Kwa kuwa tunajadili mambo yahuduyo DP world, tunakumbushana kuwa mpangilio mbaya wa maneno unabadilisha kabisa maana iliyokusudiwa.makaadi, masaburi, makalio, manundu, msambwanda, zigo, yote ni matako tu.
Ndicho hicho kinachowauma. Huoni wazee kanisa hususan lile la mambo yaleee, walivyokuja juu?Waislamu wameingiaje hapo ?
Mbona mwapenda kujivua nguo na kuonekana ni mijitu ya ovyoo?
Ulielewa alichokisema Chongolo au unakurupuka tu?.Chongolo shikilia hapo hapo.
CCMM ktk ilani ya 2020 haikuruhusu bandari zote za bara kugawiwa Bure wageni na kumnyang'anya wazawa fursa zote za kiuchumi.
UKWELI wako, hata kama unaongeza joto ktk suala hili, lakini utalisaidia Taifa kuondokana na uchuro huu!!
Hatutakubali!!!
Dah!Na unaweza kwenda shule, na akili ukaziacha nyumbani vile vile. .
Usisahau Hilo pia.
Chongolo amesema Kweli tupu,
Aungwe mkono.
Mlihadaa watu Eti mkataba ni dar pekee Gati no 5 Hadi 7 kumbe UONGO!!!
Tangu lini waislame wmekua waongo hivi?
Sawa nendeni mkafanye ufisadi wenu vizuri kwenye ofisi mlizofungua Dubai!Sisi na Samia.
Kuelimika/kuwa msomi kwa baadhi ya watu ni "kutopima samaki kwa rula wakiwa wamepikwa."wapo wanao kuona na wewe ujaelimika pia
Wasomi .... kwa makaratasi walio nayo au utaalamu walionao kielimu? Kina Dr Nanihii wapo wengi zaidi awamu hii pia ... hata mwendokasi inatushinda kuendesha kweli?Unahisi serikali hii na Ile ipi inawasomi zaidi?
Ni ndugu katika uislam.Sisi na Samia.
Mtafute mzee Halima muyajenge.Wakuu nina majonzi;
Crush wangu leo kavishwa pete ya uchumba na mwanaume wake.... nimehuzunika sana. Nifanyeje? Au nimpigie mpenzi wangu nimwombe ushauri?
Siasa za bongo kichefu chefu.Unaweza kusoma lakini usielemike, kama Magufuli.
Wasomi wa Tanzania ni utumbo kama yule aliyekwenda bungeni kuwapima samaki waliopikwa kwa ruler.
Sasa huyo 'msomi" kaelimika kweli?
Ndiyo walewale.Siasa za bongo kichefu chefu.
Hivi ulitaka awapime na nini, micrometer screw gauge, Vernier caliper, slide rule, flight computer. tape measure au theodolite?
Akiwapima wabichi au waliopikwa what's the difference?
Pale unachukua sample space samaki wachache randomly , unawapima kisha wanakuwa discarded siyo lazima waliwe tena.
Hiyo ni sawa tu na Tanroads wanapokata (haribu) kipande cha lami kuangalia ubora kama unene wa layers za material ya ujenzi wa barabara ya lami (tarmac road).
Ruler ndiyo ilikuwa kipimo cha haraka, rahisi na nafuu kwa pale.
Vipimo vingine vyovyote vya fish size vingekuwa expensive na siyo vya haraka.
Kabisa tena. Uislam ni mwema sana.Ni ndugu katika uislam.
Hebu tuangalie ujinga unaofanywa na wenye elimu ya kuunga unga hata kudangaya hawaweziTatizo siyo "wasomi" , uliza ni wepi walioelimika siyo wepi waliosoma.
Unadhani Magufuli angedanganya uongo uu wa DP world. Angekuja na mbinu ya kisomiUnaweza kusoma lakini usielemike, kama Magufuli.
Wasomi wa Tanzania ni utumbo kama yule aliyekwenda bungeni kuwapima samaki waliopikwa kwa ruler.
Sasa huyo 'msomi" kaelimika kweli?
Mpo hoi hadi watoto wa shule wanawashangaa yaani mkataba upo na bado mnatetea 🤣🤣🤣
Unaweza kusoma lakini usielemike, kama Magufuli.
Wasomi wa Tanzania ni utumbo kama yule aliyekwenda bungeni kuwapima samaki waliopikwa kwa ruler.
Sasa huyo 'msomi" kaelimika kweli?
Angalia msimamo yangu post zangu toka hata simjui Magufuli.Bila shaka Magufuli alikuacha na mimba, unajionaga wewe ndio mjuaji wa kila kitu...umevumbua nini na kuelimika kwako?
Punguza utoto tafadhali.Wakuu nina majonzi;
Crush wangu leo kavishwa pete ya uchumba na mwanaume wake.... nimehuzunika sana. Nifanyeje? Au nimpigie mpenzi wangu nimwombe ushauri?