Siasa za bongo kichefu chefu.
Hivi ulitaka awapime na nini, micrometer screw gauge, Vernier caliper, slide rule, flight computer. tape measure au theodolite?
Akiwapima wabichi au waliopikwa what's the difference?
Pale unachukua sample space samaki wachache randomly , unawapima kisha wanakuwa discarded siyo lazima waliwe tena.
Hiyo ni sawa tu na Tanroads wanapokata (haribu) kipande cha lami kuangalia ubora kama unene wa layers za material ya ujenzi wa barabara ya lami (tarmac road).
Ruler ndiyo ilikuwa kipimo cha haraka, rahisi na nafuu kwa pale.
Vipimo vingine vyovyote vya fish size vingekuwa expensive na siyo vya haraka.