CCM wote ni walewale, lakini kwangu mimi Naona afadhali kuongozana na Rais Samia kuliko aliyepita

Kumbe ni hayo tu ndio yalikuwa matatizo ya mtz yaliyoletwa na yule jamaa?

Vipi magaidi nao?

..sisi sote ni ndugu, Watz.

..kwa hiyo ni vizuri kila mmoja akamtendea mwenzake vile yeye anavyopenda atendewe.
 
Yule alikuwa muovu shetani kabisa. Na Samia kaja hofu hakuna tayari Kuna uhuru kutekwa na kutishwa tishwa sasa hakuna.

Mungu fundi ametuondolea uonezi
 
Hatuwezi kumpinzisha shetani wa Chato kamwe. Tunataka Dunia ielewe kuwa DIKTETA aliharibu Nchi yetu
Ha ha haa.
Proved ajue hata sisi hatukupumzika kwa miaka mitano alipokua hai.
Mimi mtumishi nina gepu la miaka mitano bila nyongeza ya mishahara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…