CCM walienda kufanya "show off" na uvunjifu wa Katiba Yao wenyewe, haukua mkutano!

CCM walienda kufanya "show off" na uvunjifu wa Katiba Yao wenyewe, haukua mkutano!

Chukuwachakomapema ni hatarii kwa afya ya MDANGANYIKA!
 
Hivi wale machangudoa wa bongo movie zaidi ya kwenda kulala na wajumbe na kuwaachia maradhi kwa zile siku mbili, wana mchango gani zaidi ndani ya chama au hili taifa letu?
 
Specifically.

Wamevunja.

Katiba ya CCM ya 1977 toleo la Disemba 2022, ibara ya 100 (5) c.
Na hawa ndio wanawaita Wachawi na akasema Wameshakufa au km wapo basi Watawaua mmoja baada ya mwingine
 
Kwa MTU yoyote mwenye akili timamu ambazo haziongozwi na mihemko atakubaliana na habari hii.

Mkutano ulijaa "show off" KULIKO maana halisi za mkutano. Walienda kutuonyesha uwezo wao wa kutumia resources Vibaya. Kwa mfano, Nani mwanachama mwandamizi wa CCM anayefahamu mabasi Yale, baskeli, Boda bado (with individual branding) yalipatikanaje? Ni kweli Yale mabasi ya Ile mojawapo ya state apparatus yaliepenyezewa humo? Tuliache hilo.

Angalia jinsi agenda za mkutano zilivyokua za kijanjajanja, kila MTU anamlia timing mwenzake, kila MTU hajiamini wala hamuamini mwenzake. Huu haukua mkutano wa kupendekeza wagombea.....JK kastukizwa ili kuleta justification ya kilichofanywa... Baraka fake.

Wajumbe wengi wameenda kwa malengo binafsi ya kupata "maisha" na Burudani kutoka kwa wasanii waliokusanywa kila mahali, na wapiga zumari. Ukiwauliza kilichowafanya washangilie kwa kuvunja Katiba Yao wenyewe, watakwambia hawajui..

View attachment 3208215
Tupe ushahidi wa kuvunjwa Katiba ya CCM? Taja ibara au vipengele husika
 
Ilikua ni LAZIMA akubali maana na yeye ni mnufaika wa mfumo a
Kwani na Wazee kama yeye bado wana tamaa zile zile kama za zamani za maisha ??!
Je Wazee wenye tamaa wanaweza wakasimamia haki ??!
Mimi naamini mtu akishakuwa Mzee hapaswi kuwa na tamaa tamaa ya maisha ! Anatakiwa asimame kwenye ukweli na ausimamie huo ukweli 🙏

Tamaaa ipo hadi siku MTU anaingia kaburini Ndugu yangu
 
ccm akili zao bana wao wanarudisha akina wasira huku chadema wanasema mbowe has to go
 
Back
Top Bottom