CCM wamjulia hali Joseph Haule (Profesa Jay) Hospitali ya Taifa Muhimbili

CCM wamjulia hali Joseph Haule (Profesa Jay) Hospitali ya Taifa Muhimbili

Prof J wakati mzima hakuwahi kumtembelea mbowe na hajawahi kusema Mbowe siyo gaidi.
Profesa Jay alikuwa anahudhuria kwenye kesi ya Mbowe. Wacha njaa yako chukua hiyo

JamiiForums1148079297.gif
 
Ugonjwa hauna siasa wala dini acha utoto ,inapofikia suala la ugonjwa weka mbali siasa na ujinga,J alikuwa mbunge wa wote,nyimbo zake hazisikilizwi na cdm tu, daaaaaaaah hufanani na kituko ulichoandika,umeongea funza
Ila taga wote ni kama mbwa mwitu wenye kuvalia ngozi ya kondoo, Kaa nao kwa wema ila usiwaamini🤔.
 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo (Leo) Alkhamis, Februari 10, 2022 akiwa ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi...
Dunia inaenda kasi sana. Ni mwaka sasa tangu aondoke yule mwovu.

Sasa maisha ni amani na upendo.

Hongera katibu mkuu Mzee Chongolo
 
Huyo j alishafika Bei kitambo. We ulimuona akiangaika na kesi ya mbowe.
Mbona unaishi kwa hisia,
lakini pamoja na hayo haiwezi kuwa sababu ya kutokumtembelea ,ugonjwa hauna dini wala chama
Na siasa sio uadui

Nafikiri chama kitaandaa utaratibu wa kumuona soon
 
Huyo j alishafika Bei kitambo. We ulimuona akiangaika na kesi ya mbowe.

Prof J,Mti mkavu ni mti mkavu kweli.Hata akiwa bungeni alionyesha ukomavu mkubwa,hakuwa na mihemko kama wabunge wengi wa chadema.

Alizungumza kwa sauti ya heshima iliyojaa Mamlaka. Nilimuweka kwenye kundi la wanasiasa wenye misimamo alipokataa kuunga mkono juhudi za jiwe pamoja na kujua kiti chake anakwenda kukipoteza akiendelea kubaki upinzani.

Sasa leo ukimtuhumu amefika bei kwa sababu hajahangaika na kesi ya mbowe au hajawahi kusema mbowe sio gaidi utakuwa humtendei haki.

Always wanaHiphop hawafuatagi mikumbo ni watu wanaopenda sana Uhuru wao.
 
Profesa Jay ni miongoni mwa wabunge wachache wa upinzani ambao kuenguliwa kwake kuliwauma hata CCM wenyewe.
Yaani CCM waliumia baada ya Kitendo Chao Cha Kumuengua Prof Jay sio ?
Huu si ndio Uchawi Sasa Jamani
 
Binafsi nimependa, japo siasa ni unafiki
 
Back
Top Bottom