Colonel McCoy
JF-Expert Member
- Aug 15, 2023
- 305
- 584
Magufuli hakuwa msukuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pato la nchi mmeachwa na mikoa mingi tuu...maana watu ni wengi lakin ni wavivu kwenye uzalishaji...iringa tu ni pili na wala sio jiji....kuna sehemu ya kanda ya ziwa wanaishi maisha ambayo unaweza sema wapo kwenye dunia yao..Hatuongelei only wasukuma tunaongelea kanda ya ziwa kwa ujumla wake,pia hata ki takwimu kabila la wasukuma ndio linaongoza kuwana watu wengi tz.
Kwa hiyo unataka kusema Watanzania milioni 31 wapo kanda ya Ziwa tu?Hatuongelei only wasukuma tunaongelea kanda ya ziwa kwa ujumla wake,pia hata ki takwimu kabila la wasukuma ndio linaongoza kuwana watu wengi tz.
Nonyanobhee....Mbowe na Lisu wana laana ya kushangilia kifo cha Magufuli
Wasukuma ni wengi zaidi Tanzania, ni wachapakazi kwa asili. Wasukuma na wanyamwezi idadi Yao ni kubwa inakaribia theluthi ya Watanzania wote. Pamoja na wingi wao, uchapakazi wao mkubwa na wingi wa rasilimali zilizoko kwenye mikoa Yao, wasukuma walikuwa sio chochote Wala lolote huko nyuma kwenye awamu za kwanza hadi ya nne (4).
Mikoa ya wasukuma pamoja na kuzalisha kwa wingi dhahabu, almasi, ng'ombe, pamba, viazi vitamu, mpunga na Katanga lakini walikuwa hawana barabara za lami, shule, hospital Wala umeme kuliko mikoa ya kaskazini , nyanda za juu kusuni na masharaki. Nguvu na rasilimali zao zilikuwa zinatumika zaidi kuleta maendeleo huko kaskazini na mashariki.
Awamu ya tano (5) ilileta mapinduzi makubwa sana kwa wasukuma na wanyamwezi, imewafungua macho na kuiona nafasi Yao kwenye taifa. Rais Magufuli (Msukuma) hakupepesa macho Wala kumung'unya maneno katika kuwalipa wasukuma kile walichonyang'anywa na "wahuni" tangu wakati wa ukoloni hadi kwenye awamu ya nne. Madini, ng'ombe na maliasili kama mbao za tabora vilikuwa vikijenga barabara, reli, viwanja vya ndege, hospital, mashule na kusambaza maji na umeme kwenye Kanda nyingine.
JPM hasira hiyo iliionyesha waziwazi kwa kupeleka miradi mingi Kanda ya ziwa na kuacha kupeleka miradi kama hiyo kwenye Kanda zilizokuwa zikipendelewa na wakoloni na watawala baada ya Uhuru.
Wasukuma Sasa wamejitambua na wamegeuka kuwa zimwi kubwa kwa watawala watakaofuata baada ya JPM. Itafikia siku wasukuma watakuwa kama wakikuyu wa Kenya kwenye siasa za CCM na Tanzania, ukabila utarudi upyaaaa!
Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Mh. Makonda kuwa Katibu mwenezi, itikadi na msemaji wa CCM ni ushahidi wa jambo hili; bila kufanya hivi CCM itaanguka. Na Iko siku huko mble mgombea Urais lazima awe msukuma au aungwe mkono na wasukuma kwa mashariti magumu.
Wakoloni na Nyerere waliona mbali sana kuwatenga wasukuma kwenye nyazifa za juu.
hizo ni hisia tu mkuu, wasukuma hawana nguvu kiasi hichoWasukuma ni wengi zaidi Tanzania, ni wachapakazi kwa asili. Wasukuma na wanyamwezi idadi Yao ni kubwa inakaribia theluthi ya Watanzania wote. Pamoja na wingi wao, uchapakazi wao mkubwa na wingi wa rasilimali zilizoko kwenye mikoa Yao, wasukuma walikuwa sio chochote Wala lolote huko nyuma kwenye awamu za kwanza hadi ya nne (4).
Mikoa ya wasukuma pamoja na kuzalisha kwa wingi dhahabu, almasi, ng'ombe, pamba, viazi vitamu, mpunga na Katanga lakini walikuwa hawana barabara za lami, shule, hospital Wala umeme kuliko mikoa ya kaskazini , nyanda za juu kusuni na masharaki. Nguvu na rasilimali zao zilikuwa zinatumika zaidi kuleta maendeleo huko kaskazini na mashariki.
Awamu ya tano (5) ilileta mapinduzi makubwa sana kwa wasukuma na wanyamwezi, imewafungua macho na kuiona nafasi Yao kwenye taifa. Rais Magufuli (Msukuma) hakupepesa macho Wala kumung'unya maneno katika kuwalipa wasukuma kile walichonyang'anywa na "wahuni" tangu wakati wa ukoloni hadi kwenye awamu ya nne. Madini, ng'ombe na maliasili kama mbao za tabora vilikuwa vikijenga barabara, reli, viwanja vya ndege, hospital, mashule na kusambaza maji na umeme kwenye Kanda nyingine.
JPM hasira hiyo iliionyesha waziwazi kwa kupeleka miradi mingi Kanda ya ziwa na kuacha kupeleka miradi kama hiyo kwenye Kanda zilizokuwa zikipendelewa na wakoloni na watawala baada ya Uhuru.
Wasukuma Sasa wamejitambua na wamegeuka kuwa zimwi kubwa kwa watawala watakaofuata baada ya JPM. Itafikia siku wasukuma watakuwa kama wakikuyu wa Kenya kwenye siasa za CCM na Tanzania, ukabila utarudi upyaaaa!
Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Mh. Makonda kuwa Katibu mwenezi, itikadi na msemaji wa CCM ni ushahidi wa jambo hili; bila kufanya hivi CCM itaanguka. Na Iko siku huko mble mgombea Urais lazima awe msukuma au aungwe mkono na wasukuma kwa mashariti magumu.
Wakoloni na Nyerere waliona mbali sana kuwatenga wasukuma kwenye nyazifa za juu.
Waliowabatiza sukuma gang ndo wenye kosa waliwaunganisha bila kujua na kuwatengenezea the sense of oneness. Huenda wala hawakuwa na mawazo haya ila kitendo cha kumuhukumu Magufuli na kabila lake na kuwalink wafuasi wake na usukuma huku wakitengwa na kusemwa kwa ubaya kunawafanya wasukuma wawaunge mkonoAcheni Ukabila, athari zake ni kubwa sana. Nilishawahi pia kuwaambia wengine, hayo maneno ya Sukuma gang ni hatari sana kwa sababu wapo Wasukuma kama ni mpinzani atajihisi anabaguliwa na ku-side kivyao.
Niliwaambia pia wanawaita Wagogo washamba kisa hawakubaliani na Ndugai wakati ule (wanaofanya hivi wanajijua) athari zake ni kubwa.
Si Kila Msukuma atatafsiri neno "Sukuma gang" ni wale waliokuwa wafuasi wa JPM. Wapo watakaohisi wanalengwa wao.
Na ninyi mnaowachochea Wasukuma acheni. Yakiparaganyika kuiweka Nchi pamoja itakuwa kazi kubwa.
Hiyo ni kweli, walipowaita SG, washamba, wauaji, vichaa, wakatengwa, ilikuwa ukimtukana JPM na wasukuma unalamba teuzi chapchap. Wengi wakawekwa pembeni.Waliowabatiza sukuma gang ndo wenye kosa waliwaunganisha bila kujua na kuwatengenezea the sense of oneness. Huenda wala hawakuwa na mawazo haya ila kitendo cha kumuhukumu Magufuli na kabila lake na kuwalink wafuasi wake na usukuma huku wakitengwa na kusemwa kwa ubaya kunawafanya wasukuma wawaunge mkono
Tukisema wasukuma tuna maana kanda ya ziwa. Mhaya , mkurya, mkerewe , mjita, msimbiti nk wote ni wasukuma. Ndio walionyimwa elimu na maendeleo ya vitu kama shule , barabara na maji . Utajiri wao wa maliasili vilipelekwa kwingine ili wazidi kuwa duni.Hivi izo takwimu kuwa wasukuma ni wengi zaidi mnazitoa wapi?
Ndo mana tunasema hapa kila siku kuwa nyie watu ni wajinga sana na hamstahili kuongoza hii nchi
Tanzania ina mikoa 26 na idadi ya watu milioni 61. Mnataka kusema wasukuma nchi hii ni zaidi ya milioni 31? Nyie watu ni wajinga na wapuuzi sana kwa kweli!!
Huu ujinga wenu embu msituletee hapa. Hili ni jukwaa la great thinkers.
Wakusikie na wazingatie!Acheni Ukabila, athari zake ni kubwa sana. Nilishawahi pia kuwaambia wengine, hayo maneno ya Sukuma gang ni hatari sana kwa sababu wapo Wasukuma kama ni mpinzani atajihisi anabaguliwa na ku-side kivyao.
Niliwaambia pia wanawaita Wagogo washamba kisa hawakubaliani na Ndugai wakati ule (wanaofanya hivi wanajijua) athari zake ni kubwa.
Si Kila Msukuma atatafsiri neno "Sukuma gang" ni wale waliokuwa wafuasi wa JPM. Wapo watakaohisi wanalengwa wao.
Na ninyi mnaowachochea Wasukuma acheni. Yakiparaganyika kuiweka Nchi pamoja itakuwa kazi kubwa.
Mudasimrefu watagawana mbao.Mbowe na Lisu wana laana ya kushangilia kifo cha Magufuli
Miradi mingi hatuipeleka kwa wasukuma wengi ila alipeleka Chato. Wasukuma hawakai Chato tu.Wasukuma ni wengi zaidi Tanzania, ni wachapakazi kwa asili. Wasukuma na wanyamwezi idadi Yao ni kubwa inakaribia theluthi ya Watanzania wote. Pamoja na wingi wao, uchapakazi wao mkubwa na wingi wa rasilimali zilizoko kwenye mikoa Yao, wasukuma walikuwa sio chochote Wala lolote huko nyuma kwenye awamu za kwanza hadi ya nne (4).
Mikoa ya wasukuma pamoja na kuzalisha kwa wingi dhahabu, almasi, ng'ombe, pamba, viazi vitamu, mpunga na Katanga lakini walikuwa hawana barabara za lami, shule, hospital Wala umeme kuliko mikoa ya kaskazini , nyanda za juu kusuni na masharaki. Nguvu na rasilimali zao zilikuwa zinatumika zaidi kuleta maendeleo huko kaskazini na mashariki.
Awamu ya tano (5) ilileta mapinduzi makubwa sana kwa wasukuma na wanyamwezi, imewafungua macho na kuiona nafasi Yao kwenye taifa. Rais Magufuli (Msukuma) hakupepesa macho Wala kumung'unya maneno katika kuwalipa wasukuma kile walichonyang'anywa na "wahuni" tangu wakati wa ukoloni hadi kwenye awamu ya nne. Madini, ng'ombe na maliasili kama mbao za tabora vilikuwa vikijenga barabara, reli, viwanja vya ndege, hospital, mashule na kusambaza maji na umeme kwenye Kanda nyingine.
JPM hasira hiyo iliionyesha waziwazi kwa kupeleka miradi mingi Kanda ya ziwa na kuacha kupeleka miradi kama hiyo kwenye Kanda zilizokuwa zikipendelewa na wakoloni na watawala baada ya Uhuru.
Wasukuma Sasa wamejitambua na wamegeuka kuwa zimwi kubwa kwa watawala watakaofuata baada ya JPM. Itafikia siku wasukuma watakuwa kama wakikuyu wa Kenya kwenye siasa za CCM na Tanzania, ukabila utarudi upyaaaa!
Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Mh. Makonda kuwa Katibu mwenezi, itikadi na msemaji wa CCM ni ushahidi wa jambo hili; bila kufanya hivi CCM itaanguka. Na Iko siku huko mble mgombea Urais lazima awe msukuma au aungwe mkono na wasukuma kwa mashariti magumu.
Wakoloni na Nyerere waliona mbali sana kuwatenga wasukuma kwenye nyazifa za juu.
Usikosoe kazi ya Mungu ambaye anajua kwa nini alimchukuaMbowe na Lisu wana laana ya kushangilia kifo cha Magufuli
Wewe utakuwa mchaga unaleta uchochezi wa kikabila, haya mambo huwa yanaanza polepole lakini athari zake huwa ni kubwa sana, wasukuma walishakubali kutumika kuwanehemesha watu wengine wala hawana kinyongo kama watu mnavyochochea humu.Hoja yangu CCM imenasa kwenye kabila ya kisukuma, huelewi nini hapo. Unaona ni kawaida Makonda kuwa Katibu mwenezi wa CCM wewe? CCM imeishiwa? Ukweli ni kwamba wapinzani wamepiga kambi usukumani pia. Wasukuma Sasa ni kete ya kisasa ka wakikuyu wa Kenya. Think critically bro
Safi sana hawa watu wa kaskazini ni watu wa ovyo sana ndio hawa walioanzisha sukuma gang mara msoga nia yao ni kuchonganisha, kuleta ukabila, ukanda na vita vya kiitikadi, hawa watu ni ovyo sana hawa.Ubaya huko wapi Makonda kuwa katibu muenezi? Kwani Makonda sio mwana CCM? Hajawahi kuwa kiongozi? Kwani wasukuma sio watanzania! Ukabila utawaua nyie wachaga
Wewe na ukoo wako mna maarifa au tija kwa taifa ili.Je akili na maarifa wanazo?kuwa wengi si tija
Wachaga wapumbavu sana! Wanachojua ni kuiba na kuwa makuwadi wa mabeberu kama mbowe!Safi sana hawa watu wa kaskazini ni watu wa ovyo sana ndio hawa walioanzisha sukuma gang mara msoga nia yao ni kuchonganisha, kuleta ukabila, ukanda na vita vya kiitikadi, hawa watu ni ovyo sana hawa.
Unajua takwimu au unaropoka, madini utayacha wapi kwa kuingizia mapato taifa ili.Unafahamua kwamba Kaskazini na Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga?
Unafahamu kwamba utalii ndio sekta inayoongoza kwa mapato Tanzania na Kaskazini ndio kitovu cha utalii cha nchi?
Unafahamu Kaskazini kumekuwepo na Kahawa na Tanzanite kwa muda mrefu sana?
Unafahamu reli ya kwanza ilijengwa na Wajerumani kuelekea Kaskazini kwa ajili ya kusafirisha Kahawa, chai na mkonge?
Unafahamua kwamba Kaskazini na Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga?