CCM waanza mchakato wa kumshughulikia Luhanga Mpina, awasili mbele ya kamati ya maadili CCM

Kilichopo ni maslahi na makundi ndani ya chama... Kundi litakaloshinda nguvu ndio mtu wao atatolewa ama atabakishwa... Naijua ccm nje ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umekula maharage ya wapi leo mbona unaota mchana kweupe? Au umekula kitu ya Arusha?
 
CHADEMA watampokea na kumteua kuwa mjumbe wa kamati kuu kama ilivyokuwa kwa Lowassa na Sumaye.
 
Kweeli CCM imekaribia...........................
Yaani mtu anaewasaidia kujirekebisha mnamfukuza!?!
Yaani wanataka machawa ya kusifia tu!
 
Mkuu umekula maharage ya wapi leo mbona unaota mchana kweupe? Au umekula kitu ya Arusha?
Mimi sio kondoo kama wewe; huoni kondoo wenye kupata akili wamezinduka kufanywa kitega uchumi!
As long as huyo mjasiliamali wenu ataendelea kuwa Mwenyekiti wenu hamfiki mbali; mtabaki kuwa saccos yake. Ndio maana wenye akili wanaangalia viable options za kupata chama kingine makini. Huo ndio utakuwa mwisho wa siasa za ubabaishaji.
 
Hakuna uhakika 100%. Tusubiri kwanza. Hivi ni kwanini mtu yeyote anayetetea maslahi na rasimali za taifa anaonekana ni CHADEMA? Hivi huko kwenye vyama vingine hakuna wazalendo?
hili ndio swali la msingi, Jibu lake NDIO
 


Kufika kwenye maamuzi chadema sio kazi rahisi
 
Jibu swali kwanza. Kwanini mtu yeyote anayetetea maslahi ya wanyonge na rasilimali za taifa anahusishwa na CHADEMA?
 
upinzani siyo uhasimu na CCM haiogopi wapinzani, sera za CCM ni pamoja na kujikosoa na kuchagiza maendeleo. wapinza wanakaribishwa sana katika hoja zenye kulinda tunu za Taifa letu si kupinga tu ilimradi kupinga, Mama ameachana na siasa za maji Taka amewapa nafasi Muandamane lakini mwisho wa siku Nchi ni yetu wote. na maendeleo ya mtu binafsi yanabakikatika jukumu lake.
 
Huna lolote wewe.unawashwa na mambo usiyoyajua.unaokoteza stori za vijiweni unakuja kuropokea uku.Usifikiri watu wote ni wajinga.mbowe atatoka muda ukifika sio kwasababu ya nyie kunguni mnaosumbuliwa na chuki.
 
Possibly itakuwa CHADEMA kwa sababu baadhi ya wazalendo na wana intelejensia wanadai kuwa Mpina ni kada wa CHADEMA aliyetumwa kuingia ndani ya CCM kimkakati ili kukipeleleza chama hicho.
Hatumtaki chadema, huyu mnafiki tu abaki huko huko kwa mafisadi wenzake.
 
Wapumbavu sana ccm. Yan hata huoni wakihoji kama anavyosema ni kweli au laah ila tu sababu anaongelea maswala ya maslai yao binafsi basi amekuwa tatizo kwao, ccm ni wabinafsi haijawah tokea duniani hapa, ccm wanapenda wainba mapambio tu
 
Mpina ni jitu la hovyo sana.

Afukuzwe tu. Amefilisi wavuvi kwa kuwachomea nyavu na pia kuwaomba rushwa wakati akiwa waziri anayeshughulikia uvuvi
 
Kwangu Mpina ndiye aliyekuwa mtu sahihi wa kuchukua fomu! Ni chapa ya Mwendazake!
Lakini ili asijimalize kabisa kisiasa ni vizuri aombe radhi abakie CCM! Asithubutu kwenda chama kingine, ajifunze kwa waliofanya hivyo wako wapi?
Huwezi ukapambana na CCM ukaweza! Iwe ndani au nje!
Nchi ni ya CCM, Vyombo vya Ulinzi na Usalama ni vya CCM, Serikali na taasisi zake ni za CCM!
Ataenda wapi? Atafanya nini?
 
Mkuu umeongea vema lakini naomba nikukumbushe kwamba hii hoja haihusu maandamano na utengamano bali inahusu CCM kumfukuza Luhanga Mpina baada ya kuonekana anatetea maslahi ya umma na rasilimali za taifa.
 
Hatumtaki chadema, huyu mnafiki tu abaki huko huko kwa mafisadi wenzake.
Kwanini ACT msimpokee akagombee urais 2025? Hamuoni kwamba baada ya kufukuzwa tayari ameishapata umaarufu mtakaoutumia kama kete ya ushindi?
 
Give us a break tuko bizee tunafanya postmoterm ya maandamano ya Jana 24th Jan.
Kama kina Mh Mdee waliweza kwenda Mahakamani wakabakia na ubunge wao,huyu Bwana Mpina naye aende huko huko.
YA NGOSO TUMUACHIE NGOSO
 
Nadhani lengo ni kumuonya aache utunzi wake wa mambo ya kufirika, asipojirekebisha aelewe kinachofuata wanamtimua.
Mkuu are you serious? Ufisadi wa trilion 2 aliofanya Mwigulu kwenye SGR na uuzaji wa nchi kwa waarabu wa DP World ni mambo ya kufikirika? Kuwa serious walau kidogo basi. Mbona watu mnakosa uchungu na rasilimali za taifa kiasi hiki?
 
Mpina huyu huyu aliyechoma nyavu na vifaranga na kupima urefu samaki waliopikwa!

Kulanina zake.[emoji20]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…