CCM wanachekesha Sana, wanakwenda kuchagua bila kujua watamchagua nani!

CCM sio sawa na Vyama vya vibaraka,malizeni kutukanana na kudhalilishana kwanza ndio mje uwanjani.

CCM ni chama Dola nidhamu ni namba 1 hakuna mtu wa kuchangia chama Wala fadhila
Yaani Lisu anachangisha pesa zitumwe kwenye jina lake

CCM angefukuzwa alfajiri tu na jina angekatwa kuwa anatumia ofisi ya chama kujinufaisha kibinafsi kwa nafasi yaje akitumia hadi nembo ya Chadema

Chadema imepoteza mwekekeo kabisa pesa

Ingekuwa CCM angekatwa jina bila kujali jini kitatokea wakikata kama ilivyokata Jiba la Lowassa bila kujali nini kitatokea akikatwa jina

Chadema ve very bold Lisu kakiuka mno taratibu z chama kateni jina come what may

CCM tukikata jina mbona mwenyewe alirudi baadaye

Kateni tu asiwe mgombea Hawezi tumia nafasi yake kujinufaisha kibinafsi mara ohh nichangiwe gari,ada,uchaguzi nk haikubaliki michango iende chamani na chama kiidhinishe kwenye vikao mnamwachiaje Lisu kutumia nafasi yake kwa manufaa binafsi ya changia lisu?
 
CCM haitegemei huo upuuzi wa Wazungu Bali utaratibu wa kikomunist, Demokrasia ndio mdudu gani? Huko mnakodhalilishana kutukananana ndio Demokrasia si ndio? 🀣🀣
Kwani huo mfumo wa kikomunist ni watu weusi? Ama umevurugwa hadi hujui uongee nini? Nakumbuka ulikuwa unasema ww sio ccm bali ni muumini wa sera za Samia. Lakini naona hapa umeingia kwenye 18 za wanajf, uccm wako wote uko hadharani, na tunakulambisha mchanga vibaya sana.
 
Nyie misukule ndio mmeaminishwa hivyo vikao ni siri karne ya 21 hii, kweli nyumbu wapo kijani kibichi
 
Kwa hiyo chadema ndio inaonyesha demokrasia yao kwa vitendo na ndio baba wa demokrasia na maendeleo si ndio?
 
Chadema kwenu kuna fuka moshi
Kinachofanyika cdm ndio demokrasia halisi, huko kwenye chama la majizi ni mwendo wa ndio mzee na nidhamu za kinafki. Kwa tafsiri ya chama la majizi kinachofanyika cdm ni kufuka moshiπŸ˜‚
 
Duh πŸ™„ !
Kumbee !
 
shallow

Nafasi to be be field haina campaign

If you are smart in politics , you would never posted this thread

Tufiche upumbavu wetu
 
Mtalalamika kisha mwenyekiti wenu atumie kofia yake ya urais kuagiza lile kundi lake la watu wasiojulikana? Na wanaccm wengi wanamiliki mali za wizi, ukifungua mdomo tu unakomolewa. Mfano mrahisi, unamjua mmliki wa ghorofa lililoporomoka hapo kariakoo, amekamatwa? Hao ndio wajumbe wa ccm. Watu wa aina hiyo unategemea wahoji chochote?
 
Tuna hisi na kuwaza ila ndani ya dimbwi chura kagunduwa kuna nyoka mkali na hana sumu yakumuondoa nyoka huyo pindi atamfikia... jambo lakutisha amehunduwa nyoka huyo anapenda chura
 
Africa mashariki mkuu. Hata huu mshikemshike wa cdm wanauonea kijicho, maana wanajua wananchi wanaona ushindani wa kweli wa kisiasa.
Kwa ccm ni full ukondoo, Yaani jina la makamu mwenyekiti litoke kwenye pochi ya mwenyekiti kweli? Zama hiziπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kule hakuna chama Bali ni saccos ya Mbowe ,hao vibaraka wengine wamevamia tuu 🀣🀣
 
Kwa ccm ni full ukondoo, Yaani jina la makamu mwenyekiti litoke kwenye pochi ya mwenyekiti kweli? Zama hiziπŸ˜‚πŸ˜‚
Lazima wawe makondoo boss, maana wengi wanamiliki mali za wizi, wakipandisha sauti tu TRA wanatumwa kufanya ukaguzi kwenye miradi yao isiyolipa kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…