Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,366
- 5,209
Nina maana kuwa kuna kitu kinaitwa M&E kwa chama makini. Si kweli kuwa chama chochote kinaweza kuwa na sera zote madhubuti. Hivyo chama kinachoingia madarakani sharti kifanye tathimini na kuboresha sera zake ikiwa ni pamoja na kukopa kutoka zile za wapinzani wake.Una maana gani?
🤣🤣igongwe kwa nyumaAliyekuwa mbunge wa CUF Suleiman Bungala "Bwege" aliwahi kusema akiwa bungeni "serikali ya CCM ni kama patasi, haiwezi kufanya kazi hadi igongwe". Hii ndo maana yake.
Yaaani vijana wa bavicha/ bawacha ni na nani aliyewaloga???Lissu ni Baba Lao!! Yeye ndiye kiumbe pekee mwenye uthubutu wa kumpa makavu muda wowote ule, yule malaika mkuu.
Baada ya kumaliza tu misheni yake ya kuwapiga za uso mafisi yetu, akajua hujuma za Kisutu zitamuandama! Huyo akaenda zake ubalozini! Kama kawaida yake, jamaa kichwa chake ni sawa na akili za wafuasi milioni 1 wa hicho chama cha mafisi;
Akapaa zake kwenda mahali salama!! Akirudi tena 2025, hakika patachimbika!! Nina imani kwa muda wote huu Mh. Tundu atakuwa ameshatengeneza tayari Baraza lake la Mawaziri! Karibu sana Mr. President 2025.
Umefafanua vizuri mkubwa chukua peps unywe .Nina maana kuwa kuna kitu kinaitwa M&E kwa chama makini. Si kweli kuwa chama chochote kinaweza kuwa na sera zote madhubuti. Hivyo chama kinachoingia madarakani sharti kifanye tathimini na kuboresha sera zake ikiwa ni pamoja na kukopa kutoka zile za wapinzani wake.
Ni chama mfilisi kitakacho ng’anga’ania sera zake za awali. Na ni ubinafsi mkubwa kwa chama ambacho hakikupata ridhaa ya kuongoza kuficha au kukataa sera zake zisitumike na chama kilicho madarakani. Ujanja ni kuja baada ya miaka 5 kujinadi kwa kueleza kuwa ingawa hamkutuchagua lakini sera zetu ndizo walizochukua na maendeleo yakapatikana. Hivyo mkituchagua safari hii mtapata mengi etc. Cc mama D
Waliandamana mkuu kupitia barabara ya Facebook, Tweeter, Instagra, Telegram na kuishia Jf.Baada ya kujipongeza wewe una kebehi mbona hukuandamana kama unampenda huyo lissu!
Mnadhani hakuna asiyejua namna mlivyotumia vyombo vya usalama pamoja na tume yenu mbovu ya uchaguzi kuingiza kura bandia kwenye vituo vya kupigia kura, kupiga kura hewa kwa wagombea wenu na pia kuwatangaza makada wenu walio shindwa na kuwa washindi feki?Yaaani vijana wa bavicha/ bawacha ni na nani aliyewaloga???
Pamoja na mbwembe zote huyu jamaa ameishia kupata Mbunge mmoja, halafu mna mawazo ya yeye kuwa Rais.
Okey by the way labda Rais wa CDM.
Nina maana kuwa kuna kitu kinaitwa M&E kwa chama makini. Si kweli kuwa chama chochote kinaweza kuwa na sera zote madhubuti. Hivyo chama kinachoingia madarakani sharti kifanye tathimini na kuboresha sera zake ikiwa ni pamoja na kukopa kutoka zile za wapinzani wake.
Ni chama mfilisi kitakacho ng’anga’ania sera zake za awali. Na ni ubinafsi mkubwa kwa chama ambacho hakikupata ridhaa ya kuongoza kuficha au kukataa sera zake zisitumike na chama kilicho madarakani. Ujanja ni kuja baada ya miaka 5 kujinadi kwa kueleza kuwa ingawa hamkutuchagua lakini sera zetu ndizo walizochukua na maendeleo yakapatikana. Hivyo mkituchagua safari hii mtapata mengi etc. Cc mama D
Nikuhakikishie hata Mbowe au Lissu au Olesosopi wakiwa ndiyo wasimamizi wa wa uchaguzi CCM itaendelea kuwa palepale.Mnadhani hakuna asiyejua namna mlivyotumia vyombo vya usalama pamoja na tume yenu mbovu ya uchaguzi kuingiza kura bandia kwenye vituo vya kupigia kura, kupiga kura hewa kwa wagombea wenu na pia kuwatangaza makada wenu walio shindwa na kuwa washindi feki?
Kiama cheni kinakaribia. Ni suala tu la muda.
Anawezaje kuelewa nawakati hana uelewa huo zaidi ya mihemuko.I wish wangekua wanakuelewa[emoji7][emoji7]
Mbweha ni yule aliyekwenda kuolewa Ubeligiji.Nje ya mada we mbweha.
Nimeelewa ambacho hujakielewaWewe umeelewa nini?
Lakin nina ela.Huna busara