CCM wajifunze sasa waachane na viongozi wenye utata kwenye matokeo ya elimu na wenye utata wa vyeti

Pointless.
Huoni point kwasababu ubongo wako umebanwa sehemu Moja. Umefungwa kwenye kamba fupi ya dini unakula hapo hapo huwezi kwenda popote mpaka ukate kamba ukale Majani ya mbali na hapo
 
Unaweza kusoma lakini usielemike, kama Magufuli.

Wasomi wa Tanzania ni utumbo kama yule aliyekwenda bungeni kuwapima kwa rula samaki waliopikwa.

Sasa huyo 'msomi" kaelimika kweli?
Hapo Vipi . Hawa ndo tunaowategemea waivushe Tanganyika katika lindi la umasikini.

Screenshot_20230717-090003.jpg
 
Sakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini.

Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini.

Kumuunga mkono Rais ni kuachana na watu ambao wanautata na matokeo ya chuo, utata wa elimu ya sekondari, na utata wa vyeti.
Mimi mtazamo wangu CCM haipendi wasomi kabisa hata pale ambapo marehemu Magufuli alipokumbatia wasomi alibezwa sana.

Nimekaa hapa na kutathimini matukio ya viongozi wenye utata kwenye CV yao. Inasikitisha kabisa. Matukio ya ajabu na maelekezo ya ajabu ajabu hayana kichwa wala miguu. Dharau kupiliza kwa masikini na watu wasiyojiweza.

Mimi nawaomba watanzania tuwaorodhese wanaccm wote wenye utata wa elimu na matokeo ya elimu kwanzia elimu ya Awali hadi chuo kikuu.

Orodhaa hii iambatane na matukio ya kusikisha ya waliyofanya wakiwa madarakani.
Nadhani tuongelee Hekima na Busara maana Nchi hii haina wasomi na serikali yenyewe imekiri haina watu wa kusimamia Mambo muhimu ndo maana inaleta washikaji toka Bara Arab. Wanaoitwa wasomi nchi hii ni vituko kamili wala huwezi kudhani walikaa chuo kikuu zaidi ya miaka 5. Maprofesa Wana maamuzi mabovu kuliko Wenye diploma, Madokta Wana maamuzi ya ovyo kuliko certificate holders.
 
1300 kulikuwa Kuna mji mkubwa

Hukusoma wewe hata darasa Moja.
Kuna mji maarufu kabla ya bagamoyo upo Katibu na kilwa ulizama baharini unaitwa Rhapta.
Hii Dar es salaam ilikuwa yote ni mikoko na mashamba mpaka pale Ujerumani kujenga ngome yao pale magogoni. Na mji Kuanza kujengwa. Hii upanga yote yalikuwa ni maji tu. Hata wakati wa miaka ya themanini Kinondoni lilikuwa eneo la kuwinda. Nimekuja Dar kijitonyama yote ni majaruba ya mpunga.

Hizo ulizonazo kichwani ni Propaganda za Alishababu. Hawakusoma basi kila kitu wanabuni tu.
Nimekuja Dar kijitonyama yote ni majaruba ya mpunga.
Ok, ulikuja Dar ukitokea wapi
 
makaadi, masaburi, makalio, manundu, msambwanda, zigo, yote ni matako tu.
FaizaFoxy nikukumbushe jambo moja. Kuna watanzania wana tabia ya kuwaunga mkono viongozi kwa kila wanalofanya. Leo hii wewe unamuunga mkono rais Samia kwa anayoyafanya kuhusu bandari, LAKINI NAKUHAKIKISHIA, WEWE HUYO HUYO PAMOJA NA WENZIO MNAOTETEA SANA BANDARI KUPEWA DPW, SIKU MAMA AKIAMUA KUSITISHA SUALA ZIMA LA BANDARA, UTARUDI HAPA KUMSIFIA KWAMBA MAMA NI MSIKIVU..!! Time will tell..!!
 
Sakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini.

Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini.

Kumuunga mkono Rais ni kuachana na watu ambao wanautata na matokeo ya chuo, utata wa elimu ya sekondari, na utata wa vyeti.
Mimi mtazamo wangu CCM haipendi wasomi kabisa hata pale ambapo marehemu Magufuli alipokumbatia wasomi alibezwa sana.

Nimekaa hapa na kutathimini matukio ya viongozi wenye utata kwenye CV yao. Inasikitisha kabisa. Matukio ya ajabu na maelekezo ya ajabu ajabu hayana kichwa wala miguu. Dharau kupiliza kwa masikini na watu wasiyojiweza.

Mimi nawaomba watanzania tuwaorodhese wanaccm wote wenye utata wa elimu na matokeo ya elimu kwanzia elimu ya Awali hadi chuo kikuu.

Orodhaa hii iambatane na matukio ya kusikisha ya waliyofanya wakiwa madarakani.
Bunge la mbunge kujua na kusoma bila elimu ya juu ni shida. Miaka 60 ya uhuru bado tunaendekeza wabunge wa ngumbaru. Tuamkeni
 
K
Nadhani tuongelee Hekima na Busara maana Nchi hii haina wasomi na serikali yenyewe imekiri haina watu wa kusimamia Mambo muhimu ndo maana inaleta washikaji toka Bara Arab. Wanaoitwa wasomi nchi hii ni vituko kamili wala huwezi kudhani walikaa chuo kikuu zaidi ya miaka 5. Maprofesa Wana maamuzi mabovu kuliko Wenye diploma, Madokta Wana maamuzi ya ovyo kuliko certificate holders.

Nadhani tuongelee Hekima na Busara maana Nchi hii haina wasomi na serikali yenyewe imekiri haina watu wa kusimamia Mambo muhimu ndo maana inaleta washikaji toka Bara Arab. Wanaoitwa wasomi nchi hii ni vituko kamili wala huwezi kudhani walikaa chuo kikuu zaidi ya miaka 5. Maprofesa Wana maamuzi mabovu kuliko Wenye diploma, Madokta Wana maamuzi ya ovyo kuliko certificate holders.
Ukiwa vizuri kichwani hupendwi popote hata sumu utapewa
 
Kujibu maswali ya density na electrolysis yanahusiana vipi na uwezo wa kuongoza,u-genius!?
Sasa kama umesoma hujui umuhimu electrolysis. Kwa taarifa electrolysis ndio kila kitu kwenye ulimwengu wa design ya kila kitu. Utakuwaje Rais hujui vitu. Empty kitu kichwani. Si utadanganywa kila kitu
 
Wewe ufahamu wako ukoje!?..Mimi nimeongelea umuhimu wa electrolysis!?
 
Back
Top Bottom