Mawazo ya kipuuzi kama haya yako ndiyo yanaifanya CCM iendelee kubaki madarakani na kutafuna rasilimali za taifa. Ni lini watanzania mtaamka kutoka usingizini?Kwangu Mpina ndiye aliyekuwa mtu sahihi wa kuchukua fomu! Ni chapa ya Mwendazake!
Lakini ili asijimalize kabisa kisiasa ni vizuri aombe radhi abakie CCM! Asithubutu kwenda chama kingine, ajifunze kwa waliofanya hivyo wako wapi?
Huwezi ukapambana na CCM ukaweza! Iwe ndani au nje!
Nchi ni ya CCM, Vyombo vya Ulinzi na Usalama ni vya CCM, Serikali na taasisi zake ni za CCM!
Ataenda wapi? Atafanya nini?
Mkuu nakuomba urejee kwenye mada. Hapa hatuongei juu ya samaki na vifaranga bali tunaongea juu ya CCM kumfukuza Mpina kwa sababu ya kuetetea rasilimali za taifa.Mpina huyu huyu aliyechoma vifaranga na kupima samaki waliopikwa?
Kulanina zake.[emoji20]
Ukiwa mtu wa haki hutakiwi ndani ya CCMMawazo ya kipuuzi kama haya yako ndiyo yanaifanya CCM iendelee kubaki madarakani na kutafuna rasilimali za taifa. Ni lini watanzania mtaamka kutoka usingizini?
Hakuna mtetezi hapo ni "sizitaki mbichi hizi" tu.Mkuu nakuomba urejee kwenye mada. Hapa hatuongei juu ya samaki na vifaranga bali tunaongea juu ya CCM kumfukuza Mpina kwa sababu ya kuetetea rasilimali za taifa.
Inashangaza sana. Siku zote huwa najiuliza kwanini CCM hawawapendi watu wanaotetea rasimali za taifa na ustawi wa wananchi sipati jibu. Mtu yeyote akiwa mtetezi wa haki, huhusishwa na CHADEMA. Hivi huko CCM hakuna watu wenye uchungu na rasilimali za umma? Wao wapo tu kutetea matumbo yao binafsi bila kujali maendeleo ya wanachi? CCM ni majitu ya ovyo sana aisee!Ukiwa mtu wa haki hutakiwi ndani ya CCM
Kuwa CCM lazima uwe kati ya wauza unga, mirungi, tapeli, mwizi, jangili, mshirikina, muongo, mvivu au jambazi.Inashangaza sana. Siku zote huwa najiuliza kwanini CCM hawawapendi watu wanaotetea rasimali za taifa na ustawi wa wananchi? Mtu yeyote akiwa mtetezi wa haki, huhusishwa na CHADEMA. Hivi huko CCM hakuna watu wenye uchungu na rasilimali za umma? Wao wapo tu kutetea matumbo yao binafsi bila kujali maendeleo ya wanachi? CCM ni majitu ya ovyo sana aisee!
Anachosema ni uongo ama ni ukweli?Hakuna mtetezi hapo ni "sizitaki mbichi hizi" tu.
Wewe kondoo huna akili hujui kitu!! Hawezi kutoka kwasababu analında Saccos ya mkwewe! Uko ndoo wako ndio umekupofusha! Huoni wala husikii.Huna lolote wewe.unawashwa na mambo usiyoyajua.unaokoteza stori za vijiweni unakuja kuropokea uku.Usifikiri watu wote ni wajinga.mbowe atatoka muda ukifika sio kwasababu ya nyie kunguni mnaosumbuliwa na chuki.
Kuwa CCM lazima uwe kati ya wauza unga, mirungi, tapeli, mwizi, jangili, mshirikina, muongo, mvivu au jambazi.
Mkuu hivi kwanini unapenda kumchokoza Moderator kwa kutoa lugha za matusi? Akikikupiga ban utasema kakuonea?Wewe kondoo huna akili hujui kitu!! Hawezi kutoka kwasababu analında Saccos ya mkwewe! Uko ndoo wako ndio umekupofusha! Huoni wala husikii.
Aige mtindo wa Gwajima alivyoitwa na kamati ya bunge!!Mpina Kama uko jf. Ukiitwa kwenye hicho kikao Cha michongo epuka kula zile refreshments na kunywa maji, hata ikibidi usitumie Mike.
Trillion mbili maana yake Mwigulu ni dollar billionaire kwa hela hiyo anaingia kwenye exclusive club ya watu 3000 plus pekee duniani wenye kufikia iko kiwango cha hela na kuvuka.Mkuu are you serious? Ufisadi wa trilion 2 aliofanya Mwigulu kwenye SGR na uuzaji wa nchi kwa waarabu wa DP World ni mambo ya kufikirika? Kuwa serious walau kidogo basi. Mbona watu mnakosa uchungu na rasilimali za taifa kiasi hiki?
Unless wewe mwenyewe ni moderatör!! Siku hizi kuna options nyingi za kufikisha ujumbe! Au hujui mambo ya AI? PoleMkuu hivi kwanini unapenda kumchokoza Moderator kwa kutoa lugha za matusi? Akikikupiga ban utasema kakuonea?
Hapa tunazungumza juu ya kufukuzwa kwa Mpina. Naomba ujikite kwenye mada husika usituletee mada mpya ambayo haihusiani na mada iliyo hewani.
Kwani Chadema Wana sera za kupima samaki kwa rula? Halafu je, CHADEMA Wana sera za kuchoma moto nyavu za wavuvi?Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, habari kutoka ndani ya CCM zinabainisha kuwa CCM wameishaanza mchakato wa kumfukuza uanachama mbunge wa Kisesa, ndugu Luhanga Mpina.
View attachment 2882194
Inasemekana kabla mama hajasafiri kwenda Indonesia alitoa maagizo kwamba akirudi asikumkute Mpina bado akiwa ndani ya CCM. Sababu za kufukuzwa ndugu Mpina hazijawekwa wazi lakini kwa siku za hivi karibuni Mpina amekuwa mwiba mkali kwa mafisadi na chawa wanaofisadi na kuuza rasilimali za taifa kwa wageni huku wananchi wakiendelea kutopea kwenye umaskini na huduma mbovu za jamii.
Habari zaidi zinasema kabla ya kufukuzwa ndugu Mpina atapewa nafasi ya kujitetea mbele ya kamati maalumu ya CCM iliyoteuliwa na Rais kushughulikia suala hili ambalo wao wameliita "tatizo la kinidhamu ndani ya chama". Haikuweza kufahamika mara moja kamati hiyo inaundwa na akina nani lakini chanzo kingine kutoka CCM kinadai katika kamati hiyo wamo Kinana, Makonda, Yusufu Makamba na wazee wengine mashuhuri wa CCM.
MAONI YANGU
Kufukuzwa kwa Mpina kutoka CCM kulikuwa dhahiri tangu alipoanza kuwavalia njuga mafisadi, wauza nchi na chawa wanaotafuna rasilimali za nchi bila kuhojiwa. Hili lilikolezwa na msimamo wake dhabiti wa kupinga uuzaji wa bandari kwa waarabu wa DP World.
Jambo ambalo mpaka sasa haliko dhahiri ni kwamba je akifukuzwa CCM atahamia chama gani? Possibly itakuwa CHADEMA kwa sababu baadhi ya wazalendo na wana intelejensia wanadai kuwa Mpina ni kada wa CHADEMA aliyetumwa kuingia ndani ya CCM kimkakati ili kukipeleleza chama hicho.
Lakini mpaka sasa hakuna mwenye uhakika 100% kuhusu chama ambacho mpina atatimkia ili kimteue kugombea kwenye uchaguzi mkuu 2025 pindi akitupiwa virago na CCM. Huenda hata akuibukia ACT-Wazalendo. You never know but time will tell. Let us wait until the end of the movie.
Pia soma:
1. Tetesi: - Wabunge washauri Luhaga Mpina afukuzwe CCM
2. Tetesi: - Karibu CHADEMA Luhaga Mpina, Kazi tulikutuma CCM umeitendea haki.
Asiende CDM aanzishe chama chake aungane na smart boy MbatiaPossibly itakuwa CHADEMA kwa sababu baadhi ya wazalendo na wana intelejensia wanadai kuwa Mpina ni kada wa CHADEMA aliyetumwa kuingia ndani ya CCM kimkakati ili kukipeleleza chama hicho.