CCM wamjulia hali Joseph Haule (Profesa Jay) Hospitali ya Taifa Muhimbili

CCM wamjulia hali Joseph Haule (Profesa Jay) Hospitali ya Taifa Muhimbili

Kumjulia hali mgonjwa ni jambo jema sana, huo ndio undugu wenye kufaana.
Akufaae kwa dhiki ndie rafiki,tatizo ni ccm tu wala kusingekuwa na shida.

Ajaliwe kupona kwa haraka ndugu haule.
 
Najua Kitendo mlichokifanya kwa Wapuuzi wengi waliopo mtapata Sifa na Kupongezwa ila kwa Werevu wachache ndiyo wanazidi tu Kuwadharau japo mlishadharaulika Kitambo tu...
Ugonjwa hauna siasa wala dini acha utoto ,inapofikia suala la ugonjwa weka mbali siasa na ujinga,J alikuwa mbunge wa wote,nyimbo zake hazisikilizwi na cdm tu, daaaaaaaah hufanani na kituko ulichoandika,umeongea funza
 
Nilitamani kumjibu lakini umechukua majibu yangu yote. Safi sana.
 
Acha kumshutumu awehuru kuuongea Kwa uhuru, na utoa maoni yake bila kuzongwa ni haki yake ya msingi.
Kuna umri ukifika unatakiwa kuwa na hekima kuliko hisia. Mshanajr nahisi kabisa kwa uelewa wake kimtazamo hahitaji kuwaza kama nyie mabachelor sugu wa mjini msiojua hata familia zinavyoongozwa.
 
Wazee wa nongwa aka wasio na jema..

wasingekwenda mngesema, wamekwenda mnasema.
ukisimama n'chale, ukikaa n'chale, ukiruka n'chale, ukikimbia n'chale. (in makonde vocal).
Usitufokee! Hakuna aliyewaomba hao team watesi wa watanzania kumtembelea Profesa J, wamejipendekeza wenyewe.
 
Dada habari samahani naomba nikuulize akajibu koma tafadhali hii ngoma gari Eeh unajua dada WE vipi embu nipishe dada mbona mkali we kinyago kubali yaishe

Jay
..hii ngoma aghali sio gari..watu wa njombe bwana
 
Wazee wa nongwa aka wasio na jema..

wasingekwenda mngesema, wamekwenda mnasema.
ukisimama n'chale, ukikaa n'chale, ukiruka n'chale, ukikimbia n'chale. (in makonde vocal).

Kabla hawajaenda umeona kuna mtu yoyote kauliza kwanini hawaendi? Yaani kwa ujumla hakuna anayehitaji msaada wao maana roho zao zinafahamika. Hiyo ni safari ya kiki zaidi.
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo (Leo) Alkhamis, Februari 10, 2022 akiwa ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shak...
Hivi unajua kilichomkuta Hangaya alipomtembelea Lissu hospital kule Nairobi???

Yule mzee alikuwa na roho ya kinyama sana.
 
Back
Top Bottom