CCM yaanza kuzifanyia kazi hoja za Lissu

CCM yaanza kuzifanyia kazi hoja za Lissu

Kwa hiyo unataka kusema Lissu mwenye akili kubwa alishiriki maonyesho ya ujinga ya mtu mweusi kwenye box Kama hivyo ndiyo basi nitakuwa sijakosea nikisema Lissu ni mjinga kwa sababu ameshiriki vitu vya kijijnga kwa mjibu wa maelezo yako.

Lisu sio aliyeratibu huo ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura, bali jiwe na ccm ndio waliandaa ule ushenzi na uhayawani.
 
Wadau wa Jf mnakumbuka wakati wa kampeni Lissu alipinga suala la wamachinga kupewa vitambulisho ambavyo havina picha wala majina. Sasa baada ya kuumbuka kwa kutoa vitambulisho ambavyo havina picha wala jina la mhusika Serikali ya CCM imeamua kujirekebisha baada ya Lissu kuwashambulia wakati wa kampeni.

Kama mtakumbuka wakati wa kampeni rais JPM alidai vitambulisho vya wamachinga vinaweza kutumika kuchukua mikopo. Jambo ambalo lilileta taharuki.

Kwa kuwa Lissu aliwakosoa wanaCcm sasa wameamua kutengeneza vitambulisho vitavyokuwa na majina na picha za wamachinga.

Hii ni wazi kuwa sio kila hoja ya wapinzani haifai,ndio maana Ccm wamejirekebisha.
Isyu siyo picha wala jina - ni matumizi. Polepole alitoa hesaby Soko la Ndizi machinga anatozwa shilingi 1000 kwasiku, kwamwaka 365,000/=. Akiwa na kitambulishocha shilingi20,000/= hatozwi tena. Kama wewe umepita shule au ni mfanyabishara huelewi hapo?
 
Mnadhani hakuna asiyejua namna mlivyotumia vyombo vya usalama pamoja na tume yenu mbovu ya uchaguzi kuingiza kura bandia kwenye vituo vya kupigia kura, kupiga kura hewa kwa wagombea wenu na pia kuwatangaza makada wenu walio shindwa na kuwa washindi feki?

Kiama cheni kinakaribia. Ni suala tu la muda.
Kwani Lissu alizuiwa kuvitumia na ndiyo mjifunze siasA siyo majukwaani tu ni mikakati.Hata trump katolewA na vyombo vya aina hiyo.Chadema yamejaa majitu yasiyofahamu siasa
Hata 2025 mtapokea kipigo cha mbwa mwizi hadi mtakapojifunza siasa safi
 
Lissu ni Baba Lao!! Yeye ndiye kiumbe pekee mwenye uthubutu wa kumpa makavu muda wowote ule, yule malaika mkuu.

Baada ya kumaliza tu misheni yake ya kuwapiga za uso mafisi yetu, akajua hujuma za Kisutu zitamuandama! Huyo akaenda zake ubalozini! Kama kawaida yake, jamaa kichwa chake ni sawa na akili za wafuasi milioni 1 wa hicho chama cha mafisi;

Akapaa zake kwenda mahali salama!! Akirudi tena 2025, hakika patachimbika!! Nina imani kwa muda wote huu Mh. Tundu atakuwa ameshatengeneza tayari Baraza lake la Mawaziri! Karibu sana Mr. President 2025.
Huyo mme wake wa kibeligiji atamkubalia arudi tena 2025?
 
Back
Top Bottom