Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
- Thread starter
-
- #61
Misikiti ipi Sasa kila kanisa Lina historia ya ujenzi. Wakati wa waarabu Dar es salaam hakuwepo. Mambo yalikuwa bagamoyo. Ukoloni ndio umejenga makanisa.Haswaaaa, kama ulikuwepo. Misikiti ya pale seafront yote iligeuzwa makanisa.
Misikiti ipi Sasa kila kanisa Lina historia ya ujenzi. Wakati wa waarabu Dar es salaam hakuwepo. Mambo yalikuwa bagamoyo. Ukoloni ndio umejenga makanisa.
Nawew uanjionaga una point kumbe debe tupu na chuki binafs inakuteza popote ulipoUnaweza kusoma lakini usielemike, kama Magufuli.
Wasomi wa Tanzania ni utumbo kama yule aliyekwenda bungeni kuwapima samaki waliopikwa kwa ruler.
Sasa huyo 'msomi" kaelimika kweli?
Duh wee ndio think tank la waislamu inchniNdicho hicho kinachowauma. Huoni wazee kanisa hususan lile la mambo yaleee, walivyokuja juu?
Mwinyi zilitumika nguvu kubwa kumpinga, Kikwete hali kadhalika, sasa mama Samia ni yaleyale. Lakini SAllah alishasema w"wao wana panga lakini mbora wa wapangaji ni Allah".
Unajuwa hili la kupingwa Waislam ni kheri kubwa sana, kwani linawafanya wafikie viwango ambavyo wengine hawaviwezi na wala havioti. (Way above average).
Unajuwa Mama Samia ndani miaka yake miwili, kajenga madarasa mengi kuliko aliyowacha mkoloni, Nyerere, Mwinyi na Mkapa kwa pamoja. Kaweka idadi ya madarasa aliyowaweka Kikwete pekee kwa miaka 10.
Kaz gani huyu mama ameweza kufanya kazi zote Ni za jemedari wetu magufuli ,magufuli for live viwango vyake havikamatiki Wala Hakuna atakae weza kumfikiaa magu.Ndicho hicho kinachowauma. Huoni wazee kanisa hususan lile la mambo yaleee, walivyokuja juu?
Mwinyi zilitumika nguvu kubwa kumpinga, Kikwete hali kadhalika, sasa mama Samia ni yaleyale. Lakini SAllah alishasema w"wao wana panga lakini mbora wa wapangaji ni Allah".
Unajuwa hili la kupingwa Waislam ni kheri kubwa sana, kwani linawafanya wafikie viwango ambavyo wengine hawaviwezi na wala havioti. (Way above average).
Unajuwa Mama Samia ndani miaka yake miwili, kajenga madarasa mengi kuliko aliyowacha mkoloni, Nyerere, Mwinyi na Mkapa kwa pamoja. Kaweka idadi ya madarasa aliyowaweka Kikwete pekee kwa miaka 10.
Kama nape kumbe ni failure alipata IV 29Sakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini.
Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini.
Kumuunga mkono Rais ni kuachana na watu ambao wanautata na matokeo ya chuo, utata wa elimu ya sekondari, na utata wa vyeti.
Mimi mtazamo wangu CCM haipendi wasomi kabisa hata pale ambapo marehemu Magufuli alipokumbatia wasomi alibezwa sana.
Nimekaa hapa na kutathimini matukio ya viongozi wenye utata kwenye CV yao. Inasikitisha kabisa. Matukio ya ajabu na maelekezo ya ajabu ajabu hayana kichwa wala miguu. Dharau kupiliza kwa masikini na watu wasiyojiweza.
Mimi nawaomba watanzania tuwaorodhese wanaccm wote wenye utata wa elimu na matokeo ya elimu kwanzia elimu ya Awali hadi chuo kikuu.
Orodhaa hii iambatane na matukio ya kusikisha ya waliyofanya wakiwa madarakani.
ChongoloUlielewa alichokisema Chongolo au unakurupuka tu?.
Chongolo anafahamu nini kuhusu mkataba, analeta maneno matupu haonyeshi yameandikwa wapi katika mkataba kwa sababu wamezoea kuwaongopea wananchiTunzeni na huko juu
Jiwe alikuwa na elimu ya magumashiSakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini.
Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini.
Kumuunga mkono Rais ni kuachana na watu ambao wanautata na matokeo ya chuo, utata wa elimu ya sekondari, na utata wa vyeti.
Mimi mtazamo wangu CCM haipendi wasomi kabisa hata pale ambapo marehemu Magufuli alipokumbatia wasomi alibezwa sana.
Nimekaa hapa na kutathimini matukio ya viongozi wenye utata kwenye CV yao. Inasikitisha kabisa. Matukio ya ajabu na maelekezo ya ajabu ajabu hayana kichwa wala miguu. Dharau kupiliza kwa masikini na watu wasiyojiweza.
Mimi nawaomba watanzania tuwaorodhese wanaccm wote wenye utata wa elimu na matokeo ya elimu kwanzia elimu ya Awali hadi chuo kikuu.
Orodhaa hii iambatane na matukio ya kusikisha ya waliyofanya wakiwa madarakani.
Jjiwe alikuwa shhetaniKaz gani huyu mama ameweza kufanya kazi zote Ni za jemedari wetu magufuli ,magufuli for live viwango vyake havikamatiki Wala Hakuna atakae weza kumfikiaa magu.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hahahahaha huyu alikupa Hadi Time ya ukweli! Dadeeeeki!Unaweza kusoma lakini usielemike, kama Magufuli
wote ni walewaleUnahisi serikali hii na Ile ipi inawasomi zaidi?
Samia Hadi 2049 inshallahSawa nendeni mkafanye ufisadi wenu vizuri kwenye ofisi mlizofungua Dubai!
Nawaona nawaonaNdicho hicho kinachowauma. Huoni wazee kanisa hususan lile la mambo yaleee, walivyokuja juu?
Mwinyi zilitumika nguvu kubwa kumpinga, Kikwete hali kadhalika, sasa mama Samia ni yaleyale. Lakini SAllah alishasema w"wao wana panga lakini mbora wa wapangaji ni Allah".
Unajuwa hili la kupingwa Waislam ni kheri kubwa sana, kwani linawafanya wafikie viwango ambavyo wengine hawaviwezi na wala havioti. (Way above average).
Unajuwa Mama Samia ndani miaka yake miwili, kajenga madarasa mengi kuliko aliyowacha mkoloni, Nyerere, Mwinyi na Mkapa kwa pamoja. Kaweka idadi ya madarasa aliyowaweka Kikwete pekee kwa miaka 10.
Itakuwa hivyo kama mko na Mungu la sivyo hizo ni ndoto za alinacha! Mungu hawatetei mafisadi!!Samia Hadi 2049 inshallah
Halafu wabongo ni watu wa kusahau haraka na kufata upepo... Leo hii washasahau aloyafanya huyo mpima samakiUnaweza kusoma lakini usielemike, kama Magufuli.
Wasomi wa Tanzania ni utumbo kama yule aliyekwenda bungeni kuwapima kwa rula samaki waliopikwa.
Sasa huyo 'msomi" kaelimika kweli?
Tatizo lilikuwa kubwa zaidi pale Magufuli alipoingia madarakani na PhD fakeSakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini.
Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini.
Kumuunga mkono Rais ni kuachana na watu ambao wanautata na matokeo ya chuo, utata wa elimu ya sekondari, na utata wa vyeti.
Mimi mtazamo wangu CCM haipendi wasomi kabisa hata pale ambapo marehemu Magufuli alipokumbatia wasomi alibezwa sana.
Nimekaa hapa na kutathimini matukio ya viongozi wenye utata kwenye CV yao. Inasikitisha kabisa. Matukio ya ajabu na maelekezo ya ajabu ajabu hayana kichwa wala miguu. Dharau kupiliza kwa masikini na watu wasiyojiweza.
Mimi nawaomba watanzania tuwaorodhese wanaccm wote wenye utata wa elimu na matokeo ya elimu kwanzia elimu ya Awali hadi chuo kikuu.
Orodhaa hii iambatane na matukio ya kusikisha ya waliyofanya wakiwa madarakani.
Huo mstari wa mwisho nimejikuta nacheka tuMlihadaa watu Eti mkataba ni dar pekee Gati no 5 Hadi 7 kumbe UONGO!!!
Tangu lini waislame wmekua waongo hivi?
Hata kama alipima samaki , hayo yanahusiana vipi na ufisadi wa kutia saini uuzwaji wa Bandari kwa waarabu?Halafu wabongo ni watu wa kusahau haraka na kufata upepo... Leo hii washasahau aloyafanya huyo mpima samaki
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Bandari imepigwa beiHata kama alipima samaki , hayo yanahusiana vipi na ufisadi wa kutia saini uuzwaji wa Bandari kwa waarabu?