CCM wajifunze sasa waachane na viongozi wenye utata kwenye matokeo ya elimu na wenye utata wa vyeti

CCM wajifunze sasa waachane na viongozi wenye utata kwenye matokeo ya elimu na wenye utata wa vyeti

makaadi, masaburi, makalio, manundu, msambwanda, zigo, yote ni matako tu.
Kwa kuwa tunajadili mambo yahuduyo DP world, tunakumbushana kuwa mpangilio mbaya wa maneno unabadilisha kabisa maana iliyokusudiwa.
 
Waislamu wameingiaje hapo ?
Mbona mwapenda kujivua nguo na kuonekana ni mijitu ya ovyoo?
Ndicho hicho kinachowauma. Huoni wazee kanisa hususan lile la mambo yaleee, walivyokuja juu?

Mwinyi zilitumika nguvu kubwa kumpinga, Kikwete hali kadhalika, sasa mama Samia ni yaleyale. Lakini SAllah alishasema w"wao wana panga lakini mbora wa wapangaji ni Allah".

Unajuwa hili la kupingwa Waislam ni kheri kubwa sana, kwani linawafanya wafikie viwango ambavyo wengine hawaviwezi na wala havioti. (Way above average).

Unajuwa Mama Samia ndani miaka yake miwili, kajenga madarasa mengi kuliko aliyowacha mkoloni, Nyerere, Mwinyi na Mkapa kwa pamoja. Kaweka idadi ya madarasa aliyowaweka Kikwete pekee kwa miaka 10.
 
Chongolo shikilia hapo hapo.

CCMM ktk ilani ya 2020 haikuruhusu bandari zote za bara kugawiwa Bure wageni na kumnyang'anya wazawa fursa zote za kiuchumi.

UKWELI wako, hata kama unaongeza joto ktk suala hili, lakini utalisaidia Taifa kuondokana na uchuro huu!!

Hatutakubali!!!
Ulielewa alichokisema Chongolo au unakurupuka tu?.
 
Na unaweza kwenda shule, na akili ukaziacha nyumbani vile vile. .

Usisahau Hilo pia.

Chongolo amesema Kweli tupu,

Aungwe mkono.

Mlihadaa watu Eti mkataba ni dar pekee Gati no 5 Hadi 7 kumbe UONGO!!!

Tangu lini waislame wmekua waongo hivi?
Dah!

Hilo la "Uislam" ungeliweka pembeni. Dini hiyo au nyingineyo haina mchango wowote katika jambo kama hili. Usitishike na "ulevi" wa hawa wanaoigiza ukadhani ni wafuasi wa dini yoyote.
Wengi wa hao waigizaji ni mashetani kwenye viwiliwili vya binaadam
 
wapo wanao kuona na wewe ujaelimika pia
Kuelimika/kuwa msomi kwa baadhi ya watu ni "kutopima samaki kwa rula wakiwa wamepikwa."

Elimu ya hawa inakomea hapo.

Hawajui kwamba hata kama samaki kapikwa anaweza akapimwa na kulinganishwa na yule ambaye hajapikwa.
Hilo kwa hawa watu wanaliona haliwezekani kabisa, kumbe kisayansi ni jambo la kawaida kabisa.
 
Unaweza kusoma lakini usielemike, kama Magufuli.

Wasomi wa Tanzania ni utumbo kama yule aliyekwenda bungeni kuwapima samaki waliopikwa kwa ruler.

Sasa huyo 'msomi" kaelimika kweli?
Siasa za bongo kichefu chefu.
Hivi ulitaka awapime na nini, micrometer screw gauge, Vernier caliper, slide rule, flight computer. tape measure au theodolite?
Akiwapima wabichi au waliopikwa what's the difference?
Pale unachukua sample space samaki wachache randomly , unawapima kisha wanakuwa discarded siyo lazima waliwe tena.
Hiyo ni sawa tu na Tanroads wanapokata (haribu) kipande cha lami kuangalia ubora kama unene wa layers za material ya ujenzi wa barabara ya lami (tarmac road).
Ruler ndiyo ilikuwa kipimo cha haraka, rahisi na nafuu kwa pale.
Vipimo vingine vyovyote vya fish size vingekuwa expensive na siyo vya haraka.
 
Ndiyo walewale.

Point siyo kuwapima vipi, ni wapi? Kwanini asiende huko wanakovuliwa?

Tanroads wanakwenda bungeni kupima barabara zao?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Unaweza kusoma lakini usielemike, kama Magufuli.

Wasomi wa Tanzania ni utumbo kama yule aliyekwenda bungeni kuwapima samaki waliopikwa kwa ruler.

Sasa huyo 'msomi" kaelimika kweli?
Unadhani Magufuli angedanganya uongo uu wa DP world. Angekuja na mbinu ya kisomi
 
Bila shaka Magufuli alikuacha na mimba, unajionaga wewe ndio mjuaji wa kila kitu...umevumbua nini na kuelimika kwako?
Unaweza kusoma lakini usielemike, kama Magufuli.

Wasomi wa Tanzania ni utumbo kama yule aliyekwenda bungeni kuwapima samaki waliopikwa kwa ruler.

Sasa huyo 'msomi" kaelimika kweli?
 
Bila shaka Magufuli alikuacha na mimba, unajionaga wewe ndio mjuaji wa kila kitu...umevumbua nini na kuelimika kwako?
Angalia msimamo yangu post zangu toka hata simjui Magufuli.
 
Back
Top Bottom