CCM yaitisha Kikao Kizito Maalumu cha kamati Kuu

Lucas huwa hupendi kuambiwa ukweli.
 
Kumbe na wewe umemstukia kada mwenzako kuwa yupo yupo tu ukada wake ni wa hapa napale tu.
 
Natamani litokee tetemeko la ardhi hilo jengo wanapofanyia kikao lizame chini ya ardhi ili Tanganyika yetu ipone.
 
Kama unawajua kwanini huwataji?
Wasiojulikana kwako wewe, polisi wanawajua ndiyo kazi yao wamesomea mambo ya intelijensia, na kama hawawajui wakitaka kuwajua wanaweza, mimi ukiniuliza kuhusu ujasiriamali nitakujibu mfano ukiniuliza kwanini biashara zinakufa nitskujibu vizuri hata basic electronics najua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…