Ndicho hicho kinachowauma. Huoni wazee kanisa hususan lile la mambo yaleee, walivyokuja juu?
Mwinyi zilitumika nguvu kubwa kumpinga, Kikwete hali kadhalika, sasa mama Samia ni yaleyale. Lakini SAllah alishasema w"wao wana panga lakini mbora wa wapangaji ni Allah".
Unajuwa hili la kupingwa Waislam ni kheri kubwa sana, kwani linawafanya wafikie viwango ambavyo wengine hawaviwezi na wala havioti. (Way above average).
Unajuwa Mama Samia ndani miaka yake miwili, kajenga madarasa mengi kuliko aliyowacha mkoloni, Nyerere, Mwinyi na Mkapa kwa pamoja. Kaweka idadi ya madarasa aliyowaweka Kikwete pekee kwa miaka 10.