Whiteman confusing
JF-Expert Member
- Sep 12, 2020
- 328
- 279
Mkuu nimejarbu kufutilia context zako nikagundua wew ndo mtu wa hovyo kuwai kutokea kwenye hii karne ya sasa naisi hara elimu uliyo nayo niyakigumashi sanaMaumivu yakiz muone daktar
Wewe ulitoka Burundi na kuoa mrundi mwenzako- unategemea uwe na ukoo mkubwa kweliNimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura wa zaidi ya 5 million wa ziada. Kwa madai hayo ina maana watakuwa na wapiga kura 21 million Kati ya 23 million wakiojiandikisha.
Je, huu ndiyo Mpango wa CCM kujustify ushindi wa kishindo na wanatuandaa kisaikolojia kwa Mpango wao wakati on the ground watu tunaona tofauti?
Binafsi Nikiangalia kwenye Familia, marafikiki na watu walionizunguka sioni hao wanachama wa CCM kwa number hizo wanazodai CCM.
Wadau naomba maoni yenu kuhusu anachokisena Polepole.
Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura wa zaidi ya 5 million wa ziada. Kwa madai hayo ina maana watakuwa na wapiga kura 21 million Kati ya 23 million wakiojiandikisha.
Je, huu ndiyo Mpango wa CCM kujustify ushindi wa kishindo na wanatuandaa kisaikolojia kwa Mpango wao wakati on the ground watu tunaona tofauti?
Binafsi Nikiangalia kwenye Familia, marafikiki na watu walionizunguka sioni hao wanachama wa CCM kwa number hizo wanazodai CCM.
Wadau naomba maoni yenu kuhusu anachokisena Polepole.
Polepole anadai CCM wana wanachama 16 million. Wewe unasema 9 million. Ndiyo maana nimesema kuna upotoshaji hapa.Muulize katibu wa Chadema anawanachama wangapi waliohai, ukipata rudi useme hapa ndipo utajua Ccm imeangalia idadi tao ya wanachama waliohai wanaolipia kadi .Idadi ya pembeni ni wale wasio na vyama ,kiukweli hapo ni idadi tu ya wanachama na wakienda wote mwaka huu Ccm 9m na chadema 3m utaona siku ndio hivo zinayoyoma.
Ila YOUTUBE wakisema video ya wimbo DESPASITO umetizamwa na watu bilioni Saba na kuvunja rekodi inakua sawa?Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura wa zaidi ya 5 million wa ziada. Kwa madai hayo ina maana watakuwa na wapiga kura 21 million Kati ya 23 million wakiojiandikisha.
Je, huu ndiyo Mpango wa CCM kujustify ushindi wa kishindo na wanatuandaa kisaikolojia kwa Mpango wao wakati on the ground watu tunaona tofauti?
Binafsi Nikiangalia kwenye Familia, marafikiki na watu walionizunguka sioni hao wanachama wa CCM kwa number hizo wanazodai CCM.
Wadau naomba maoni yenu kuhusu anachokisena Polepole.
Wewe ni wapi nimedai ,nimesema ushindi utakuwa 9m kwa ccm ila wanawachama ni M17 sio m16 kama ulivyosema usidhani nimekurupuka nimekupa nakisi tu kama Lowassa alipa m6 na Tundu apate ngapi kama sio m3 hivyo ushindi ni wa Ccm kwa sababu ina idadi ya wanachama inaowajua kindakindaki nimekupa tip mwambie katibu wa chadema akanushe na ataje wanachama wake we huoni hata mgombea wa chadema anashinikiza apigiwe hadi na watumishi ili wagawane maana anajua wanachama wa ccm ni wengi ni bora kuwachonganisha ili apigiwe yeye.Polepoleanadai CCM wana wanachama 16 million. Wewe unasema 9 million. Ndiyo maana nimesema kuna upotodhaji hapa.
Jaribu kuficha ujinga wako kidogo!! Umaskini ni wakwako kama huwez kufanya kaz endelea kujishinda mitandaon na kulaumu serkali, kamaeni na hao wanatumwa kutuvulugia nch, iko hiv huyu beberu hapit na mkileta vulugu tutawadhibitMkuu nimejarbu kufutilia context zako nikagundua wew ndo mtu wa hovyo kuwai kutokea kwenye hii karne ya sasa naisi hara elimu uliyo nayo niyakigumashi sana
Kwa wakati kama hizi most of people we need to change the. Feature this country Ila cha ajabu
Wew unakumbati. Umasikini na ufukara uliyo nayo hata kama una nyadhifa flan usichukulie poah
Life is so tough
Ndugu Polepole asikusumbue kichwa....kuongea hayo ni part ya Job Description(JD) yake ili mkono uende kinywani...hata kama ungekuwa wewe umeajiriwa katika hiyo nafasi ungefanya....maana lazima ule na watoto wale...maneno yake yasikusumbue hata kidogo hata Nappe aliongea sana sasa hivi yupo wapi? ......tumpuuze tu.Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura wa zaidi ya 5 million wa ziada. Kwa madai hayo ina maana watakuwa na wapiga kura 21 million Kati ya 23 million wakiojiandikisha.
Je, huu ndiyo Mpango wa CCM kujustify ushindi wa kishindo na wanatuandaa kisaikolojia kwa Mpango wao wakati on the ground watu tunaona tofauti?
Binafsi Nikiangalia kwenye Familia, marafikiki na watu walionizunguka sioni hao wanachama wa CCM kwa number hizo wanazodai CCM.
Wadau naomba maoni yenu kuhusu anachokisena Polepole.
Swala lilikua ni uwepo wa vyombo vya kutoa matangazo.Tumeona vijijini,ccm wanadhana kuwawekea tbc pekee ndo wataweza mind control,mind control aliweza Nyerere pekee zamani, hata Sasa asingeweza control akili za watu. Wanajidanganya eti Lisu ajulikani vijijini sasa Kama trump tu anajulikana vijijini sembuse Lisu.
Kwasababu hauna akili huwezi kuelewa, ile ni kuzuga ulimwengu. Unahitaji akili ya ziada kuelewa. Hiyo yote ni mikakati inapangwa kabla. Hakuna linalofanyika bahati mbaya, tatizo hamtumii ubongo kufikiri mmejaa ushabiki maandazi. Ili Lissu awe Raisi unahitajika usaliti mkubwa sana kwenye system na bahati mbaya kwenu kwa Tanzania Sasa hivi haupo. Narudia tena na nakuhakikishia Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa nchi hii.NEVER.Why mnapiga magoti kuomba kura kwann msikae dodoma kusubiria kuapishwa tu si mmenunua ndege zije zipaki, flyover, SGR,why mnaomba msaada kwa police.
Mtza yeyeto anaweza kuwa raisi akiaminiwa.Nchi sio chama.Nchi ni katiba
Kuna mambo hayahitaji utafiti. Ni common sense.Ila YOUTUBE wakisema video ya wimbo DESPASITO umetizamwa na watu bilioni Saba na kuvunja rekodi inakua sawa?
By the way kupinga tafiti kunahitaji tatiti pia...
Hopeless kabisa tumia akili kugikiri unaimba mapambio wakati wazazi wako na ndg zako ni fukura kama mbwa koko wewJaribu kuficha ujinga wako kidogo!! Umaskini ni wakwako kama huwez kufanya kaz endelea kujishinda mitandaon na kulaumu serkali, kamaeni na hao wanatumwa kutuvulugia nch, iko hiv huyu beberu hapit na mkileta vulugu tutawadhibit
Wewe unawezaji kusema mpaka nakufa sitokuja kuipigia CCM kura Mwl wako wa tenses ni Chadema?mm kifupi cjakuelewa.Hata mimi ni mwanachama wa CCM na kadi ninayo ila toka 2015 sijawai ipigia CCM kura na mpaka nakufa sitokuja kuipigia ccm kura.
Hii maana yake ni kweli ccm inawanachama wengi ila wapo kinafiki. Kkwa mfano kuna walioaminishwa kupata kazi, mkopo, na fursa nyingine za kiserikal ni lazma uwe na kadi ya CCM. So tupo wengi makadi tunayyo ila hayana maana
Never say Never.....Kwasababu hauna akili huwezi kuelewa, ile ni kuzuga ulimwengu. Unahitaji akili ya ziada kuelewa. Hiyo yote ni mikakati inapangwa kabla. Hakuna linalofanyika bahati mbaya, tatizo hamtumii ubongo kufikiri mmejaa ushabiki maandazi. Ili Lissu awe Raisi unahitajika usaliti mkubwa sana kwenye system na bahati mbaya kwenu kwa Tanzania Sasa hivi haupo. Narudia tena na nakuhakikishia Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa nchi hii.NEVER.
Unajua kukusanya data?? Akisema kila watu 3, 2 ni Ccm inamaana amechukua idad ya wapiga kura wote akagawa na wanachama hai wa ccm ndo inapatikan hiyo 1/3 mfano mikoa ming saiv inamuunga makufur nenda kanda ya ziwa kanda ya kat pwan,maghalib nk hizo zote ni ngome za Ccm sjajua ni mkoa gan ndo tundu atapata kura lisu.. Kiongoz kaa utulie uache ushabik madaz utagundua meng san na utakubaliana na polepoleSikusema nimefanya utafiti. Ila simple logic tu atakuonyesha kama CCM Ina wanachama na wapiga kura wote hao ni lazima watakuwa kwenye kila Familia au watu waliokaribu yako. Sasa kama katika watu 10 wa karibu yako hakuna mwana CCM au yuko moja hiyo inaashiria hawako wengi kama wanavyotaka kutuaminisha.
Huo ushakuwa wimbo vichekesho unaozidi kukosa mvuto hata kwa watoto.Jaribu kuficha ujinga wako kidogo!! Umaskini ni wakwako kama huwez kufanya kaz endelea kujishinda mitandaon na kulaumu serkali, kamaeni na hao wanatumwa kutuvulugia nch, iko hiv huyu beberu hapit na mkileta vulugu tutawadhibit
Maumivu yakizidi muone daktariMods huyu anatukana matusi hapa amegeuza jukwaa la kihuni hili
Kama hii ndo hali halisi, kipi kinawafanya mseme mtashinda??Wanatakiwa kuelewa kua mwanachama wako hana mkataba na wewe kuhusu uamuzi wake wa kupiga kura. Uanachama unabaki kua uanachama na maamuzi ya nani ampigie kura anabakinayo mru mwenyewe, haviingiliani