King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hii ya Ndani kabisa haha wewe ni TISS🤣🤣🤣
"Hivyo vitu vipo wazi kama vazi la kahaba ,nasambaza maradhi halafu nakupa siku saba" - Hashim Dogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ya Ndani kabisa haha wewe ni TISS🤣🤣🤣
Kuna wasomi failure pia hamna kitu kichwani hata huko vyuo I Hawana marks zozoteHata wasomi wakipewa dhamana kwenye serikali ya CCM hujtoa ufahamu
Huoni point kwasababu ubongo wako umebanwa sehemu Moja. Umefungwa kwenye kamba fupi ya dini unakula hapo hapo huwezi kwenda popote mpaka ukate kamba ukale Majani ya mbali na hapoPointless.
Haina ubavu alakini ! 🙏🙏Chongolo anaungana na MASHUJAA .
CCCm Asili kumbe Bado IPO .
Wewe ni noma ngoja nikupandishe juu na quote yako"Hivyo vitu vipo wazi kama vazi la kahaba ,nasambaza maradhi halafu nakupa siku saba" - Hashim Dogo
Hapo Vipi . Hawa ndo tunaowategemea waivushe Tanganyika katika lindi la umasikini.Unaweza kusoma lakini usielemike, kama Magufuli.
Wasomi wa Tanzania ni utumbo kama yule aliyekwenda bungeni kuwapima kwa rula samaki waliopikwa.
Sasa huyo 'msomi" kaelimika kweli?
Ni ile ileee !!Ulielewa alichokisema Chongolo au unakurupuka tu?.
Nadhani imetosha kabisaHapo Vipi . Hawa ndo tunaowategemea waivushe Tanganyika katika lindi la umasikini.
View attachment 2691680
Nadhani tuongelee Hekima na Busara maana Nchi hii haina wasomi na serikali yenyewe imekiri haina watu wa kusimamia Mambo muhimu ndo maana inaleta washikaji toka Bara Arab. Wanaoitwa wasomi nchi hii ni vituko kamili wala huwezi kudhani walikaa chuo kikuu zaidi ya miaka 5. Maprofesa Wana maamuzi mabovu kuliko Wenye diploma, Madokta Wana maamuzi ya ovyo kuliko certificate holders.Sakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini.
Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini.
Kumuunga mkono Rais ni kuachana na watu ambao wanautata na matokeo ya chuo, utata wa elimu ya sekondari, na utata wa vyeti.
Mimi mtazamo wangu CCM haipendi wasomi kabisa hata pale ambapo marehemu Magufuli alipokumbatia wasomi alibezwa sana.
Nimekaa hapa na kutathimini matukio ya viongozi wenye utata kwenye CV yao. Inasikitisha kabisa. Matukio ya ajabu na maelekezo ya ajabu ajabu hayana kichwa wala miguu. Dharau kupiliza kwa masikini na watu wasiyojiweza.
Mimi nawaomba watanzania tuwaorodhese wanaccm wote wenye utata wa elimu na matokeo ya elimu kwanzia elimu ya Awali hadi chuo kikuu.
Orodhaa hii iambatane na matukio ya kusikisha ya waliyofanya wakiwa madarakani.
Nimekuja Dar kijitonyama yote ni majaruba ya mpunga.1300 kulikuwa Kuna mji mkubwa
Hukusoma wewe hata darasa Moja.
Kuna mji maarufu kabla ya bagamoyo upo Katibu na kilwa ulizama baharini unaitwa Rhapta.
Hii Dar es salaam ilikuwa yote ni mikoko na mashamba mpaka pale Ujerumani kujenga ngome yao pale magogoni. Na mji Kuanza kujengwa. Hii upanga yote yalikuwa ni maji tu. Hata wakati wa miaka ya themanini Kinondoni lilikuwa eneo la kuwinda. Nimekuja Dar kijitonyama yote ni majaruba ya mpunga.
Hizo ulizonazo kichwani ni Propaganda za Alishababu. Hawakusoma basi kila kitu wanabuni tu.
FaizaFoxy nikukumbushe jambo moja. Kuna watanzania wana tabia ya kuwaunga mkono viongozi kwa kila wanalofanya. Leo hii wewe unamuunga mkono rais Samia kwa anayoyafanya kuhusu bandari, LAKINI NAKUHAKIKISHIA, WEWE HUYO HUYO PAMOJA NA WENZIO MNAOTETEA SANA BANDARI KUPEWA DPW, SIKU MAMA AKIAMUA KUSITISHA SUALA ZIMA LA BANDARA, UTARUDI HAPA KUMSIFIA KWAMBA MAMA NI MSIKIVU..!! Time will tell..!!makaadi, masaburi, makalio, manundu, msambwanda, zigo, yote ni matako tu.
Bunge la mbunge kujua na kusoma bila elimu ya juu ni shida. Miaka 60 ya uhuru bado tunaendekeza wabunge wa ngumbaru. TuamkeniSakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini.
Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini.
Kumuunga mkono Rais ni kuachana na watu ambao wanautata na matokeo ya chuo, utata wa elimu ya sekondari, na utata wa vyeti.
Mimi mtazamo wangu CCM haipendi wasomi kabisa hata pale ambapo marehemu Magufuli alipokumbatia wasomi alibezwa sana.
Nimekaa hapa na kutathimini matukio ya viongozi wenye utata kwenye CV yao. Inasikitisha kabisa. Matukio ya ajabu na maelekezo ya ajabu ajabu hayana kichwa wala miguu. Dharau kupiliza kwa masikini na watu wasiyojiweza.
Mimi nawaomba watanzania tuwaorodhese wanaccm wote wenye utata wa elimu na matokeo ya elimu kwanzia elimu ya Awali hadi chuo kikuu.
Orodhaa hii iambatane na matukio ya kusikisha ya waliyofanya wakiwa madarakani.
Nadhani tuongelee Hekima na Busara maana Nchi hii haina wasomi na serikali yenyewe imekiri haina watu wa kusimamia Mambo muhimu ndo maana inaleta washikaji toka Bara Arab. Wanaoitwa wasomi nchi hii ni vituko kamili wala huwezi kudhani walikaa chuo kikuu zaidi ya miaka 5. Maprofesa Wana maamuzi mabovu kuliko Wenye diploma, Madokta Wana maamuzi ya ovyo kuliko certificate holders.
Ukiwa vizuri kichwani hupendwi popote hata sumu utapewaNadhani tuongelee Hekima na Busara maana Nchi hii haina wasomi na serikali yenyewe imekiri haina watu wa kusimamia Mambo muhimu ndo maana inaleta washikaji toka Bara Arab. Wanaoitwa wasomi nchi hii ni vituko kamili wala huwezi kudhani walikaa chuo kikuu zaidi ya miaka 5. Maprofesa Wana maamuzi mabovu kuliko Wenye diploma, Madokta Wana maamuzi ya ovyo kuliko certificate holders.
Yupo sana, unamtakia Nini? RelaxCHADEMA, Profesa Safari yuko wapi?
Hilo ni swali ambalo nimejiuliza sipati jibu. Nimeona niwaulize wenyewe labda mtakuja na jibu la maana.www.jamiiforums.com
Kujibu maswali ya density na electrolysis yanahusiana vipi na uwezo wa kuongoza,u-genius!?Hapo Vipi . Hawa ndo tunaowategemea waivushe Tanganyika katika lindi la umasikini.
View attachment 2691680
Sasa kama umesoma hujui umuhimu electrolysis. Kwa taarifa electrolysis ndio kila kitu kwenye ulimwengu wa design ya kila kitu. Utakuwaje Rais hujui vitu. Empty kitu kichwani. Si utadanganywa kila kituKujibu maswali ya density na electrolysis yanahusiana vipi na uwezo wa kuongoza,u-genius!?
Wewe ufahamu wako ukoje!?..Mimi nimeongelea umuhimu wa electrolysis!?Sasa kama umesoma hujui umuhimu electrolysis. Kwa taarifa electrolysis ndio kila kitu kwenye ulimwengu wa design ya kila kitu. Utakuwaje Rais hujui vitu. Empty kitu kichwani. Si utadanganywa kila kitu
Umeuliza ni kama hayana maana kiongozi kuyajuaWewe ufahamu wako ukoje!?..Mimi nimeongelea umuhimu wa electrolysis!?
Wewe mjinga punguani,huna unaloelewaUmeuliza ni kama hayana maana kiongozi kuyajua
Na wewe ni nani Sasa? Nimwelevu au mwenye akili au mjanja?Wewe mjinga punguani,huna unaloelewa