CCM waanza mchakato wa kumshughulikia Luhanga Mpina, awasili mbele ya kamati ya maadili CCM

Watu kama wewe mnaotetea wizi wa rasilimali za umma, with baseless facts, ndio mnaosababisha ufisadi uendelee kutamalaki katika nchi hii. Ukute wewe ni Mwigulu unajitetea kwa kutumia fake ID.
 
Watu kama wewe mnaotetea wizi wa rasilimali za umma with baseless facts. ndio mnasababisha ufisadi uendelee kutamalaki katika nchi hii. Ukute wewe ni Mwigulu unajitetea kwa kutumia fake ID.

We unashangaa kuongezeka kwa trillion mbili tu.

Soma hiyo article waingereza walikuwa na mradi wa high speed railway umbali wake ni mdogo sana kulinganisha na SGR ya Tanzania.

Budget ya mradi wakati bunge linaridhia 2009 ilikuwa £37.5 billion, wamesuasua wametaka kuufufua 2020 gharama yake with inflation adjustment mradi huo huo £106 billlion; imebidi serikali uufute rasmi hawana hela ya kupeleka huko kwa sasa.

Mengi yametokea baada ya COVID kwenye uchumi wa dunia to do with inflation, pamoja na hayo hizo phase za SGR pia hazipiti njia tambarare kila phase ina changamoto zake za kuchonga njia. Kwa hivyo average cost per/km ya phases ni rahisi sana kupishana.

Ni hivi Mpina hakuweza ku-justify hoja zake wala report ya CAG iliyoongelea ongezeko la hizo gharama aina justifiable details za ongezeko zaidi ya mention tu. Serikali imelitolea maelezo ya kina isipokuwa kama ilivyo adha yetu watanzania tukiamua kuamini kitu, hata tuelimishwe vipi hatutaki kuelewa somo.

Ni kawaida sana kwenye large infrastructure projects duniani ambao ujenzi wake ni wa miaka mingi kuongezeka kwa gharama zaidi ya budget yake ya mwanzo (with justifications).
 
Hii hoia yako ni dhaifu sana ndugu Mwigulu. Kwani hamkufanya feasibility study? Costs zenu zilibase kwenye nini ikiwa hili halikufanyika? Ni mwehu pekee anayeweza kukubaliana na hoja hii ya kimchongo.
#Bringbackourmoney#
 
Kwanini ulikimbia mdahalo na Mpina sasa unakuja hapa mitandaoni kulialia? Wewe mwizi tu.
#Bringbackourmoney#
 
Chadema twende na mpina 2025 atavusha salamaa.
 
Ni kawaida sana kwenye large infrastructure projects duniani ambao ujenzi wake ni wa miaka mingi kuongezeka kwa gharama zaidi ya budget yake ya mwanzo (with justifications).
Andiko la mradi wa SGR halikuzingatia hizi projections wala SWOT analysis? Acha kuudanganya umma mkuu. Mungu anakuona.
 
Hii hoia yako ni dhaifu sana ndugu Mwigulu. Kwani hamkufanya feasibility study? Costs zenu zilibase kwenye nini ikiwa hili halikufanyika? Ni mwehu pekee anayeweza kukubaliana na hoja hii ya kimchongo.
#Bringbaclourmoney#

Hiyo ni bei ya Iron Ore (raw material). Kutoka 2018 mradi ulipoanza ilikuwa $70 leo $120 per/kg (ongezeko la $50), hiyo tu inaongeza average costs ya mradi.

Halafu hiki kipindi uko kwenye nchi zinazo influence bei ya chuma sasa kuna retraction kwenye chumi zao demand ya iron ore imepungua ndio bei hiyo. Uchumi wao ukianza kuchangamka hiyo bei itapanda tena.

Moreover baada ya covid wakati Report ya CAG inatoka bei ya chuma ilikuwa $160 ni more than $90 dollar.

Bado ujaweka gharama za kupanda kwa nishati ya umeme, mafuta, insurance costs ya meli, increased shipping costs na mambo mengine mengi.

Ni hivi to justify huo ni ufisadi inabidi ufanye breakdown ya costs, si ajabu mkandarasi wa kituruki sasa hivi hana faida kwa sababu bei yake ilikuwa chini sana ndio maana hiyo kampuni huko kwao sasa hivi inaelekea kwenye bankruptcies.
 
Hii hoia yako ni dhaifu sana ndugu Mwigulu. Kwani hamkufanya feasibility study? Costs zenu zilibase kwenye nini ikiwa hili halikufanyika? Ni mwehu pekee anayeweza kukubaliana na hoja hii ya kimchongo.
#Bringbaclourmoney#
Sina sababu ya kutetea jitu jizi kama Mwigulu.

But then also siafiki kitu ambacho unjustifiable kama hoja za Mpina ni mambo anayojitungia tu.
 
Andiko la mradi wa SGR halikuzingatia hizi projections wala SWOT analysis? Acha kuudanganya umma mkuu. Mungu anakuona.

Hayo planning ni story nyingine ndefu.

Until later mchana mwema.

👋
 
Ashukuru Mungu kuwa CCM ni wavumilivu huyu angestahili awe ameshafukuzwa siku nyingi saana
 
Cdm wasikosee ikitokea lolote huko ccm na kumpa nafasi yoyote ya uongozi. Hao wahuni huwa wanakuja na hizo mbinu za kizamani wakidhani watawapoteza cdm. Cdm wanapaswa kujifunza kwa kosa la Lowassa, Nyalandu nk.
Kwa CDM wanaweza pata wapi viongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…