Tetesi: CCM wanapita vyuoni kuorodhesha UVCCM waliokosa mkopo

ni marufuku wapinzani kutia mguu kwenye serikali yangu..
wale walioimba "tunaimaani na lowassaaa" heeeee ningekuwa mimi ningewapoteza...

hii ni wazi kwa utawala wa kibaguzi kufanya hivyo inawezekana..
 
Kuna taarifa kwamba UVCCM wanapita vyuo vikuu vyote kuwaandikishisha wanafunzi ambao hawakupata mikopo kutoka Bodi ili waweze kuwawezesha.Hivi kama kuna ukweli juu ya hili mnafikiri ni sahihi?


Juzi wafanyakazi wa habari wa UHURU na MZALENDO walikua wanalia hawakulipwa mishahara muda mrefu hilo hamkuliona? Kwanini hamkuanza na hilo?

Inayosababisha haya yote ni serikali ya Chama chenu kwanini msikae na Mwenyekiti wenu mmweleze ukweli? Kwahiyo haya yanafanywa makusudi ili ninyi mzungukie kwa nyuma mjiongezee idadi ya wanachama sio(kufa kufaana)
Mnashindwaje kuchukua hayo mafungu ya pesa mpeleke kwa Mwenyekiti ili alipe mikopo?


Kama mnafanya haya haya kweli basi jaribuni kutafakari.
 
sio hyo tu,hata kwa waliomaliza vyuo,cv zao zinakusanywa mahali.Ngoja nikae kimya
 
Aisee hili n ajabu lingine la Dunia,hv vio goz wa wanafunz wapo kweli
 
Usikimbilie kuuita upuuzi. Iko taarifa rasmi iliyotolewa na UVCCM kwamba inaingilia kati suala la mikopo ya wanafunzi wa vyuo vikuu. Swali linaweza kuanzia hapo; kwamba UVCCM ni nani katika suala hili?
 

Usiwe na wasiwasi Mungu bado anafuatilia maombi ya kuwa Malaika washuke wafungie hizi Social media.😳
 
Kama kwa kinywa chake aliwahi kusema hawezi kumsaidia mtoto wa jirani unashangaa hili!!!!!

 
Kama kwa kinywa chake aliwahi kusema hawezi kumsaidia mtoto wa jirani unashangaa hili!!!!!

Sijasikia hilo!
Na kama alisema hivyo basi alipitiwa tu. Kumpenda jirani yako kama ujipendavyo ni agizo la Mungu. Maombi yanajibiwa tu tunapowapenda jirani zetu. Utawezaje kumpenda Mungu usiye muona kama usipompenda jirani yako unayemwona?
 
Mimi na kadi 4 za vyama tofauti tofauti. Hii nchi tulikofikia ni kubaya, hapa n kujiongeza tu ukizubaa umeliwa.
 
Pumba tupu hapo, hakuna ukweli wowote!! Kama huna cha kusema mbele ya jamii bora ujae kimya kuliko kupotosha umma kwa malengo yako bnafsi! Mkiadhibiwa mnasema serkal mbaya wakat nyie wenyew ndo wabaya kulko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…