CCM wote ni walewale, lakini kwangu mimi Naona afadhali kuongozana na Rais Samia kuliko aliyepita

Haya yote ni maneno yakujifariji tu! Ukiambiwa orodhesha watu hata watano tu waliouliwa na Magufuli utabaki kutaja akina Azori mara Lisu!

Sasa unasema hayo yote kwenye maisha yako imeongezeka nini? Maana kama kutukana mlikuwa manatukana sana hata kipindi cha Magufuli!

Je huyu Bibi yako kaongeza chochote mfukoni mwako na je gharama ya manisha kipindi cha Magufuli na sasa iko vipi?! Kama sio basi unaongea ujinga!
 
Dawa ya CCM ni moja tuuuu - KATIBA MPYA.

Hata wao kwa wao wanaogopana na kutishana sababu ya katiba hii...we uliona wapi duniani Spika wa Bunge analia lia.

Rais wa Tanzania ni Mungu mtu..anaweza kuamua hatima yako muda wowote akitaka...
Rais wa Tanzania ni zaidi ya MUNGU
 
Haya yote ni maneno yakujifariji tu! Ukiambiwa orodhesha watu hata watano tu waliouliwa na Magufuli aubaki kutaja akiba Azori mara Lisu!

Sasa unasema hayo yote kwenye maisha yako imeongezeka nini? Mwana kama kutukana mlikuwa manatukana sana hata kipindi cha Magufuli!

Je huyu Bibi yako kaongeza chochote mfukoni mwako na je gharama ya manisha kipindi cha Magufuli na sasa iko vipi?! Kama sio basi unaongea ujinga!
Ni bora kununua sukarii elfu kumi kuliko kuongozwa na yule Nduli
 
Haya yote ni maneno yakujifariji tu! Ukiambiwa orodhesha watu hata watano tu waliouliwa na Magufuli aubaki kutaja akiba Azori mara Lisu!

Sasa unasema hayo yote kwenye maisha yako imeongezeka nini? Mwana kama kutukana mlikuwa manatukana sana hata kipindi cha Magufuli!

Je huyu Bibi yako kaongeza chochote mfukoni mwako na je gharama ya manisha kipindi cha Magufuli na sasa iko vipi?! Kama sio basi unaongea ujinga!
Dikteta kashakufa hakuna namna, binafsi sioni nafuu yoyote kwa hawa wawili
 
Tena kuna wengine Magufuli akasome.

Mfano yule alietaka kumfunga Lwakatare kwa Ugaidi wa kuchonga au liemzingua Abdul Nondo akiwa Raisi tutahama nchi sisi wenye Mawazo mbadala.
Majitu ya hivyo sio ya kuyapa madaraka hata hayajifunzi kwa wengine.

Watu wote wenye misimamo mikali huwa hawadumu
 
Najua unataka info.... najua unamtakia mabaya sana ila Samia is there to stay... pole
Mimi nimtakie Samia kifo?? Utakuwa umerogwa wewe!

Wewe unaeongea ujinga wako ndo unamtakia mama yetu uchuro!

Kwa taarifa yako Mama Samia yuko vizuri, hajaumwa na wala haumwi endelea kuendekeza uchawi wako huo.

Na unae Kama Rais wako kwa Uweza wa Mungu hadi 2030 kama Rais wako wa JMT
 
Samia ni mgonjwa namtakia heri apone haraka.
 
Samia ni mgonjwa.
Kwani yeye ni Jiwe kwamba hawezi kuugua? Mbona Marais wengi tuu wameugua na taarifa zinatoka?

Ishu sio kuugua bali unaugua ugonjwa gani ndio iwe mjadala,kuna magonjwa ya kutengeneza na magonjwa Yale acute kama ugonjwa wa moyo wa Mwendazake.
 
Nchi sasa imepumua, hakuna kupotezwa, hakuna kutekwa, hakuna kutukanwa,hakuna kufokewa hakuna uongo, hakuna vitisho, hakuna kubaguliwa hakuna kunyanyaswa kwenye nchi yeti wenyewe. Kama ukiniuliza kati ya wawili hao mimi ni bora samia.Yule jamaa hakua mtu.

Hofu inapungua taratibu kwa sababu alipandikiza watu wake kila sehemu na bado wapo.

Narudia tena CCM sio watu ila ni bora samia kuliko yule jamaa.
Kupotezwa duniani kote utakutana nayo.wewe cheza na mambo ya msingi katika nchi yoyote iwe china na hata marekani utashugulikwa tu.Tujifunze kuheshimu mamlaka na tuache husda.Mjikusanye mpange njama za kukwamisha vitu mkipatikana watu wawashugulikie kama mwanasesere?no in this world.
 
Nchi sasa imepumua, hakuna kupotezwa, hakuna kutekwa, hakuna kutukanwa,hakuna kufokewa hakuna uongo, hakuna vitisho, hakuna kubaguliwa hakuna kunyanyaswa kwenye nchi yeti wenyewe. Kama ukiniuliza kati ya wawili hao mimi ni bora samia.Yule jamaa hakua mtu.

Hofu inapungua taratibu kwa sababu alipandikiza watu wake kila sehemu na bado wapo.

Narudia tena CCM sio watu ila ni bora samia kuliko yule jamaa.
Exactly, chini ya uongozi wa Samia, nyoyo zetu zimetulia, wafanyabiashara na wafanyakazi wamejawa amani tell,

Mungu ametufariji kwa kumleta Samia,yule mzee hakuwa binadamu wa kawaida
 
Kwani yeye ni Jiwe kwamba hawezi kuugua? Mbona Marais wengi tuu wameugua na taarifa zinatoka?

Ishu sio kuugua bali unaugua ugonjwa gani ndio iwe mjadala,kuna magonjwa ya kutengeneza na magonjwa Yale acute kama ugonjwa wa moyo wa Mwendazake.
Ndo maana hapo juu nimemuombea apone haraka huyo Sukuma gang kanivamia.
 
Back
Top Bottom