Tetesi: CCM wanapita vyuoni kuorodhesha UVCCM waliokosa mkopo

Tetesi: CCM wanapita vyuoni kuorodhesha UVCCM waliokosa mkopo

Habari hii ni kweli ila pia chumvi imejazwa uvccm wanaandikisha majina kwa watoto wenye kundi maalum waliokosa mkopo tena napinga kabsa swala la eti ili uandikwe lazima uwe na kadi ya ccm kuna vijana wameandika majina yao ni yatima tena hawajaulizwa suala la kadi
Nani kawapa mamlaka ya kufanya kazi ya serikali? Kwani wahusika hawapo? Au huo mkopo watapewa na CCM?
 
Ukimsikia malaika siku za nyuma alikuwa anasema hataki siasa kwenye utekelezaji wa ahadi lakini kinyume chake mawaziri wake wamekuwa wakipiga siasa la uwongo wa hali ya juu, na haya wanayafanya huku malaika akijua utadhani kawatuma. Mfano Charles mwijage kawa muongo anadiriki kudanganya utafikiri anapiga kampeni jukwaani. Hatuwezi kufika popote kwa mtindo huu kama kuna tatizo ni heri kuwa wazi ili kila mmoja achangie wazo la kutoka hapa tulipo
 
Vijana wa Ufipa hv mbowe anawalipa shilingi ngapi kwa uongo wa namna hii hv leo ukipelekwa mahakamani unao ushahidi wa upuuzi ulioandika hapa ???? au unadhani kutumia fake id hapa unaweza kuandika chochote tu ukitakacho?? na siku msitu huu ukifyekwa sijuh mtajificha wapi tena.
Na wewe tunga uongo wako uandike kwani bei gani mkuu
 
Eeh! Mungu eeh! Linusuru Taifa letu na huyu dikteta ucharwa na chama chake cha ukoo wa mafisi na mapanya wanaotaka kuleta ubaguzi wa kutisha nchini.

Viongozi wa uvccm wameagizwa na viongozi wa ccm kupita kila chuo kuorodhesha wanachuo waliokosa mkopo ambao ni wana chama wa ccm

Zoezi hili linafanyika kwa siri, ili wanafunzi wasio wanachama wa ccm wasijue kinachoendelea

Ili uorodheshwe unatakiwa uonyeshe kadi ya ccm na registration number ya chuo

Zoezi hili limeanza wiki iliyopita mpaka mwishoni mwa juma
Rafiki yangu wakaribu ambaye ni uvccm ameniambia wamehakikishiwa watapata mkopo

Nikarejea waziri wa elimu alisema atatoa mkopo kwa mwanafunzi wasiozid 25, 000 na hadi sasa wametoa kwa wanachuo 20, 000 tu

Ndio nchi yetu ilipofikia hapa, licha ya bwana mkubwa kuhubiri usawa but he doesn't walk his talk

Vijana wenzangu ambao sio makaada wa ccm wakipolisikia hili walitaharuki na kuanza kutafuta kadi za ccm ili mradi tu wawepo kwenye orodha ya ccm inayoratibiwa lumumba

Poleni ndugu wanachuo msio ccm...
 
Habari hii ni kweli ila pia chumvi imejazwa uvccm wanaandikisha majina kwa watoto wenye kundi maalum waliokosa mkopo tena napinga kabsa swala la eti ili uandikwe lazima uwe na kadi ya ccm kuna vijana wameandika majina yao ni yatima tena hawajaulizwa suala la kadi
Tumia uelewa kidogo, kwani uvccm wanahusikaje na ufatiliaji wa wanafunzi wenye makundi maalum? Bodi ya mikopo inakazi gani? Kama ni kweli wanaafatilia na kuandika watu bila shaka yeyote wametumwa kuorodhesha CCM wenzao.
 
Kama ni kweli natangaza kwamba nitaiktikia zoezi kwa moyo mmoja lakini ukweli upo ndani ya moyo hiyo haina shida kabisa tena nawakaribisha hapa chuoni.......
 
ENDAPO TAARIFA HIZI NI ZA UKWELI HAKIKA HAWA HARAMU WANAPASWA KUFANYWA CHAKULA CHA MAMBA MAANA HUU NI UFEDHULI KWA UBAGUZI HUU NA KUFANYA KAZI WASIYO NA MAMLAKA NAYO.
KUNA TAASISI HUSIKA YA KUTOA MIKOPO KWA WANAFUNZI AMBAYO NI HESLB NDIYO WADAU NA WAHUSIKA WAKUU HAO HARAMU ENDAPO WANAFANYA HIVYO NA WANAFUNZI WENGINE WANAKOSA WAKIDHANI WANAJENGA NA WANA AKILI WAMEPOTEA KWANI HAKUNA MWANAFUNZI WA ELIMU JUU ANAYETAKA KUSIKIA WHAT WE CALL IS THE HELL CCM???
POOR MINDED THOSE WHO DO IF TRUE
 
Viongozi wa UVCCM wameagizwa na viongozi wa CCM kupita kila chuo kuorodhesha wanachuo waliokosa mkopo ambao ni wana chama wa CCM

Zoezi hili linafanyika kwa siri, ili wanafunzi wasio wanachama wa CCM wasijue kinachoendelea

Ili uorodheshwe unatakiwa uonyeshe kadi ya CCM na registration number ya chuo

Zoezi hili limeanza wiki iliyopita mpaka mwishoni mwa juma
Rafiki yangu wakaribu ambaye ni UVCCM ameniambia wamehakikishiwa watapata mkopo

Nikarejea waziri wa elimu alisema atatoa mkopo kwa mwanafunzi wasiozid 25, 000 na hadi sasa wametoa kwa wanachuo 20, 000 tu

Ndio nchi yetu ilipofikia hapa, licha ya bwana mkubwa kuhubiri usawa but he doesn't walk his talk

Vijana wenzangu ambao sio makaada wa CCM wakipolisikia hili walitaharuki na kuanza kutafuta kadi za CCM ilimradi tu wawepo kwenye orodha ya CCM inayoratibiwa Lumumba

Poleni ndugu wanachuo msio CCM...

Time will tell
 
Vijana wa Ufipa hv mbowe anawalipa shilingi ngapi kwa uongo wa namna hii hv leo ukipelekwa mahakamani unao ushahidi wa upuuzi ulioandika hapa ???? au unadhani kutumia fake id hapa unaweza kuandika chochote tu ukitakacho?? na siku msitu huu ukifyekwa sijuh mtajificha wapi tena.
Lakin hata wewe pia una haki ya kukanusha sio kutisha.
 
Back
Top Bottom