CCM wamenasa kwenye mtego wa Wasukuma, hawatoki tena

Kaskazini walitumia Mali za wasukuma kujiletea maendeleo kwa miaka mingi sana tangu ukoloni.
Na huo ulikuwa wakati wa CCM maana toka uhuru ni ccm tuu iko madarakani.
Hivyo kama wameamka it means CCM chali kabisa!
 
Kila kabila likitaka elezea maelezo yao Basi nchi hii itakuwa na nchi nyingi ndani yake acha kuhusisha ukabila,maendeleo na uongozi.
 
Ubaya huko wapi Makonda kuwa katibu muenezi? Kwani Makonda sio mwana CCM? Hajawahi kuwa kiongozi? Kwani wasukuma sio watanzania! Ukabila utawaua nyie wachaga
 
WATANZANIA wengi ni wapumbavu .
Ndio maana CCM inacheza na kete ya Udini na uiabila na ukanda .
Kete ya Udini awamu Hii imepwaya sana Baada ya Kanisa katoliki kukataa dhambi ya kuwapa waarabu uchumi wote Wa nchi na kuwaacha watanganyika wakiwa watumwa kwenye nchi Yao.

Bora wasukama watawale mana wanaonekana wanaweza kudhibiti Wezi Wa Mali za umma.
Hivi vikabila vidogovidogo vimejaa ufisadi na tamaa mbaya sana ya kujilimbikizia Mali bila kikomo.
Na pia ni Lazima wasukuma wakaze mana shujaa Wa Tanzania amekufa kifo cha utata na fedha za umma zikaporwa kisha tukadanganywa kuwa hakufanya kitu aliacha taifa likiwa hohehahe wakati tulifikia uchumi Wa Kati.
Tunamuomba Paulo Makonda Aishi Katika kiapo chake na adumishe uzalendo Wa MAGUFULI Daima.
Kila taifa Lina shujaa wake aliyeleta Mapinduzi makubwa ya kiuchumi na kuondoa dhulma.
Hata Mtume Mohamad aliondosha dhulma Kwa waarabu na kubaki kuwa Nabii mwenye wafuasi wengi sana Duniani.

Mbowe ni mbinafsi sana anayeangalia maslahi yake bila kujali Hali ya WATANZANIA Duni.
Mafuta yanapanda Bei.
Bandari imeshauzwa
Kia imeuzwa
Misitu yote imeuzwa.
Ardhi Kwa maelfu ya hekari yameuzwa .
Loliondo imeuzwa na Serengeti.
Biashara ya kusafirisha wanyama imeshamiri.
Madini hayana faida Kwa Taifa.
Umeme unakatika Katika .
Report ya CAG imeonyesha upotevu mkubwa Wa fedha za umma.
Bunge linapitisha miswaada ya hovyo.
Kikokotoo kinawaumiza wafanyakazi.
Upigaji ni mkubwa mpaka CCM wenyewe wanapoteana.Mafuta yamepanda Bei.
Cha ajabu chama kikubwa kama Chadema kimekaa kimya chini ya Mwenyekiti Mbowe. Sikuwahi kusikia Mbowe akitishia kuandamana Kupinga ugumu Wa maisha ya Watu Wa Chini. Anasubiri aandamane mikutano ya hadhara ikitishiwa Kupingwa marifuku.Wanaharakati walikosa kuungwa mkono na vyama vya wapinzani.
 
Ni mada nzuri yenye ka ukweli fulani hivi ila inapalilia ukabila na ukanda hivyo basi mada imekosa ueledi na kuonekana ni ya kikabila, upumbavu mtupu na ujinga hatutaki kurudi huko
 
Hata nyumbu mbagani ni wengi sana ili kua na supply ya kutosha ya wanyama wala nyama

Sasa Tanzania ndio mbuga yenyewe na wasukuma ndio nyumbu kwa hiyo relax kundi la nyumbu hata liwe kubwa vipi haliwezi kumtisha simba
Kabisa [emoji3578]
 
Mbowe na Lisu wana laana ya kushangilia kifo cha Magufuli
Kwa taarifa yako kama hujawahi kujua basi jua leo kwamba kati ya watu walio shangilia kwa imani ya ndani kabisa kifo cha Magufuli viongozi wa juu wa CHAMA CHA MAPINDUZI ( CCM) pamoja na makada wa daraja la kwanza na daraja pili.
 
Tukienda hivyo na fikra za kisukuma nchi itagawika vipande vipande! Tusisahau vugu vugu la kisiasa Nyanda za Kaskazini kwa Wachaga tusisahau Nyanda za Juu kusini kwa Wanyakyusa!
Bila kusahau kwa Wamakonde huko!
Nyerere alitumia akili kubwa kutoruhusu makabila makubwa kutawala!
CCM inachofanya ni kuwahadaa na kuwasahaulisha Wasukuma wasimkumbuke hayati Magu,waipe kura wakiingia laini tu baada ya uchaguzi 2025 watatoswa tu.
 
Kaskazini walitumia Mali za wasukuma kujiletea maendeleo kwa miaka mingi sana tangu ukoloni.
Unafahamua kwamba Kaskazini na Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga?

Unafahamu kwamba utalii ndio sekta inayoongoza kwa mapato Tanzania na Kaskazini ndio kitovu cha utalii cha nchi?

Unafahamu Kaskazini kumekuwepo na Kahawa na Tanzanite kwa muda mrefu sana?

Unafahamu reli ya kwanza ilijengwa na Wajerumani kuelekea Kaskazini kwa ajili ya kusafirisha Kahawa, chai na mkonge?
 
Kaskazini walitumia Mali za wasukuma kujiletea maendeleo kwa miaka mingi sana tangu ukoloni.
SIO kweli mkuu.
Kaskazini inachangia pato kubwa sana kupitia Utalii na wafanyabiashara wakubwa.
Mpaka leo Kaskazini na Tanga ni eneo linaloweza kuwa nchi na lisitegemee mkoa Mwingine wowote.
Shule na Taasisi za Binafsi Kwa ukanda Huo zilianza Kwa kiwango kikubwa zilikengwa na Wananchi wenyewe Kwa nguvu zao.
Hivi Sehemu yenye wasomi wengi kama Ukererewe inapokosa maendeleo utasemaje kuwa rasilimali zao zimepelekwa kaskazini kama SIO ukichaa na upunguani.
Madini ya dhahabu Kwa ukanda Wa Maziwa makuu yameanza kuchimbwa na wawekezaji miaka ya 2000. Nyuma ya Hapo mgodi ulikua mmoja tu Wa Williamson kule Mwadui. Amboa kimsingi huwezi kulinganisha na pato la watalii na mabepari waliokuwa wanamiliki mashamba ya shayiri ,ngano,maharagwe,ngano ,mkonge na Tanzanite , migodi mikubwa kule kararani Tanga ambayo Nyerere aliifunga Kwa kuogopa mzungu aliyeiweka nchi mfukoni kwake. Mgodi uliokufa mpaka leo. Tanga Ina Vito vingi sana Vya thamani,Tanga ndiyo manuspaa ya kwanza Tanzania ,ikiwa na viwanda vingi sana Lakini vilihujumiwa na kufa na kuwaacha wazawa wakiwa maskini. Arusha na Kilimanjaro palikua na mabilionea tangu ukoloni wakanyanganywa Mali zao na Nyerere na pia MAGUFULI.
Hakuna msukuma aliyenyanganywa n'gombe na kufanywa za Taifa ila watu Wa kaskazini walinyanganywa Mali na majumba na mashamba na kuwa ya umma na kufilisiwa.
 
Muache kuchochea ukabila na ukanda mkidhani mnafanya jembo jema. Wapumbavu ni wengi wa aina hii, kuna wale wanalialia kuwa nao awamu fulani fulani ziliwaacha na kuwatenga katika dini yao huku wakijiona eti walipigania uhuru wa nchi hii, stupid. Mkiruhusu roho hizi zitamalaki kwa malalamiko yao ya kipuuzi huko ni kufufua mazimwi ya kikabila na kidini na kuanza kusumbua taifa.
 
Wazungu walianza kupora madini usukumani tangu enzi za Williamson mwaka 1940 huko mwadui alipokuta wanachezea almasi bao na hata mpaka leo wanaomiliki hiyo migodi huko ni wazungu , sasa sijui wewe weusi wenzako wa Kaskazini, Kusini na kanda nyingine wamekukosea nini mpaka ufikiri wao ndio wanachota madini ya kanda ya ziwa na kijitajirisha nayo.
 
Wewe ni kabila gani? Hivi tunajuaje kwamba mtu fulani ni msukuma au mchagga?
 
Bro, una fikiria, Doto ndio naibu waziri mkuu wa kwanza? Alikuwepo Lyatonga Mrema, aka pita,
Doto na Makonda, are just means to an end, ccm wakishachukua madaraka tena, ndio imetoka, jaribu kuwaza Bongo na wasukuma baada ya Samia kuondoka! Pili huna data bro, Mkoa unaoongoza kwa kuchangia Pato la Taifa kwa asilimia 80! Ni, Dar! Kila, Tsh 100 inayokusanywa, 80,inatoka Dar!
Hizo pesa za ngombe na maziwa yenu, zinaishia huko huko, kwenu!
Je unajua wanaoongoza kwa, kushika nyanja za uchumi hapo Dar? Chaga and haya people! So, acha kelele kusema pesa ya, kanda ya, ziwa ilienda kaskazini, kujenga uchumi na miundombinu.
Anayewafanya maskini, na kuvunja nguvu zenu za kiuchumi za vyama vya u shirika ni ccm na wabunge wasukuma wenzenu!
Wingi sio hoja bro! Nigeria ina watu milioni 200! Lakini rasilimali zote za mafuta na gesi zinashikiliwa na mzungu!
Ukiwa, na, populations ya kisukuma, isiyo na elimu(anzia ushirombo, Kahama, Kalumwa, msalala,fika mpaka Isakamaliwa, isagene), kama Hao ndio unajivunia, bado mna safari ndefu!
Anayepitishwa na ccm ndio mshindi,na wanaomchagua hawazidi hata watu 20!
pinda,Sumaye, Msuya, walioba, Kikwete, Mwinyi, Samia, Chongolo,
 
Kaskazini walitumia Mali za wasukuma kujiletea maendeleo kwa miaka mingi sana tangu ukoloni.
Ndugu ukiona umezidiwa akili..ni bora uombe Mungu uzaliwe upya...wanacho fanya israel kwenye hii dunia ni kwamba iq ya mmoja mmoja ni kubwa ndio maana unayaona hya...kaskazin wazee wengi ukihesabu level ya shule yao kwa wastan ni kama form four....haya kakojoe ukalale...hakuna vijiji Tanzania vinatisha kwa maendeleo kama kaskazin
 
Hata nyumbu mbagani ni wengi sana ili kua na supply ya kutosha ya wanyama wala nyama

Sasa Tanzania ndio mbuga yenyewe na wasukuma ndio nyumbu kwa hiyo relax kundi la nyumbu hata liwe kubwa vipi haliwezi kumtisha simba

Au sio endelea kujifariji wakati huo mnapishana kanda ya ziwa kila siku ili mpate kuungwa mkono.
 

Hatuongelei only wasukuma tunaongelea kanda ya ziwa kwa ujumla wake,pia hata ki takwimu kabila la wasukuma ndio linaongoza kuwana watu wengi tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…