Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
- #41
Soma post no#2ni kifungu kipi cha katiba ya ccm kilichovunjwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma post no#2ni kifungu kipi cha katiba ya ccm kilichovunjwa?
unajua mamlaka ya mkutano mkuu,kwamba ndio wenye mamlaka ya mwisho juu ya kikao chochote na kwamba mkutano mkuu unaweza kutengua kifungu chochote cha katiba?Soma post no#2
Katiba ??! Kanuni ??! Utaratibu uliozoeleka ??! Kipi hasa katika hivyo vitatu kilichokiukwa 😳🙄 !! ?!ni kifungu kipi cha katiba ya ccm kilichovunjwa?
Sawaunajua mamlaka ya mkutano mkuu,kwamba ndio wenye mamlaka ya mwisho juu ya kikao chochote na kwamba mkutano mkuu unaweza kutengua kifungu chochote cha katiba?
Na hawa ndio wanawaita Wachawi na akasema Wameshakufa au km wapo basi Watawaua mmoja baada ya mwingineSpecifically.
Wamevunja.
Katiba ya CCM ya 1977 toleo la Disemba 2022, ibara ya 100 (5) c.
Tupe ushahidi wa kuvunjwa Katiba ya CCM? Taja ibara au vipengele husikaKwa MTU yoyote mwenye akili timamu ambazo haziongozwi na mihemko atakubaliana na habari hii.
Mkutano ulijaa "show off" KULIKO maana halisi za mkutano. Walienda kutuonyesha uwezo wao wa kutumia resources Vibaya. Kwa mfano, Nani mwanachama mwandamizi wa CCM anayefahamu mabasi Yale, baskeli, Boda bado (with individual branding) yalipatikanaje? Ni kweli Yale mabasi ya Ile mojawapo ya state apparatus yaliepenyezewa humo? Tuliache hilo.
Angalia jinsi agenda za mkutano zilivyokua za kijanjajanja, kila MTU anamlia timing mwenzake, kila MTU hajiamini wala hamuamini mwenzake. Huu haukua mkutano wa kupendekeza wagombea.....JK kastukizwa ili kuleta justification ya kilichofanywa... Baraka fake.
Wajumbe wengi wameenda kwa malengo binafsi ya kupata "maisha" na Burudani kutoka kwa wasanii waliokusanywa kila mahali, na wapiga zumari. Ukiwauliza kilichowafanya washangilie kwa kuvunja Katiba Yao wenyewe, watakwambia hawajui..
View attachment 3208215
WatamuuaWatamteka huyu Dr. sasa hivi.
Apewe ulinzi.
Msimuue tu huyo mzeeTupe ushahidi wa kuvunjwa Katiba ya CCM? Taja ibara au vipengele husika
Nilicheka sana Mwasi KitokoUkiwauliza kilichowafanya washangilie kwa kuvunja Katiba Yao wenyewe, watakwambia hawajui..
Kwani na Wazee kama yeye bado wana tamaa zile zile kama za zamani za maisha ??!Ilikua ni LAZIMA akubali maana na yeye ni mnufaika wa mfumo a
Ilikua ni LAZIMA akubali maana na yeye ni mnufaika wa mfumo a
Una uhakika gani kwamba angeshindwa kuonga mkonoCCM sasa imeshaishiwa wazee wenye nguvu na utashi wa kusimamia principles. Hakuna ambaye angediriki kufanya huo unyambilisi mbele ya Mzee Mkapa (RIP)!
Tamaaa ipo hadi siku MTU anaingia kaburini Ndugu yanguKwani na Wazee kama yeye bado wana tamaa zile zile kama za zamani za maisha ??!
Je Wazee wenye tamaa wanaweza wakasimamia haki ??!
Mimi naamini mtu akishakuwa Mzee hapaswi kuwa na tamaa tamaa ya maisha ! Anatakiwa asimame kwenye ukweli na ausimamie huo ukweli 🙏
HahahaahahahaMsimuue tu huyo mzee
Sasa nini faida ya Mtu kuwa Mzee ??!Tamaaa ipo hadi siku MTU anaingia kaburini Ndugu yangu
Haiondoi mantiki kwamba amejieleza vizuri. Palipo na tatu mtalia moja weka 2.Hizo hatua zako ni za mtu mwenye matege au miguu ya gongo la gofu, ya kwanza, ya tatu, ya tatu! ya nne.