CCM wamenasa kwenye mtego wa Wasukuma, hawatoki tena

Usiseme wa kanda ya ziwa wanalalamika sema wa Chato.
 
watu wote waliokuwa wamegombana na JPM waligeuka lulu (waramba asali) ghafla.
 
Watu wengi walipohoji kwanini umeme unakatika sana siku hizi kuliko wakati wa JPM majibu yao yalikuwa hayaaminiki kwa wasukuma, pro-JPM ndani ya CCM na wapinzani akina mbowe.
 
Maelezo yako yanipa nguvu hoja ya utawala wa majimbo, ili kila jimbo lifaidike na rasilimali za eneo husika, maana ni kana kwamba wasukuma wanataka kuwanyanganya tonge wengine kwa sababu tu ya wingi wao na sio rasilimali walizo nazo.
hebu weka orodha ya mikoa kumi inayochangia uchumi tupate picha kama wasukuma wana mchango mkubwa kama unavyotaka kutuaminisha
Wingi unaweza kuwa hoja kisiasa lakini kiuchumi sio muhimu
 
Hizo data za wapi? Mnajiandikia huko kwenye mitandao alafu unaleta humu kama proof??

Hizo ni takwimu za kupika tu hazina ukweli wowote
Nenda kaangalie NBS sensa 2022 (Chukua Kagera, Mwanza, Mara, Simiyu, Geita, Shinyanga, Tabora, Kigoma na Katavi) Mzee hawa wanapiga kura moja.

NameAbbr.Population
Dar es SalaamDAR
5,383,728​
MwanzaMWA
3,699,872​
TaboraTAB
3,391,679​
MorogoroMOR
3,197,104​
DodomaDOD
3,085,625​
KageraKAG
2,989,299​
GeitaGEI
2,977,608​
TangaTAN
2,615,597​
KigomaKIG
2,470,967​
MaraMAR
2,372,015​
ArushaARU
2,356,255​
MbeyaMBE
2,343,754​
ShinyangaSHI
2,241,299​
SimiyuSIM
2,140,497​
PwaniPWA
2,024,947​
SingidaSIN
2,008,058​
ManyaraMAY
1,892,502​
 
How?.
1. Wasukuma ndio walio wengi
2. Kanda ya Ziwa ndio Kanda determinant
3. Wasukuma ni wachapakazi majembekazi
P
KINACHOTAWALA NI MAARIFA NA UCHUMI TU, HATA KAMA MUWE WENGI KAMA SIAFU MTATUMIKA TU.
HALAFU HILI LA KUZALIANA SANA NI KUWABEBESHA WENGINE MIZIGO WASIOSTAHILI.
 
HEBU ONGEA KWA TAKWUMU UELEWEKE, KILIMANJARO KULIKUA NA KM NGAPI ZA LAMI NA USUKUMANI ZILIKUA NGAPI, MBONA JK ALIJENGA BARABARA NYINGI SANA HUKU.
 
KINACHOTAWALA NI MAARIFA NA UCHUMI TU, HATA KAMA MUWE WENGI KAMA SIAFU MTATUMIKA TU.
HALAFU HILI LA KUZALIANA SANA NI KUWABEBESHA WENGINE MIZIGO WASIOSTAHILI.
[emoji1787] mbona Kanda ya Ziwa ndiyo ina wasomi (wenye maarifa) wengi! Utajiri wa viongozi na wafanyabiashara wakubwa nchini unatoka Kanda ya Ziwa kwenye 75% ya madini ya nchi.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo katavi ni ya wasukuma? Mwanza wote ni wasukuma?Kagera ni wasukuma? Mara ni wasukuma?

Huna akili kabisa
 
Wingi wa watu una uhusiano wa moja kwa moja na uchumi, usiongee kama huelewi. Watu wengi wana matumizi mengi na makubwa, wananunua zaidi na wanalipa kodi zaidi. Pamba na tumbaku inatoka kwao, ngozi na ng'ombe vinatoka kwao, Almasi inatoka kwao, asali inatoka kwao, almasi inatoka kwao, sato na sangala vinatoka kwao, mbao za mininga zinatoka Tabora.
 
Mbuga kubwa, maarufu na inayoongoza kwa kuingiza mapato, ipo mkoa gani? Hii mbuga ya serengeti nyinyi watu wabinafsi wa kaskazini mlishajimilikisha mkizani ipo upande wenu.
Wewe unazungumzia ukanda mkuu.
Mimi nazungumzia uchumi na rasilimali watu SIO Wingi Wa wapumbavu Kupiga kura Kwa kupumbazwa na Viungo Vya albino .

Hata aina ya madiwani na Wabunge mnaowachagua mnawachagua kushirikiana halafu unategemea maendeleo.Hakuna MTU Wa Kaskazini aliyeiba pesa za Vyama Vya ushirika Zaida ya wasukuma wenzenu.
Angalia Kama Kaskazini kuna Mbunge aliyetajirikia madarakani kama Kanda ya ziwa . Wabunge Wa ukanda Wa wasukuma ni matrionea. Wapo kiamaslahi.
Kila Idara msukuma akipata Nafasi anajilimbikizia Mali na Wizi Huku wasukuma wenzake wakibaki Kuwapigia magoti.
Angalia aina ya wabunge wenu utapata jibu.
Kaskazini wabunge ni watu Wa kawaida sana na wanaheshimika Kwa KAZI na mchango wao kwenye maendeleo Yao.
Wabunge Wa Kaskazini hawajawahi kusikika kwenye maskendo ya ufisadi kama Huo ukanda.

Ni wapumbavu tu wanaozumgumzia maendeleo ya Tanzania kikabila Badala ya kuidai Serikali isimamie maendeleo Kwa kutumia wawekezaji Wa ndani.

Tumeoana ukanda Wenye wabunge wengi ukishangilia Bandari za nchi kuuzwa na Maeneo yenye Madini yaliuzwa wakiwa wanakenua meno na kuikumbatia CCM Kwa manufaa ya wachawi Wachache .
Kaskazini huwezi kuuza Mlima Kilimanjaro ukategemea kupata kura . Wanahama chama na kuiadhibu CCM kuanzia Serikali za mitaa mpaka Urais wanapata kura kama namba za viatu.


Wabunge wenu wanahongwa madaraka na fedha halafu utajiri unasombwa na Wazungu mnabaki kuwalalamikia watanzania wenzenu.
Hako kabarabara kanakopita kuanzia DSM kwenda Arusha kenye Km zisizofika Hata 700 ndio unaweza ukasema kametumia matrilioni ya Dhahabu ,Samaki na pamba na almasi zinazosombwa kwa mandege kwenda Ulaya .
Chuki mbaya kama ya Lusifer.
 
Kwani
Kaskazini Kuna shule za msingi, secondary na vyuo vingapi? Je, mlikuwa mkigharamia wenyewe mishahara ya walimu na mitihani ya wanafunzi wetu? Watoto wakisoma wengi watapata ajira wengi na kupata mishahara wengi pia. Ukipata mshahara ni rahisi kukopa kwenye mabenki na kusomesha watoto zaidi na kutengeneza positive feedback. Ukiwa na nguvu za kiuchumi ni rahisi kupata mtaji na fedha za kupora ardhi za wengine.
 
[emoji1787] mbona Kanda ya Ziwa ndiyo ina wasomi (wenye maarifa) wengi! Utajiri wa viongozi na wafanyabiashara wakubwa nchini unatoka Kanda ya Ziwa kwenye 75% ya madini ya nchi.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Nafaka ya mahindi ni mbaya sana kwa akili na busara. Epuka kiongozi ambae ametoka kwenye jamii inayokula nafaka ya mahindi kama chakula Chao kikuu asubihi, mchana na jioni.
 
Kuna mdada hapo ikulu anatuharibia Tanganyika yetu yeye anajua ni wapi atakimbilia, tuwe makini na mdada huyu!
shida kubwa kuliko yote ni madili (status quo) ya watu kuvurumishwa na awamu ya sita. Watu hawaelewi itakuwaje. Lazima tuseme ukweli wizi ni mkubwa sana bandarini kwetu, mtu yuko tayari afukuzwe kazi akiwa ameshaiba vyakutosha. Mkuu wa bandari anateuliwa kwa faida ya aliyemteua pia. Hata askari akipangiwa lindo la bandarani anapiga magoti kumshukuru Mungu wake. Wacha tujaribu kukodisha ili napo tuone itafananaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…