PreGE2025 CCM: Wapinzani wakifa, hatuwezi kulia! Tutawatupa Mtoni, wawe chakula cha mamba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Walimuua mzee Ubao na hakuna aliyejutia!
 
Hawa dawa yao ni wananchi kuchukua hatua za kimya kimya kuchoma nyumba zao na mali zao.

Yaaani Mwananchi ukijua nyumba ya kiongozi wa CCM unaenda usiku unamwaka petrol unachoma unasepa.

Ndo akili zao zitakaa sawa
Na wafuasi wa CCM wakifanya hivyo kwa viongozi wa CDM ni nini hatima yake? Ushauri wa hovyo sana
 
Hivi polisi hawaoni viashiria vya shari katika wimbo huo na kuwachukulia hatua wahusika?!!
 
Hawa dawa yao ni wananchi kuchukua hatua za kimya kimya kuchoma nyumba zao na mali zao.

Yaaani Mwananchi ukijua nyumba ya kiongozi wa CCM unaenda usiku unamwaka petrol unachoma unasepa.

Ndo akili zao zitakaa sawa
Wewe ushachoma ngapi? Au wewe sio mwananchi? PUMBAVU!
 
Ushauri wako sio sahihi.
Ukumbuke sisi ni ndugu, unaweza kuwa na ndugu ambaye ni mwanachama wa chama tofauti na wewe.
Je, tuuane kwa ajili ya vyama vya siasa?.
HAPANA.
Inashangaza kuoina kuwa hukusoma mada inayo jadiliwa hapa kabla ya kumjibu huyo mtu mmoja na fikra zake hata kama ni potofu!
Hao wanaoburudika na mziki wao na mashati yao ya kijani na njano sijui unawaambia nini?
Ni nani hatari zaidi, huyu mmoja au hao wengi, tena wanaowakilisha taasii kubwa nchini?

Sawa, basi tuachane na hiyo mifano miwili mibovu, ya huyo mtu uliye mjibu, na hao waburudikaji wa kusherehekea mauti za wapinzani. Sasa geukia hao wapinzani wanaopotezwa na wengine kuuawa kabisa, na hata viongozi kama Lissu kubambikiwa kesi ya uhaini.
Kweli haya ndiyo mambo yanayotuunganisha kama ndugu?
Bado huoni kuwa upande mmoja tayari unaua kwa ajili ya chama chao cha siasa?
Kwa nini uwe na upofu juu ya hawa ndugu zako ambao kosa lao ni kuwa kwenye chama pinzani?
 
Hivi polisi hawaoni viashiria vya shari katika wimbo huo na kuwachukulia hatua wahusika?!!
Unakimbilia kuwalamu polisi bila sababu. Umesikia sauti au neno toka kwa mtawala wa nchi hii kukemea uovu huo?
huyu mtawala hali hiyo haimstui kabisa?
 
Ushauri wako sio sahihi.
Ukumbuke sisi ni ndugu, unaweza kuwa na ndugu ambaye ni mwanachama wa chama tofauti na wewe.
Je, tuuane kwa ajili ya vyama vya siasa?.
HAPANA.
Kwa hiyo ni sawa wao kuimba hayo na kuuwa na kutesa wapinzani wao ila sio sawa wao wakifanyiwa hayo hayo na wananchi?
 
Tanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani.

Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea.😭😭😭
Tumeingia kwenye hatua ambayo hatujawahi kuiingia tokea tupate uhuru.
Lakini pia ni muhimu kujiuliza kwa nini watu wa chama hiki ghafla wamepotelewa na akili kiasi hiki?
Mi nadhani jibu ni jepesi: wameingiwa na hofu ambayo hawajawahi kuwa nayo; kwamba sasa kuna uwezekano wa kupoteza madaraka. Hii ni hofu kubwa kwao sasa.
 
Aisee kwa mfano mimi mama yangu ni ccm damu, na mimi mwanae ni mpinzani, lakini mama huwa analalamika kutokuelewaa namna ambavyo mwanamke mwenzake anaongoza nchi, kwenye uchaguz wa 2015 hakumpigia mgombea ubunge wa ccm, huo wimbo hawezi imba
 
Hiki kingefanywa na wapinzani ingekuwa saa hii wote wako ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…