Uchaguzi 2020 CCM wanapotosha. Haiwezekani kuwa 70 % ya Wapiga kura ni Wana CCM

Ha Waongo hawa, wapuuzwe. CCM wanaishi kwa uongo na ulaghai
 
Huyo haraka haraka alikwisha changanyikiwa siku hizi hatumskilizi tena si ndiyo aliyesema kwamba hata bila kampeni CCM inashinda matokeo yake sasa hivi wanapiga magoti hadi wanalala chini kuomba kura.
Watanzania wameamka wamegundua pesa za maendeleo zinaliwa na ccm hawaitaki ccm isiyopenda haki wamechoka na ukandamizaji wa haki za binadamu
 
Tegemeo lao kubwa ni dola, uzuri dola awajaongezewa mishahara 5 yrs hapa wamelikoroga nayo inataka mabadiliko. This time hata watumie euro au paund imekula kwao
Hali ni ngumu sana, Asikari wa chini ambao ni wengi hawaitaki ccm ingawa boss zao wanaiunga mkono ccm kizushi zushi ikitokea maandamano ndipo utaona jinsi watakavyoachia waandamane
 
Wana hali mbaya wanajuuta kula njama za kumuua Tundu lisu maana imepelekea ccm kuonekana ni chama cha hovyo sana
 
Wanachama wengi wa ccm ni wenye umri kuanzia miaka 45+ ambao kwa ujumla wao hawafiki hata 20% ya population yote Tanzania.

Uchaguzi huu 70% ya wapiga kura ni wenye miaka 18-45 hivyo kwa vyovyote vile wanachama wa ccm hawawezi kuwa na idadi hiyo.

Uchaguzi huu utaamuliwa na kundi ambalo limezaliwa 1980-2002, ni kundi ambalo lina wajasiriamali wadogo wadogo wengi, bodaboda, jobless na university students 90%.

Kundi la watu wa 45-60 ni kundi la wafanyakazi na wastaafu ambao hawajaongezwa mishahara for 5 years na wengine hawajalipwa mafao yao ya kustaafu.

Trend ya 2010 idadi ya wanachama wa CCM imeendelea kuwa stagnant hasa baada ya chama kukosa sera za ushawishi kwa vijana.

Pia kuna kundi jingine ndani ya wanaccm ni wanachama ili waweze kulinda shughuli zao za biashara na wengine ili waweze kupata ajira kwa urahisi je Polepole hili kundi analihesabu pia litampa Kura Magufuli ?

Polepole anataka kutumia namba kupotosha ili wafanikishe goli la mkono siyo vinginevyo.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Polepole kaongeza idadi akidhani watanzania ni wajinga kama yeye atakuja kushangaa tarehe 28 huku tarehe 30 ccm kikiwa ni chama cha upinzani
 
Mwaka 2015 ccm hawakushinda waliiba kura za Lowasa ambaye ndiye alikuwa mshindi
 
Mwaka 2015 ccm haikushinda waliiba kura na sasa mwaka 2020 ccm inachukiwa sana watu wengi hasa wafanyabiashara watumishi wa umma wameathirika na sera na mateso ya ccm na wote hawataipigia kura ccm
 
Takwimu za polepole ni Takwimu feki za kujifariji na kuharalisha wizi wa kura tarehe 28 kwa kisingizio cha hovyo kuwa idadi ya maccm ni kubwa
 
Hali ni ngumu sana, Asikari wa chini ambao ni wengi hawaitaki ccm ingawa boss zao wanaiunga mkono ccm kizushi zushi ikitokea maandamano ndipo utaona jinsi watakavyoachia waandamane
Ukiongea nao wanasema si uoga wenu sisi tufanyeje hatuwezi anza bila nyie.Zimbabwe,Malawi, Sudan,misri walianza wananchi jamaa wakamaliza,
Uzuri wanasema watasikilixa wananchi wanataka nini wako upande wa wananchi maana nao ni wahanga na si wanufaika Kama mabosi zao
 
Ungekuwa unataja haki naUhuru unaonyimwa ww in feel weeks zaid,Fanya kaz siasa wachie wenyewe wacha kupoteza mda kulalamika mitandaoni,kama huoni vitu vinavyofanywa na serkali utakuwa n matatzo kwenye ubongo
Povu ni dalili ya wazi ya kuishiwa hoja na kuchanganyikiwa.
Yale mapambio yenu kwa yule ambae kashindwa uongozi na hata kulinda katiba, zaidi ya kukataa mpaka ushauri MWEMA wa (of all the people) Che Nkapa, hayana mvuto kabisa kwa waTz wanaohitaji maendeleo ya watu, isipokuwa wa aina yenu.
Hamtaachiwa kuendelea kuichezea nchi hii TENA. SASA BASI
 
 
Hahaha watu wengine bwana ...wenzenu wameshamaliza kampeni siku nyingi...nyie Sasa ndio mumejikita mitandaoni lakini walishamaliza kampeni siku nyingi...walifanya auditing ya wanachama wao nyumba kwa nyumba kwa kutumia mabalozi wao wa nyumba kumi....katika auditing hiyo pia kwa namna Fulani waliweza kutambua wapiga kura wao...hata juzi juzi huku niliko Mimi balozi alikuwa anapita na wajumbe wake nyumba kwa nyumba kuhimiza kujitokeza kupiga kura...Mimi niliwakikishia kura tano za familia yangu...kwa hiyo TZ nzima ni hivyo...wakati Lissu anapita mjini na kurusha video nyingi za ku-create fear wenzao CCM shughuli ipo nyumba kwa nyumba..Magufuli atashinda kwa Kati ya asilimia 77 Hadi 89 kwa asilimia Hadi Leo saa 10 jioni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…