CCM waanza kuchukua namba za NIDA za wananchi, Msajiri wa vyama vya siasa ameruhusu hili?

CCM waanza kuchukua namba za NIDA za wananchi, Msajiri wa vyama vya siasa ameruhusu hili?

CCM ni Chama dola, Taasisi zote zipo chini ya CCM.. ikiamua inaweza kupiga simu moja hapo NIDA makao makuu na kutumiwa taarifa zozote za Raia wanayemhitaji..

Bora uulize kwa makini kwanini wanafanya hivyo NIDA zinaenda kutumika wapi?.

Kama ni mfumo wa KUJISAJIRI katika app ya CCM hapo sawa.. kama ni nje na matumizi hayo kuna kila sababu ya kuhoji ni si lazima ni hiari
Uko sawa wewe! Unatska kutuaminisha wanaweza kupiga simu JF na wakapewa taarifa zako! Naona unahitaji ushauri nasaha.
 
Ccm siyo chama cha siasa, ni kikundi cha kigaidi.

Waacheni wachukuwe hizo data hawa unawanyonga kwenye sanduku la kura tu.

Hizo data hazina maana yoyote watu wenye akili wanachaguwa mtu wanayemtaka na siyo kuchaguwa vyama.
Hujui madhara yake,

Ukitoa namba, wanakwenda kutengeneza kituo Cha wapiga kura hewa,

Wote mliotoa namba, mtakuta mmeshapigishwa kura. Hiyo ni Moja kati ya Mbinu za wizi wa kura.

Una HAKI ya kumtimua kiongozi wa namna hiyo nyumbani kwako.
 
Ccm siyo chama cha siasa, ni kikundi cha kigaidi.

Waacheni wachukuwe hizo data hawa unawanyonga kwenye sanduku la kura tu.

Hizo data hazina maana yoyote watu wenye akili wanachaguwa mtu wanayemtaka na siyo kuchaguwa vyama.
Ukiwapa hicho kitambulisho chako ndio umeshauza kura yako so siku unapokwenda kupiga kura zile sanduku za kura zilizopigwa tayari zinakuja na kura yako imeshapigwa na taarifa zako tayari zimesharekodiwa.

Yaani ni sawa na mtu kwenda kuombea mkopo kitambulisho chako ukiwa kama mdhamini wake na hauji. Ila alikuja kukuomba kitambulisho chako.
 
Sijawahi fikiria kumiliki kitambulisho cha uanachama wa cha siasa maishani mwangu.
Ninachoamini wengi wa wana vyama hutumika kama daraja la kupitia wenye vyama hivyo.
 
Back
Top Bottom