Whiteman confusing
JF-Expert Member
- Sep 12, 2020
- 328
- 280
Mkuu huyo jamaa asikutishe na hiyo statistical dataNimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura wa zaidi ya 5 million wa ziada. Kwa madai hayo ina maana watakuwa na wapiga kura 21 million Kati ya 23 million wakiojiandikisha.
Je, huu ndiyo Mpango wa CCM kujustify ushindi wa kishindo na wanatuandaa kisaikolojia kwa Mpango wao wakati on the ground watu tunaona tofauti?
Binafsi Nikiangalia kwenye Familia, marafikiki na watu walionizunguka sioni hao wanachama wa CCM kwa number hizo wanazodai CCM.
Wadau naomba maoni yenu kuhusu anachokisena Polepole.
Cheki huyu mjinga!! Yaani ww unafanya utafit wa familia yako, mwezako kafanya utafit nchi nzima..""no reaserch no light to speak "Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura wa zaidi ya 5 million wa ziada. Kwa madai hayo ina maana watakuwa na wapiga kura 21 million Kati ya 23 million wakiojiandikisha.
Je, huu ndiyo Mpango wa CCM kujustify ushindi wa kishindo na wanatuandaa kisaikolojia kwa Mpango wao wakati on the ground watu tunaona tofauti?
Binafsi Nikiangalia kwenye Familia, marafikiki na watu walionizunguka sioni hao wanachama wa CCM kwa number hizo wanazodai CCM.
Wadau naomba maoni yenu kuhusu anachokisena Polepole.
Polepole anadai kuwa watu wana kwenda kumwangalia Lissu. Kama ni kweli mbona hawaendi kuwaangalia wengine.Tumeona vijijini,ccm wanadhana kuwawekea tbc pekee ndo wataweza mind control,mind control aliweza Nyerere pekee zamani, hata Sasa asingeweza control akili za watu. Wanajidanganya eti Lisu ajulikani vijijini sasa Kama trump tu anajulikana vijijini sembuse Lisu.
Cheki huyu aliyekula mavi70% ya wanachama wa ccm hawatampigia kura Magufuli .
Upepo wa lowasa huwez kulinganisha na huyu beberu wenuWaache kutudaganya. 2015 waliambulia kura 8 million. Kwa miaka 5 wanataka kudai wapiga kura wao wameongezeka zaidi ya mara 3. Hawa Jamaa wana mipingo mibaya kwa nchi.
Njaa imeunganisha watuCheki huyu aliyekula mavi
Kuna watu Kama 10 humu mtakunywa hadi sumu kuanzia tarehe 29 mwezi huu mkianza kusomewa matokeo. Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania sio 2020 tu bali ni kamwe(NEVER). Hata ukashawishi ukoo wako wote na mkoa mzima wampigie kura, hawezi kushinda. Uzuri ni kuwa bado siku chache sana hizi kelele zenu ziishe. Badala ya kuwa wabunifu mmeweka akili zenu kwa Lissu. Eti mbeba maono, WAPUMBAVU sana nyie.Hadi jamaa kawa mpole anafoka foka na ubabe wake Hali si Hali upepo si wao,anga limewakataa.
Connect dot Kutokimbizwa kwa mwenge plus kifo Cha nguzo yao mzee wa lupaso,hapa lzm ccm imfate KANU.huu ni unabii
Umechoka ww na mama yako tuZaidi ya nusu ya wanaccm watampigia kura Lissu. CCM mpya imechokwa sana
Hiv msemaji wa chadema ni nan kwer??Chama kimekosa msemaji kinapoyoyo
Kwer ndiyo nini?Hiv msemaji wa chadema ni nan kwer??
Maumivu yakiz muone daktarCCM ina watu wa hovyo sn
Siyo rahisi kivihivyo mkuuHadi jamaa kawa mpole anafoka foka na ubabe wake Hali si Hali upepo si wao,anga limewakataa.
Connect dot Kutokimbizwa kwa mwenge plus kifo Cha nguzo yao mzee wa lupaso,hapa lzm ccm imfate KANU.huu ni unabii
SawaMaumivu yakiz muone daktar
Kuna watu Kama 10 humu mtakunywa hadi sumu kuanzia tarehe 29 mwezi huu mkianza kusomewa matokeo. Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania sio 2020 tu bali ni kamwe(NEVER). Hata ukashawishi ukoo wako wote na mkoa mzima wampigie kura, hawezi kushinda. Uzuri ni kuwa bado siku chache sana hizi kelele zenu ziishe. Badala ya kuwa wabunifu mmeweka akili zenu kwa Lissu. Eti mbeba maono, WAPUMBAVU sana nyie.
Muulize katibu wa Chadema anawanachama wangapi waliohai, ukipata rudi useme hapa ndipo utajua Ccm imeangalia idadi tao ya wanachama waliohai wanaolipia kadi .Idadi ya pembeni ni wale wasio na vyama ,kiukweli hapo ni idadi tu ya wanachama na wakienda wote mwaka huu Ccm 9m na chadema 3m utaona siku ndio hivo zinayoyoma.Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura wa zaidi ya 5 million wa ziada. Kwa madai hayo ina maana watakuwa na wapiga kura 21 million Kati ya 23 million wakiojiandikisha.
Je, huu ndiyo Mpango wa CCM kujustify ushindi wa kishindo na wanatuandaa kisaikolojia kwa Mpango wao wakati on the ground watu tunaona tofauti?
Binafsi Nikiangalia kwenye Familia, marafikiki na watu walionizunguka sioni hao wanachama wa CCM kwa number hizo wanazodai CCM.
Wadau naomba maoni yenu kuhusu anachokisena Polepole.
Sikusema nimefanya utafiti. Ila simple logic tu atakuonyesha kama CCM Ina wanachama na wapiga kura wote hao ni lazima watakuwa kwenye kila Familia au watu waliokaribu yako. Sasa kama katika watu 10 wa karibu yako hakuna mwana CCM au yuko moja hiyo inaashiria hawako wengi kama wanavyotaka kutuaminisha.Cheki huyu mjinga!! Yaani ww unafanya utafit wa familia yako, mwezako kafanya utafit nchi nzima..""no reaserch no light to speak "