Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Nasikia Meko anatukana tu wale wenye tume yao maana wamepigwa chenga ya mwili na walimuhakikishia mwamba atanasa kwenye mtego. Sa sijui itakuwaje! Patamu hapo!tumejitolea sisi kama wanachama.hapa
"Wasanii wote wanajitolea".........alisikika kiongozi mmoja hakisema!!!Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?
Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
ukiona mtu mzima mwenye akili zake timamu eti anayaamini maneno ya bashiru jua kichwani ni kweupe kabisa!Bashiru Ally kwenye kipindi cha dakika 45 ITV alisema hawalipwi wanaimba kwa mapenzi yao kwa CCM tu.
Wewe nenda Facebook huku unakuja kubaka tu hujui chochoteusilalie bahat ya mwenzio mlango waz. utaumwa na simba.roho mbaya tu kwan kama ni mtoto wa dada au nan.na ana vigezo vya ajira hio shida ipo wap? roho za husuda na mbaya utaishia kutweet tu hapa
Mkuu chukua hapo ulipo chukua kreti ya beer nakuja kulipa hawajamaa wamemzungusha mzee Wang toka mwezi wa kumi mwaka Jana wakasema mwezi wa nne pesa inatoka Hadi leo ni mwezi wa kumi mwingnehizo pesa CCM wanachota NSSF na ndiyomaana wastaafu wazungushwa mpaka soli za viatu zimeisha.
Halaf mkuu wanakodi magari kupeleka watu kwenye mikutano haya wanatumia magari ya selikali wanabadilisha plate namba wanaweka za binafsi ili tusijue Sasa tulishajua Sasa tuna Jambo LETU mwezi huu tarehe 28Hapo ujue ccm wameshakwapua fedha sirikalini. Mashangingi yote Yale, masemi plus wasanii wanini wote. Kama miaka 5 iliyopita ccm ilifanya Mambo makubwa na mazuri kwa wananchi Kuna haja gani ya kutumia nguvu kubwaa kwenye kampeni? Picha za mgombea Kila mahali mpaka juu ya Miti. None sense
Bora Magufuli anakula hela zake na watanzania wengi, ila Mbowe anakula 8.9 billion za mishahara ya wabunge na Joyce tuu huku Lissu akitembeza bakuli.1.5 trillions ndio zinatumika.
Ila kaa ukijua kuwa hao wasanii kunawengine watatapeliwa ,CCM ni wezi wa kudumu
Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?
Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
Hahahahahahahahhuhuhuhuhuhu..........Mimi sina chama ila ila nadhani wasanii wanaipenda Ccm wanajitolea
ccm ni yetu sote, hasa linapokuja swala la pesa wanazotumia! Mimi nimepigwa fine ya barabarani, pia kwenye mafuta, sukari, chumbani nk, tunalipia kampeni za ccm! Na kwa kuwa ni sisi tunawaweka mjini, tuna mamlaka ya kuwaambia SASA BASI!Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?
Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
NSSF. Kilangila.Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?
Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
Mimi nimepresent kile alichosema. Bado sijashawishika kumuamini.ukiona mtu mzima mwenye akili zake timamu eti anayaamini maneno ya bashiru jua kichwani ni kweupe kabisa!
Ukweli mtupu. Nenda pale Ubungo plaza ukaone wazee wanavyopigwa kalenda. Mtu kastaafu mika mitatu iliyopita, hajalipwa hata sent tano. Kilangila.hizo pesa CCM wanachota NSSF na ndiyomaana wastaafu wazungushwa mpaka soli za viatu zimeisha.
Mimi nimepresent kile alichosema. Bado sijashawishika kumuamini.We mjinga kabsa unauhakik stamina anapenzi na CCM
Wote wanajitolea. Kule chama saccos, fuko lote la pesa anabeba mwenyekiti hana hata cha kutoa yeye ni kukusanya tu. Chama cha Mbowe cha kipuuzi Sana. Kifutwe tu, tuone mabeberu watapenyea wapi!Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?
Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
Kwamba hata Inspekta Harun anajitolea?....Hii ni ngumu sana kuamini, kumbuka wengine wanaahirisha kazi walizokuwa wakalipwe mahali.
Kuamini hii lazima utaamini pia kuwa Gwajima ana uwezo wa kufufua wafu.
Bado Ile 'inayokwapuliwa' na Dotto pale hazina!1.5 trilioni