CCM wote ni walewale, lakini kwangu mimi Naona afadhali kuongozana na Rais Samia kuliko aliyepita

Sasa hivi ni mwendo wa marashi ya karafuu tu.
 
Yote 9 kumbumeni kila nafsi itaonja umauti
 
hahaha
karibuni sana!

Unajua vyama hivi ni sawa na mabarabara tu.
sote safari yetu i moja nayo ni kuiletea nchi yetu maendeleo.
 
Pole mjane angepotea yeyote kwa wanaokuhusu wala ucngelegeza sauti
 
Licha ya ujasili na uthubutu wake pia maono yake kwa Taifa letu kuwa mazuri lakini Ukweli yule mtu alikua mkatili kupitiliza .Mimi Huwa nashangaa unawezaje kuiba uchaguzi kishamba kiasi hicho?Je nini hatima ya huo wizi ? Je huko Mbeleni kingetokea nini ikiwa angeendelea kuwepo madarakani?Huyo mtu angelete vita nchini na majanga makubwa tumshukulu Mungu alimchukua.
 
Et mamlaka hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu
 
1 Kisha nikaona MALAIKA akishuka kutoka mbinguni, mwenye ufunguo wa kuzimu, na mnyororo mkubwa mkononi mwake.

2 Akamshika yule JOKA, yule nyoka wa zamani, ambaye ni IBILISI na SHETANI, akamfunga miaka elfu;

3 akamtupa katika kuzimu, akamfunga, akatia muhuri juu yake, asipate KUWADANGANYA mataifa tena, hata ile miaka elfu itimie; na baada ya hayo yapasa afunguliwe muda mchache.
 
MAJAMBAZI, WEZI NA MAFISADI NDO WAMEPUMUA KWA SASA
 
Lilikuwa shetani Luciferi, liuaji likubwa haijawahi tokea! Limefyekelewa kwa mbali, asante bwana Shetani kwa kulifyeka
Kwanini huyo shetani wako hakuifyeka ccm?

Si unaona magaidi yapo ndani?
 
Kumbe ni hayo tu ndio yalikuwa matatizo ya mtz yaliyoletwa na yule jamaa?

Vipi magaidi nao?
 
Inasemekana atafufuliwa kwa muda ili awadanganye tena


7 Na hiyo miaka elfu itakapokwisha, SHETANI atafunguliwa, atoke kifungoni mwake;

8 naye atatoka KUWADANGANYA mataifa walio katika pembe nne za nchi, Gogu na Magogu, kuwakusanya kwa vita, ambao hesabu yao ni kama mchanga wa bahari.



9 Wakapanda juu ya upana wa nchi, wakaizingira kambi ya watakatifu, na mji huo uliopendwa. Moto ukashuka kutoka mbinguni, ukawala.



10 Na yule IBILISI, mwenye KUWADANGANYA, akatupwa katika ziwa la moto na kiberiti, alimo yule mnyama na yule nabii wa uongo. Nao watateswa mchana na usiku hata milele na milele.
 
Nipo bed napigania uhai wangu ila umenifurahisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…