Uchaguzi 2020 CCM wanapata wapi pesa za kugharamia wasanii wote wanaowatumia?

Bado Kiviele mwenzangu ni contractor mkubwa wa serikali! mayanga construction
usilalie bahat ya mwenzio mlango waz. utaumwa na simba.roho mbaya tu kwan kama ni mtoto wa dada au nan.na ana vigezo vya ajira hio shida ipo wap? roho za husuda na mbaya utaishia kutweet tu hapa
 
Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?
Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
umeongea la maan ila kweli bhna maan wasanii ni weng mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
F
Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?
Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
Hakuna gharama kubwa, maana wasanii hatulipwi chochote.
 
Ruzuku kwa vyama vyote ni kodi ya watanzania, hata hizo anazolipwa Askofu Mwamakula ni kodi zetu.
Ruzuku haitoshi ndiyo maana unaona ukata huko chadema.CCM wanatumia zaidi ya ruzuku.Halafu kwani Askofu Mwamakula analipwa kinyume cha sheria?Hapa tunazungumzia malipo kinyume na sheria
 
Una uhakika wana lipwa?

Lets say hawalipwi japo ngumu kumeza, unaweza kujaribu kuwaza gharama za kuwa maintain kwenye mizunguko yote ya kampeni? Chakula, malazi, vinywaji na kiungo muhimu cha msanii ‘’bata’’..
 
Ruzuku haitoshi ndiyo maana unaona ukata huko chadema.CCM wanatumia zaidi ya ruzuku.Halafu kwani Askofu Mwamakula analipwa kinyume cha sheria?Hapa tunazungumzia malipo kinyume na sheria
Sijasema Mwamakula analipwa kinyume na sheria. Yule ni sehemu ya timu ya kampeni.

Ni malipo gani yaliyo kinyume na sheria unayozungumzia labda!
 
Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?
Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
Ccm ni chama kikubwa kinapata ruzuku kiasi gani?
Wana miradi mikubwa mikoa karibu yote nchini. Sasa kuhoji hayo ni Kama umekosa neno la kuanzia wiki....
 
Ccm ni chama kikubwa kinapata ruzuku kiasi gani?
Wana miradi mikubwa mikoa karibu yote nchini. Sasa kuhoji hayo ni Kama umekosa neno la kuanzia wiki....
Ni muhimu pia chadema wajiangalie kile kidogo wanachopata kinakoelekezwa.
 
Sijasema Mwamakula analipwa kinyume na sheria. Yule ni sehemu ya timu ya kampeni.

Ni malipo gani yaliyo kinyume na sheria unayozungumzia labda!
1.CCM wanatumia magari ya serekali kufanya kampeni.Hizi ni gharama ambazo ziko nje ya ruzuku na ni kinyume na sheria

2.CCM wanatumia maofisa wa serekali kufanya kampeni kama vile waalimu na walinzi ambao wanalipwa mishahara ya serekali.Hizi ni gharama ambazo ziko nje ya ruzuku na ni kinyume na sheria
 
Hapo ujue ccm wameshakwapua fedha sirikalini. Mashangingi yote Yale, masemi plus wasanii wanini wote. Kama miaka 5 iliyopita ccm ilifanya Mambo makubwa na mazuri kwa wananchi Kuna haja gani ya kutumia nguvu kubwaa kwenye kampeni? Picha za mgombea Kila mahali mpaka juu ya Miti. None sense
 
Vile vitambulisho visivyokuwa na picha ndio fedha zake zimetumika kumlipa Diamond mwenye kila kitu. Wamekwepua kwa mama maskini mwenye mtaji wa elfu 5000/= wanampelekea Tajiri Diamond na wenzie.
 
Bashiru Ally kwenye kipindi cha dakika 45 ITV alisema hawalipwi wanaimba kwa mapenzi yao kwa CCM tu.
Hawawezi kuharibu brand zao kwa kujihusisha na hilo genge la kigaidi bila kulipwa fedha ndefu kwani kuna maisha baada ya kampeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…