Nchi Hii Sheria Hazifuatwi Ni Wanyonge Tu Watakaoonewa Muda WoteKuna mjumbe wa mtaa wangu leo aliniambia CCM inaandikisha kadi za chama na pia inachukua namba za NIDA!
Nani ameruhusu zoezi hili?
Uko sawa wewe! Unatska kutuaminisha wanaweza kupiga simu JF na wakapewa taarifa zako! Naona unahitaji ushauri nasaha.CCM ni Chama dola, Taasisi zote zipo chini ya CCM.. ikiamua inaweza kupiga simu moja hapo NIDA makao makuu na kutumiwa taarifa zozote za Raia wanayemhitaji..
Bora uulize kwa makini kwanini wanafanya hivyo NIDA zinaenda kutumika wapi?.
Kama ni mfumo wa KUJISAJIRI katika app ya CCM hapo sawa.. kama ni nje na matumizi hayo kuna kila sababu ya kuhoji ni si lazima ni hiari
Wameanza na kukusanya na NIDA? Mi najua huwa wanakusanya kadi za kupiga kura kumbe sasa hadi NIDA hatari sanaKuna mjumbe wa mtaa wangu leo aliniambia CCM inaandikisha kadi za chama na pia inachukua namba za NIDA!
Nani ameruhusu zoezi hili?
Hujui madhara yake,Ccm siyo chama cha siasa, ni kikundi cha kigaidi.
Waacheni wachukuwe hizo data hawa unawanyonga kwenye sanduku la kura tu.
Hizo data hazina maana yoyote watu wenye akili wanachaguwa mtu wanayemtaka na siyo kuchaguwa vyama.
Hao wako mbele ya muda,Wameanza na kukusanya na NIDA? Mi najua huwa wanakusanya kadi za kupiga kura kumbe sasa hadi NIDA hatari sana
Maana kuhusu Kadi za mpiga kura niliandika hapa -- Usimuuzie wala kumgawia mtu kadi yako ya kupigia kura
Ni eneo gani huko Mkuu?
Ukiwapa hicho kitambulisho chako ndio umeshauza kura yako so siku unapokwenda kupiga kura zile sanduku za kura zilizopigwa tayari zinakuja na kura yako imeshapigwa na taarifa zako tayari zimesharekodiwa.Ccm siyo chama cha siasa, ni kikundi cha kigaidi.
Waacheni wachukuwe hizo data hawa unawanyonga kwenye sanduku la kura tu.
Hizo data hazina maana yoyote watu wenye akili wanachaguwa mtu wanayemtaka na siyo kuchaguwa vyama.
Wanawaambia watu kuwa kadi za Nida hazitatumika tena na kadi za CCM zitawawezesha kuingia Zanzibar bila pasipoti!Wameanza na kukusanya na NIDA? Mi najua huwa wanakusanya kadi za kupiga kura kumbe sasa hadi NIDA hatari sana
Maana kuhusu Kadi za mpiga kura niliandika hapa -- Usimuuzie wala kumgawia mtu kadi yako ya kupigia kura
Ni eneo gani huko Mkuu?
Mkuu achana nao hao. Hata ukiwaelewesha hawaelewi.Inaandikisha kadi za chama kwa mfumo upi? Kama ni Electronic wanatumia NIDA
Ni kweli kabisa.Hapa nilipo foleni na wasio na kadi walete hata namba za NIDA>Hakuna kitu kama hiko. Nida ni sensitive information