CCM wamjulia hali Joseph Haule (Profesa Jay) Hospitali ya Taifa Muhimbili

CCM wamjulia hali Joseph Haule (Profesa Jay) Hospitali ya Taifa Muhimbili

PendoLyimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
969
Reaction score
1,055
Jay.JPG

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo (Leo) Alkhamis, Februari 10, 2022 akiwa ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wamemjuilia hali aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro na msanii nguli wa kizazi kipya Joseph Leonard Haule (Prof. Jay) alieyelazwa hospital ya Taifa Muhimbili akiendelea na matibabu.

"Tumemuona Ndugu yetu (Prof Jay) hali yake inazidi kuimarika, tumshukuru Mungu lakini niwashkuru madaktari kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kumhudumia, pamoja na mchango huu wa kuwezesha matatibu lakini kwa Niaba ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan niwahakikishie tutaendelea kutoa kila aina ya ushirikiano katika kuhakikisha matibabu yanaendelea vyema huku tukiendelea kumuombea apone haraka" Alisema Chongolo.

#ChamaImara.
#KaziIendelee.
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo (Leo) Alkhamis, Februari 10, 2022 akiwa ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wamemjuilia hali aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro na msanii nguli wa kizazi kipya Joseph Leonard Haule (Prof. Jay) alieyelazwa hospital ya Taifa Muhimbili akiendelea na matibabu.
Walishamnunua?
 
Katibu Mkuu wa @ccmtanzania Ndugu @daniel_godfrey_chongolo Leo Alhamis Februari 10, 2022 akiwa ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka @shakazulu36 wamemjuilia hali aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro na msanii nguli wa kizazi kipya Joseph Leonard Haule @professorjaytz aliyelazwa hospital ya Taifa Muhimbili akiendelea na matibabu. Walipokelewa na Mke wa Prof Jay Bi. Grace Mgonjo @mke_wa_profjize

"Tumemuona Ndugu yetu @professorjaytz hali yake inazidi kuimarika, tumshukuru Mungu lakini niwashukuru madaktari kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kumhudumia pamoja na mchango huu wa kuwezesha matatibu lakini kwa niaba ya Mwenyekiti wa @ccmtanzania Rais @samia_suluhu_hassan niwahakikishie tutaendelea kutoa kila aina ya ushirikiano katika kuhakikisha matibabu yanaendelea vyema huku tukiendelea kumuombea apone haraka" Alisema Chongolo.

#ChamaImara.
#KaziIendelee.
IMG_20220210_155758_404.jpg
 
Back
Top Bottom