PreGE2025 CCM: Wapinzani wakifa, hatuwezi kulia! Tutawatupa Mtoni, wawe chakula cha mamba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CCM imefika ukingoni.
 
Kampeni hiyo naona imeanza kweli kweli,hapa sijui iwapo ilikuwa tu taarifa ya awaki au laa?Ni muhimu kila kumbukumbu kutunzwa iwe nzuri au mmbaya.
 
Hawa kamwe huwezi sikia wakishtakiwa Wala kuhojiwa na yoyote yule.

Bado Kuna mtu anaamini huwa kuna uchaguzi!
 
Kauli ya nchimbi
 
Mungu akubariki sana Mh. Dr. Nchimbi, kwa katazo hilo umeonesha uongozi, utu na uungwana!
 
Mtunzi ni nani, ni lile kundi lao la TOT? Zama hizi kuna siasa za kipuuzi namna hiyo. siasa za chuki? huo ni ushenzi haukubaliki
 
Hawa ni Mmbwaah kikinuka na hayo Matumbo yao na wachache wanao wategemea WATAHIMILI ?
 
This is very bad
 
Hao vijana wenyewe ukute hawana ajira
 
Kinachosikitisha ni kuwa wote wanaonekana angalau wamesoma mpaka sekondari na Wana umri wa mtu mzima, yet hawawezi ona madhara ya nyimbo kama hizi...Huyo Babu naye aliyevaa khaki sijui anajisikiaje badala ya kutumia busara ya utuuzima na yeye anacheza bila Soni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…