zoezi hili?
CCM ni Chama dola, Taasisi zote zipo chini ya CCM.. ikiamua inaweza kupiga simu moja hapo NIDA makao makuu na kutumiwa taarifa zozote za Raia wanayemhitaji..

Bora uulize kwa makini kwanini wanafanya hivyo NIDA zinaenda kutumika wapi?.

Kama ni mfumo wa KUJISAJIRI katika app ya CCM hapo sawa.. kama ni nje na matumizi hayo kuna kila sababu ya kuhoji ni si lazima ni hiari
 
Sidhani kama ni rahisi hivyo kupata taarifa za watu kutoka NIDA, ingekuwa rahisi hivyo tusingekuwa tunasumbuliwa na kupeleka copy za vitambulisho ofisi mbalimbali za serikali. Pia unapaswa ufahamu uchaguzi ni suala la kwenye mtaa/kijiji na raia huwa wanahama mitaa au vijiji.
 
Back
Top Bottom