CCM wajifunze sasa waachane na viongozi wenye utata kwenye matokeo ya elimu na wenye utata wa vyeti

Pointless.
Huoni point kwasababu ubongo wako umebanwa sehemu Moja. Umefungwa kwenye kamba fupi ya dini unakula hapo hapo huwezi kwenda popote mpaka ukate kamba ukale Majani ya mbali na hapo
 
Unaweza kusoma lakini usielemike, kama Magufuli.

Wasomi wa Tanzania ni utumbo kama yule aliyekwenda bungeni kuwapima kwa rula samaki waliopikwa.

Sasa huyo 'msomi" kaelimika kweli?
Hapo Vipi . Hawa ndo tunaowategemea waivushe Tanganyika katika lindi la umasikini.

 
Nadhani tuongelee Hekima na Busara maana Nchi hii haina wasomi na serikali yenyewe imekiri haina watu wa kusimamia Mambo muhimu ndo maana inaleta washikaji toka Bara Arab. Wanaoitwa wasomi nchi hii ni vituko kamili wala huwezi kudhani walikaa chuo kikuu zaidi ya miaka 5. Maprofesa Wana maamuzi mabovu kuliko Wenye diploma, Madokta Wana maamuzi ya ovyo kuliko certificate holders.
 
Nimekuja Dar kijitonyama yote ni majaruba ya mpunga.
Ok, ulikuja Dar ukitokea wapi
 
makaadi, masaburi, makalio, manundu, msambwanda, zigo, yote ni matako tu.
FaizaFoxy nikukumbushe jambo moja. Kuna watanzania wana tabia ya kuwaunga mkono viongozi kwa kila wanalofanya. Leo hii wewe unamuunga mkono rais Samia kwa anayoyafanya kuhusu bandari, LAKINI NAKUHAKIKISHIA, WEWE HUYO HUYO PAMOJA NA WENZIO MNAOTETEA SANA BANDARI KUPEWA DPW, SIKU MAMA AKIAMUA KUSITISHA SUALA ZIMA LA BANDARA, UTARUDI HAPA KUMSIFIA KWAMBA MAMA NI MSIKIVU..!! Time will tell..!!
 
Bunge la mbunge kujua na kusoma bila elimu ya juu ni shida. Miaka 60 ya uhuru bado tunaendekeza wabunge wa ngumbaru. Tuamkeni
 
K

Ukiwa vizuri kichwani hupendwi popote hata sumu utapewa
 
Kujibu maswali ya density na electrolysis yanahusiana vipi na uwezo wa kuongoza,u-genius!?
Sasa kama umesoma hujui umuhimu electrolysis. Kwa taarifa electrolysis ndio kila kitu kwenye ulimwengu wa design ya kila kitu. Utakuwaje Rais hujui vitu. Empty kitu kichwani. Si utadanganywa kila kitu
 
Sasa kama umesoma hujui umuhimu electrolysis. Kwa taarifa electrolysis ndio kila kitu kwenye ulimwengu wa design ya kila kitu. Utakuwaje Rais hujui vitu. Empty kitu kichwani. Si utadanganywa kila kitu
Wewe ufahamu wako ukoje!?..Mimi nimeongelea umuhimu wa electrolysis!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…