CCM wajifunze sasa waachane na viongozi wenye utata kwenye matokeo ya elimu na wenye utata wa vyeti

Haswaaaa, kama ulikuwepo. Misikiti ya pale seafront yote iligeuzwa makanisa.
Misikiti ipi Sasa kila kanisa Lina historia ya ujenzi. Wakati wa waarabu Dar es salaam hakuwepo. Mambo yalikuwa bagamoyo. Ukoloni ndio umejenga makanisa.
 
Unaweza kusoma lakini usielemike, kama Magufuli.

Wasomi wa Tanzania ni utumbo kama yule aliyekwenda bungeni kuwapima samaki waliopikwa kwa ruler.

Sasa huyo 'msomi" kaelimika kweli?
Nawew uanjionaga una point kumbe debe tupu na chuki binafs inakuteza popote ulipo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ndicho hicho kinachowauma. Huoni wazee kanisa hususan lile la mambo yaleee, walivyokuja juu?

Mwinyi zilitumika nguvu kubwa kumpinga, Kikwete hali kadhalika, sasa mama Samia ni yaleyale. Lakini SAllah alishasema w"wao wana panga lakini mbora wa wapangaji ni Allah".

Unajuwa hili la kupingwa Waislam ni kheri kubwa sana, kwani linawafanya wafikie viwango ambavyo wengine hawaviwezi na wala havioti. (Way above average).

Unajuwa Mama Samia ndani miaka yake miwili, kajenga madarasa mengi kuliko aliyowacha mkoloni, Nyerere, Mwinyi na Mkapa kwa pamoja. Kaweka idadi ya madarasa aliyowaweka Kikwete pekee kwa miaka 10.
Duh wee ndio think tank la waislamu inchni

Kaz gani huyu mama ameweza kufanya kazi zote Ni za jemedari wetu magufuli ,magufuli for live viwango vyake havikamatiki Wala Hakuna atakae weza kumfikiaa magu.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini.

Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini.

Kumuunga mkono Rais ni kuachana na watu ambao wanautata na matokeo ya chuo, utata wa elimu ya sekondari, na utata wa vyeti.
Mimi mtazamo wangu CCM haipendi wasomi kabisa hata pale ambapo marehemu Magufuli alipokumbatia wasomi alibezwa sana.

Nimekaa hapa na kutathimini matukio ya viongozi wenye utata kwenye CV yao. Inasikitisha kabisa. Matukio ya ajabu na maelekezo ya ajabu ajabu hayana kichwa wala miguu. Dharau kupiliza kwa masikini na watu wasiyojiweza.

Mimi nawaomba watanzania tuwaorodhese wanaccm wote wenye utata wa elimu na matokeo ya elimu kwanzia elimu ya Awali hadi chuo kikuu.

Orodhaa hii iambatane na matukio ya kusikisha ya waliyofanya wakiwa madarakani.
Kama nape kumbe ni failure alipata IV 29
Ulielewa alichokisema Chongolo au unakurupuka tu?.
Chongolo
Tunzeni na huko juu
Chongolo anafahamu nini kuhusu mkataba, analeta maneno matupu haonyeshi yameandikwa wapi katika mkataba kwa sababu wamezoea kuwaongopea wananchi
 
Sakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini.

Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini.

Kumuunga mkono Rais ni kuachana na watu ambao wanautata na matokeo ya chuo, utata wa elimu ya sekondari, na utata wa vyeti.
Mimi mtazamo wangu CCM haipendi wasomi kabisa hata pale ambapo marehemu Magufuli alipokumbatia wasomi alibezwa sana.

Nimekaa hapa na kutathimini matukio ya viongozi wenye utata kwenye CV yao. Inasikitisha kabisa. Matukio ya ajabu na maelekezo ya ajabu ajabu hayana kichwa wala miguu. Dharau kupiliza kwa masikini na watu wasiyojiweza.

Mimi nawaomba watanzania tuwaorodhese wanaccm wote wenye utata wa elimu na matokeo ya elimu kwanzia elimu ya Awali hadi chuo kikuu.

Orodhaa hii iambatane na matukio ya kusikisha ya waliyofanya wakiwa madarakani.
Jiwe alikuwa na elimu ya magumashi
 
Ndicho hicho kinachowauma. Huoni wazee kanisa hususan lile la mambo yaleee, walivyokuja juu?

Mwinyi zilitumika nguvu kubwa kumpinga, Kikwete hali kadhalika, sasa mama Samia ni yaleyale. Lakini SAllah alishasema w"wao wana panga lakini mbora wa wapangaji ni Allah".

Unajuwa hili la kupingwa Waislam ni kheri kubwa sana, kwani linawafanya wafikie viwango ambavyo wengine hawaviwezi na wala havioti. (Way above average).

Unajuwa Mama Samia ndani miaka yake miwili, kajenga madarasa mengi kuliko aliyowacha mkoloni, Nyerere, Mwinyi na Mkapa kwa pamoja. Kaweka idadi ya madarasa aliyowaweka Kikwete pekee kwa miaka 10.
Nawaona nawaona
images.jpg
 
Unaweza kusoma lakini usielemike, kama Magufuli.

Wasomi wa Tanzania ni utumbo kama yule aliyekwenda bungeni kuwapima kwa rula samaki waliopikwa.

Sasa huyo 'msomi" kaelimika kweli?
Halafu wabongo ni watu wa kusahau haraka na kufata upepo... Leo hii washasahau aloyafanya huyo mpima samaki

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Sakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini.

Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini.

Kumuunga mkono Rais ni kuachana na watu ambao wanautata na matokeo ya chuo, utata wa elimu ya sekondari, na utata wa vyeti.
Mimi mtazamo wangu CCM haipendi wasomi kabisa hata pale ambapo marehemu Magufuli alipokumbatia wasomi alibezwa sana.

Nimekaa hapa na kutathimini matukio ya viongozi wenye utata kwenye CV yao. Inasikitisha kabisa. Matukio ya ajabu na maelekezo ya ajabu ajabu hayana kichwa wala miguu. Dharau kupiliza kwa masikini na watu wasiyojiweza.

Mimi nawaomba watanzania tuwaorodhese wanaccm wote wenye utata wa elimu na matokeo ya elimu kwanzia elimu ya Awali hadi chuo kikuu.

Orodhaa hii iambatane na matukio ya kusikisha ya waliyofanya wakiwa madarakani.
Tatizo lilikuwa kubwa zaidi pale Magufuli alipoingia madarakani na PhD fake
 
Job Ndugai kasema ukweli kwenye negotiations na mambo muhimu ya kitaifa ni vyema kupeleka watu waliojizatiti vyema kielimu,maadili,watu wanaoweza kushauri bila kuegemea maslahi ya mtu wala watu.CCM inapeleka watu 0 darasani,wenye njaa kupindukia,watu ambao ni chawa na sio washauri matokeo yake ni kama haya ya DP world
 
Back
Top Bottom