CCM wamjulia hali Joseph Haule (Profesa Jay) Hospitali ya Taifa Muhimbili

CCM wamjulia hali Joseph Haule (Profesa Jay) Hospitali ya Taifa Muhimbili

Huyu dogo yawezekana anaugua sana japo ni siri siri hivi
 
Segerea wataenda lini? Kumtembelea mahabusu wa kisiasa mtuhumiwa wa ugaidi, mwenyekiti wa CHADEMA?
Kumtembelea mgonjwa ni jambo jema,hata kama hao CCM hawana utu lakini hapo wamefanya vyema.
Sidhani ni lazima kila mtu amtembelee Mbowe gerezani.
Cha pili ni kwamba wameona gap la utu ndani ya Chadema kwa viongozi ambao sio wachaga wakatumia fursa ya kisiasa.
Hivi ni kweli Viongozi wa Chadema hawakuwa na muda wa kwenda kumjulia hali J kwa vile tu mwenyekiti ana kesi mahakamani?sidhani.
Tuwe na utu na tujiongeze mara nyingine.
Nb:Usiniambie walikwenda lakini hawakutaka picha picha
 
Hizi ni siasa mdogo wangu .. Ungetafakari nilichoandika ungejifunza mengi zaidi..
 
Prof J,Mti mkavu ni mti mkavu kweli.Hata akiwa bungeni alionyesha ukomavu mkubwa,hakuwa na mihemko kama wabunge wengi wa chadema.

Alizungumza kwa sauti ya heshima iliyojaa Mamlaka. Nilimuweka kwenye kundi la wanasiasa wenye misimamo alipokataa kuunga mkono juhudi za jiwe pamoja na kujua kiti chake anakwenda kukipoteza akiendelea kubaki upinzani.

Sasa leo ukimtuhumu amefika bei kwa sababu hajahangaika na kesi ya mbowe au hajawahi kusema mbowe sio gaidi utakuwa humtendei haki.

Always wanaHiphop hawafuatagi mikumbo ni watu wanaopenda sana Uhuru wao.
Well said mkuu......Mungu amponye haraka Joseph haule
 
Profesa Jay ni miongoni mwa wabunge wachache wa upinzani ambao kuenguliwa kwake kuliwauma hata CCM wenyewe.
Kuenguliwa au kuporwa uchaguzi.
Vipi na nyumba yake iliovunjwa na MaCCM .
MaCCM ni LAANAKUM katika nchi sio wakuwaamini hata chembe,
 
Respect bro.
Let your ego not drive you out of your dignity.
Leave this kind of the statements to noise makers.
Akili yako haina akili. Hutaki ukweli usemwe mjaa laana, LAANAKUM.
Nyumba yake mliomvunjia na ushindi mliompora Mikumi mtamrudishia?!

Mashetani MaCCM kwa kujigeuza watu Hamjambo.
 
Back
Top Bottom