Tetesi: CCM yalizwa na CHADEMA uchaguzi mdogo Uyui Tabora

Hao ni wanyamwezi wajinga! Hawajui kabisa kuwa hicho si Chama bali ni kampunitena kampuni ya watu wa kanda fulani!
Wanyamwezi hawadanganyiki tena.mwisho umefika. Watu wana njaa ,bei juu kila bidhaa mmekaa miaka zaidi ya 50 madarakani mnafanya nini umasikini umejazana kijijini. Hizi ni salamu tunatuma watanzania tumechoka na haya maisha.sanduku la kura litaamua.
 
Chadema kuna mipango thabiti kweli ya kuiondoa CCM madarakani 2020? Sio kwa siasa hizi za propaganda na matukio
Tutakaoindoa CCM madarani ni wananchi tuliochoshwa na umasikini katika nchi hii na siyo Chadema. Nadhani kwa mfano huu wa tabora utakuwa umenielewa.
 
Teh,kwa hyo leo tume imetenda haki? Tatzo chadema vigeugeu saana.kwa jinsi mnavo shangilia,mjiandae pia kushangilia matokeo ya urais 2020,ambapo ccm itaibuka kidedea
 
Mkuu je hawa wengne nao vp nao wana mgogoro Kama cuf?
Maana mi najua kuna vyama vinne vinashirikiana
Nccr tuko nao, tlp hawaeleweki maana tayari Mwenyekiti wao mrema kateuliwa Serikalini na kasema hakuna mtu anayefaa zaidi ya Magufuli , ACT nao hawaeleweki tumeona juzi Kada wao kitila nae kaingizwa kwenye system.
Hivi vyama ni rahisi sana kurubuniwa na serikali kutokana na njaa.lakini chadema kipo imara sana. Wengine hawaaminiki
 
Teh,kwa hyo leo tume imetenda haki? Tatzo chadema vigeugeu saana.kwa jinsi mnavo shangilia,mjiandae pia kushangilia matokeo ya urais 2020,ambapo ccm itaibuka kidedea
CCM haijawahi kushinda kwa haki tangu mwaka 2010.
 
Mkuu mbona sijaona kiti hata kimoja kwa nccr ambao unasema mko pamoja
 
cocochanel nakusalimia habari za muda huu??

Ha ha haaaaa

Unanisalimia kwenye uzi huu eeeh Mr. Chadema, nimefurahia kuona hayo matokeo yapo hivyo kwa sababu inawapa CCM muda mwingi wa kujipanga na kujua cha kufanya. Kuna mengi na natumaini wana watu wenye vichwa kuwapa maujuzi...kila kitu kinawezekana..si umeona wa ufaransa alianzaje kufika kupambana kea mara ya kwanza...

Mengi inabidi yafanyike awamu hii, wapo chini ya uongozi wa Raisi mpya sasa hivi na ni pia Mwenyekiti mpya wa CCM so kwa sasa ni vizuri sana ili waendelee kufunga kamba na sio kujisahau kuwa inaweza kuwa hivi na vile.

Ni muda sasa, ila washauri wao walio raia kuwaandikia humu cha kufanya hamtakiona au kukisoma JF...ha ha ha haaaaaa

Umekunywa kinywaji gani kusherekea!? Ha ha haaaa
 
Hahhahaha ccm mbele kwa mbele inamaana hata goli la mkono lilikua gumu......

Kwa hesabu za haraka hapo inamaana DED na DAS ni majipu.
 
Wapi Mh Lipumba na CUF yako?,Lipumba ona aibu tuachie chama chetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…