CCM yaanza kuzifanyia kazi hoja za Lissu

CCM yaanza kuzifanyia kazi hoja za Lissu

katika watu 20 wa ccm 19 wote wanaongeaga pumba sasa kutengeneza mawazo constructive ni tatizo kama huamini, pitia vitu anavyosema na kutamka mfale kuha wa chattleee....
 
Wadau wa Jf mnakumbuka wakati wa kampeni Lissu alipinga suala la wamachinga kupewa vitambulisho ambavyo havina picha wala majina. Sasa baada ya kuumbuka kwa kutoa vitambulisho ambavyo havina picha wala jina la mhusika Serikali ya CCM imeamua kujirekebisha baada ya Lissu kuwashambulia wakati wa kampeni.

Kama mtakumbuka wakati wa kampeni rais JPM alidai vitambulisho vya wamachinga vinaweza kutumika kuchukua mikopo. Jambo ambalo lilileta taharuki.

Kwa kuwa Lissu aliwakosoa wanaCcm sasa wameamua kutengeneza vitambulisho vitavyokuwa na majina na picha za wamachinga.

Hii ni wazi kuwa sio kila hoja ya wapinzani haifai,ndio maana Ccm wamejirekebisha.
Ila kuwa na kitambulisho si sifa ya kukopesheka
 
Lissu ni Baba Lao!! Yeye ndiye kiumbe pekee mwenye uthubutu wa kumpa makavu muda wowote ule, yule malaika mkuu.

Baada ya kumaliza tu misheni yake ya kuwapiga za uso mafisi yetu, akajua hujuma za Kisutu zitamuandama! Huyo akaenda zake ubalozini! Kama kawaida yake, jamaa kichwa chake ni sawa na akili za wafuasi milioni 1 wa hicho chama cha mafisi;

Akapaa zake kwenda mahali salama!! Akirudi tena 2025, hakika patachimbika!! Nina imani kwa muda wote huu Mh. Tundu atakuwa ameshatengeneza tayari Baraza lake la Mawaziri! Karibu sana Mr. President 2025.
Hii ndio tabu chadema/upinzani uchwara,wao baada ya kuibua hoja mzito kama wakati wa Dk Slaa,wao wamebakiza kukosoa vitu vidogovidogo na kujisifu,kwanza mgempongeza Magufuli kwa ubunifu wa kutengeneza vitambulisho vya machinga ambao walikuwa wanaonekana kero mjini, wakati huo ni kundi kubwa lakini alichangii chochote kwenye uchumi wa taifa Magufuli akaona sio sawa ndio akaja na swala la vitambulisho na machinga wakaanza kutambuliwa kwa kitambulisho chake.Sasa wapinza uchwara nalo wakalibebea bango ili wapate kura,hayo maboresho ya picha na dieter kwenye yangelifanyika tu kwa kadili mda ulivyokuwa unaeda,maana kila kitu kikiaanza uwa na changamoto zake lakini kadili unavyojipa mda ndivyo unavyoenda unaitatua hiyo changamoto.Hata Mungu akuumba ulimwengu kwa siku moja tu,ilimchukua siku sita dunia mzima kusimama pamoja na ukuu wake.Tunaitaji upinzani wa kuibua hoja sio huu wa kudandia hoja.Mungu ibariki Tanzania
 
Ficha ujinga wako bac
Yaaani vijana wa bavicha/ bawacha ni na nani aliyewaloga???

Pamoja na mbwembe zote huyu jamaa ameishia kupata Mbunge mmoja, halafu mna mawazo ya yeye kuwa Rais.

Okey by the way labda Rais wa CDM.
 
Yaaani vijana wa bavicha/ bawacha ni na nani aliyewaloga???

Pamoja na mbwembe zote huyu jamaa ameishia kupata Mbunge mmoja, halafu mna mawazo ya yeye kuwa Rais.

Okey by the way labda Rais wa CDM.

Alipata mbunge mmoja, kwani kulikuwa na uchaguzi? Ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box
 
Alipata mbunge mmoja, kwani kulikuwa na uchaguzi? Ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box
Kwa hiyo unataka kusema Lissu mwenye akili kubwa alishiriki maonyesho ya ujinga ya mtu mweusi kwenye box Kama hivyo ndiyo basi nitakuwa sijakosea nikisema Lissu ni mjinga kwa sababu ameshiriki vitu vya kijijnga kwa mjibu wa maelezo yako.
 
Pia wakati wa kuviuza hivyo vitambulisho, wapewe control number ili wapewe na lisiti ,siyo Kama mwanzo ,pesa zilikuwa zinaingia mfukoni mwa mtu.
Nani alikudanganya ? Kwa akili yako finyu unafikiri kabla ya controls number maduhuli ya Serikali yalikuwa hayakusanywi.
 
Wadau wa Jf mnakumbuka wakati wa kampeni Lissu alipinga suala la wamachinga kupewa vitambulisho ambavyo havina picha wala majina. Sasa baada ya kuumbuka kwa kutoa vitambulisho ambavyo havina picha wala jina la mhusika Serikali ya CCM imeamua kujirekebisha baada ya Lissu kuwashambulia wakati wa kampeni.

Kama mtakumbuka wakati wa kampeni rais JPM alidai vitambulisho vya wamachinga vinaweza kutumika kuchukua mikopo. Jambo ambalo lilileta taharuki.

Kwa kuwa Lissu aliwakosoa wanaCcm sasa wameamua kutengeneza vitambulisho vitavyokuwa na majina na picha za wamachinga.

Hii ni wazi kuwa sio kila hoja ya wapinzani haifai,ndio maana Ccm wamejirekebisha.
Ndio kazi ya vyama vya upinzani. Vinalipwa pesa kwa kazi hiyo
 
Lissu ni Baba Lao!! Yeye ndiye kiumbe pekee mwenye uthubutu wa kumpa makavu muda wowote ule, yule malaika mkuu.

Baada ya kumaliza tu misheni yake ya kuwapiga za uso mafisi yetu, akajua hujuma za Kisutu zitamuandama! Huyo akaenda zake ubalozini! Kama kawaida yake, jamaa kichwa chake ni sawa na akili za wafuasi milioni 1 wa hicho chama cha mafisi;

Akapaa zake kwenda mahali salama!! Akirudi tena 2025, hakika patachimbika!! Nina imani kwa muda wote huu Mh. Tundu atakuwa ameshatengeneza tayari Baraza lake la Mawaziri! Karibu sana Mr. President 2025.
Unaota wewe!
 
2025 watakuja na story zilezile
Watashindwa tu maana kama 2020 waliweka mtu mbinafsi ajabu ambaye hakuwepo miaka yote. Hakufanya tathimini ya yaliyofanyika na makosa ambayo yalitokana na yaliyofanyika. Hakupembua Ilani ya Uchaguzi ya 2015-2020 ya Chadema na kuioanisha na yaliyotekelezwa (kusema za ukweli JPM aliwapiga bao maana aliitendea haki ilani yao ya uchaguzi katika miaka 5 ya kwanza). Angelikuwa si mbinafsi angelikuwa anasifia kwanza yale yenye tija na kuanza kuponda yaliyobuma. Kwa bahati mbaya yeye kila kitu ni hakuna!!! Usisahau wapigakura wanaona na wanatathimini yao.

Nadhani 2025 akirudi tena itakula kwao kama hawajajipanga mpaka muda huu. Waache kuhangaika na akina Halima au Covid agenda. Hayo yanapita wajenge chama kwa minajiri ya 2030 maana 2025 ni karibu sana
 
Back
Top Bottom