mgoloko
JF-Expert Member
- Jun 25, 2016
- 4,806
- 3,996
Ila Mkuu kumbuka serikali ishafirisika haina hela kabisa subiri baada ya mwezi huu ukiisha.Kwa utawala huu hili linawezekana kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Mkuu kumbuka serikali ishafirisika haina hela kabisa subiri baada ya mwezi huu ukiisha.Kwa utawala huu hili linawezekana kabisa.
Schemers Govt up to 2020 or beyond!! It is all slavery I assure youViongozi wa uvccm wameagizwa na viongozi wa ccm kupita kila chuo kuorodhesha wanachuo waliokosa mkopo ambao ni wana chama wa ccm
Zoezi hili linafanyika kwa siri, ili wanafunzi wasio wanachama wa ccm wasijue kinachoendelea
Ili uorodheshwe unatakiwa uonyeshe kadi ya ccm na registration number ya chuo
Zoezi hili limeanza wiki iliyopita mpaka mwishoni mwa juma
Rafiki yangu wakaribu ambaye ni uvccm ameniambia wamehakikishiwa watapata mkopo
Nikarejea waziri wa elimu alisema atatoa mkopo kwa mwanafunzi wasiozid 25, 000 na hadi sasa wametoa kwa wanachuo 20, 000 tu
Ndio nchi yetu ilipofikia hapa, licha ya bwana mkubwa kuhubiri usawa but he doesn't walk his talk
Vijana wenzangu ambao sio makaada wa ccm wakipolisikia hili walitaharuki na kuanza kutafuta kadi za ccm ili mradi tu wawepo kwenye orodha ya ccm inayoratibiwa lumumba
Poleni ndugu wanachuo msio ccm...
wewe endelea kujitoa ufahamu mengi yanakuja
Habari hii ni kweli ila pia chumvi imejazwa uvccm wanaandikisha majina kwa watoto wenye kundi maalum waliokosa mkopo tena napinga kabsa swala la eti ili uandikwe lazima uwe na kadi ya ccm kuna vijana wameandika majina yao ni yatima tena hawajaulizwa suala la kadi
Hii taarifa itakanushwa sasa hivi.....
Malaika wa ikulu sizani kama atakubali chama chake kuingia kwenye kashifa kama hii......
Mbele ya safari tutakuwa na Taifa la ubaguzi.
Ujiulizi hapo kwanini? Hao uvccm waandikishe majina wao kama nani?
Nawapa pole sana wanafunzi watakaokoseshwa mkopo kwa umangimeza wa UVCCM. Hilo la kuandikisha makada wa ccm vyuoni kwa ajili ya kupta mikopo halina nia njema kam ani kweli inagawa siamini kama ni kweli. Linakusudiwa kuwanyima haki hiyo ya mikopo kwa wanafunzi ambao wazee wao ama wao wenyewe si wafuasi wa CCM. Kwa znz hili sio geni, miaka ya nyuma ilikuwa wanafunzi ambao wazee wao waliodhaniwa kuwa ni wafuasi wa cuf walinyimwa scholarships na fursa nyengine za udhamini kwa sababu tu ya kuegemea itikadi fulani ya kisiasa. Walioathirika zaidi na ndugu zangu kutoka Pemba na badhi ya wanafunzi wa unguja mimi nikiwa ni mmoja wao. Walikoseshwa scholarships mchana kweupe bila ya huruma. Haya yalitokea wakati wa utawala wa Salamin Amour Juma. Kwa Zanzibar ilikuwa unapopata scholarship lazima upitie ofisi ya usalama ( wenyewe wanaita GSO) ukakaguliwe na kuchunguzwa kila sehemu, unajaza fomu yenye masuala fyoko kama vile umezaliwa wapi, umesoma shule gani, umeoa wapi, wifi zako , shemeji zako nani , unapendelea michezo gani n aviwanaja vipi unakwenda, unakaa wapi na masuala mengine kedekede unayoulizwa kwenye hiyo fomu ya GSO ambayo ilikuwa ikiratibiwa na usalama wa taifa. mwisho wa siku unasikia tu kuwa hutopata scholarship na huambiwi sababu ya kukoseshwa. kama hali hii imehamia T/ Bara, ni masikitiko makubwa hususan kwa wanafunzi wanaotoka ktk kaya masikini na ambao wazee wao hawana uwezo wa kuwasomesha watoto wao ngazi ya chuo kikuu. Ni huzuni kubwa na ninawapa pole wale wote watakaoathirika.
Ili mradi kumbe hayo mambo ya kuandikshana yapo,basi mleta uzi yuko sahihi.Uvccm wanaandikisha waliokosa mkopo wao kama nani?
kwanini waandikwe na watu wa chama? usipokuwa na chama chochote maana yake hupewi mkopo? bodi imewapata tenda hiyo ccm? msipige kelele njooni mjibu haya maswali
Nothing but Discrimination! Tena ndani ya nchi yako! Bila kuzingatia kuwa Kodi zinalipwa na wote,ila Huduma zinatolewa kiubaguzi! Iko siku tu!
Ila Mkuu kumbuka serikali ishafirisika haina hela kabisa subiri baada ya mwezi huu ukiisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumejipangaaa... Mwaka huu mtaisoma x2
Mkitaka kujua serikali haina hela hebu kumbukeni mama samia suluhu ni muda alitoa ahadi ya serikali kuilipa MSD ili inunue dawa na mpaka leo ahadi hiyo haikutekelezwa. Tatizo pato kubwa la serikali lilikuwa kwenye ushuru wa forodha ambao umedoda baada bandari ya Dar kugeuka uwanja wa mpira bila ya kuwa na meli hata moja
Hahahaaa mtachonga sana. Acheni porojo nyie wenzetu kwani kila kitu mwakitazama kwa mtazami hasiViongozi wa uvccm wameagizwa na viongozi wa ccm kupita kila chuo kuorodhesha wanachuo waliokosa mkopo ambao ni wana chama wa ccm