CCM wote ni walewale, lakini kwangu mimi Naona afadhali kuongozana na Rais Samia kuliko aliyepita

CCM wote ni walewale, lakini kwangu mimi Naona afadhali kuongozana na Rais Samia kuliko aliyepita

Sasa hivi ni mwendo wa marashi ya karafuu tu.
 
Yote 9 kumbumeni kila nafsi itaonja umauti
 
Nchi sasa imepumua, hakuna kupotezwa, hakuna kutekwa, hakuna kutukanwa,hakuna kufokewa hakuna uongo, hakuna vitisho, hakuna kubaguliwa hakuna kunyanyaswa kwenye nchi yeti wenyewe. Kama ukiniuliza kati ya wawili hao mimi ni bora samia.Yule jamaa hakua mtu.

Hofu inapungua taratibu kwa sababu alipandikiza watu wake kila sehemu na bado wapo.

Narudia tena CCM sio watu ila ni bora samia kuliko yule jamaa.
hahaha
karibuni sana!

Unajua vyama hivi ni sawa na mabarabara tu.
sote safari yetu i moja nayo ni kuiletea nchi yetu maendeleo.
 
Pole mjane angepotea yeyote kwa wanaokuhusu wala ucngelegeza sauti
Haya yote ni maneno yakujifariji tu! Ukiambiwa orodhesha watu hata watano tu waliouliwa na Magufuli utabaki kutaja akina Azori mara Lisu!

Sasa unasema hayo yote kwenye maisha yako imeongezeka nini? Maana kama kutukana mlikuwa manatukana sana hata kipindi cha Magufuli!

Je huyu Bibi yako kaongeza chochote mfukoni mwako na je gharama ya manisha kipindi cha Magufuli na sasa iko vipi?! Kama sio basi unaongea ujinga!
 
Licha ya ujasili na uthubutu wake pia maono yake kwa Taifa letu kuwa mazuri lakini Ukweli yule mtu alikua mkatili kupitiliza .Mimi Huwa nashangaa unawezaje kuiba uchaguzi kishamba kiasi hicho?Je nini hatima ya huo wizi ? Je huko Mbeleni kingetokea nini ikiwa angeendelea kuwepo madarakani?Huyo mtu angelete vita nchini na majanga makubwa tumshukulu Mungu alimchukua.
 
Et mamlaka hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu
Kupotezwa duniani kote utakutana nayo.wewe cheza na mambo ya msingi katika nchi yoyote iwe china na hata marekani utashugulikwa tu.Tujifunze kuheshimu mamlaka na tuache husda.Mjikusanye mpange njama za kukwamisha vitu mkipatikana watu wawashugulikie kama mwanasesere?no in this world.
 
1 Kisha nikaona MALAIKA akishuka kutoka mbinguni, mwenye ufunguo wa kuzimu, na mnyororo mkubwa mkononi mwake.

2 Akamshika yule JOKA, yule nyoka wa zamani, ambaye ni IBILISI na SHETANI, akamfunga miaka elfu;

3 akamtupa katika kuzimu, akamfunga, akatia muhuri juu yake, asipate KUWADANGANYA mataifa tena, hata ile miaka elfu itimie; na baada ya hayo yapasa afunguliwe muda mchache.
 
Nchi sasa imepumua, hakuna kupotezwa, hakuna kutekwa, hakuna kutukanwa,hakuna kufokewa hakuna uongo, hakuna vitisho, hakuna kubaguliwa hakuna kunyanyaswa kwenye nchi yeti wenyewe. Kama ukiniuliza kati ya wawili hao mimi ni bora samia.Yule jamaa hakua mtu.

Hofu inapungua taratibu kwa sababu alipandikiza watu wake kila sehemu na bado wapo.

Narudia tena CCM sio watu ila ni bora samia kuliko yule jamaa.
MAJAMBAZI, WEZI NA MAFISADI NDO WAMEPUMUA KWA SASA
 
Lilikuwa shetani Luciferi, liuaji likubwa haijawahi tokea! Limefyekelewa kwa mbali, asante bwana Shetani kwa kulifyeka
Kwanini huyo shetani wako hakuifyeka ccm?

Si unaona magaidi yapo ndani?
 
..hakuna hotuba za kikabila.

..au kila mteuliwa kutajwa kabila lake.

..na vijembe vya kutwezana kikabila.

..pia ibada za jumapili zimetuliwa hakuna kuvamiwa.

..halafu hata Kingereza hakichukiwi kama wakati ule.

..Na lugha yetu ya Kiswahili tunaienzi kwa kuzungumza kwa ufasaha.
Kumbe ni hayo tu ndio yalikuwa matatizo ya mtz yaliyoletwa na yule jamaa?

Vipi magaidi nao?
 
Inasemekana atafufuliwa kwa muda ili awadanganye tena


7 Na hiyo miaka elfu itakapokwisha, SHETANI atafunguliwa, atoke kifungoni mwake;

8 naye atatoka KUWADANGANYA mataifa walio katika pembe nne za nchi, Gogu na Magogu, kuwakusanya kwa vita, ambao hesabu yao ni kama mchanga wa bahari.



9 Wakapanda juu ya upana wa nchi, wakaizingira kambi ya watakatifu, na mji huo uliopendwa. Moto ukashuka kutoka mbinguni, ukawala.



10 Na yule IBILISI, mwenye KUWADANGANYA, akatupwa katika ziwa la moto na kiberiti, alimo yule mnyama na yule nabii wa uongo. Nao watateswa mchana na usiku hata milele na milele.
 
..hakuna hotuba za kikabila.

..au kila mteuliwa kutajwa kabila lake.

..na vijembe vya kutwezana kikabila.

..pia ibada za jumapili zimetuliwa hakuna kuvamiwa.

..halafu hata Kingereza hakichukiwi kama wakati ule.

..Na lugha yetu ya Kiswahili tunaienzi kwa kuzungumza kwa ufasaha.
Nipo bed napigania uhai wangu ila umenifurahisha sana
 
Hata kwa gaidi nae?
Mwamba anarudi kwenye Medani na Lissu nae anatia timu

stylin.gif
stylin.gif
 
Back
Top Bottom