CCM wamjulia hali Joseph Haule (Profesa Jay) Hospitali ya Taifa Muhimbili

CCM wamjulia hali Joseph Haule (Profesa Jay) Hospitali ya Taifa Muhimbili

Hongera sana kwa viongozi wa CCM kwa kuonesha upendo na ukomavu wa kisiasa.

hakika ni CHAMA IMARA NA KAZI IENDELEE.
 
Segerea wataenda lini? Kumtembelea mahabusu wa kisiasa mtuhumiwa wa ugaidi, mwenyekiti wa CHADEMA?
Kumbuka ni Jambo la hiyari.

HATA HILI LILILOFANYIKA Ni jambo zuri na la kupongezwa.

Vinginevyo inabidi tuambiane mara ya mwisho CHADEMA kuhudhuria shughuli za serikali kila wanapoalikwa au kumwona kiongozi wa CCM anapoumwa.

....After all; hata wakienda kumwona Mbowe wapinzani bado hawataishiwa cha kusema.
 
Back
Top Bottom