Tetesi: CCM yalizwa na CHADEMA uchaguzi mdogo Uyui Tabora

16.KIJIJI CHA NZUBUKA CCM 195, CDM 502✔
Nzubuka hawana shukrani,hivi hawajui kuwa bombadier zinatua Tabora na treni ya umeme itapita hapo??
mambo haya wangefanya watu wa Njombe labda...
We, tuache kabisa watu wa Njombe. Ukijipendekeza na ndege zako wakati tunaiaminia miguu yetu unadhani ndo utapata kura. Weka kula ndo upate kura...teh teh
 
Nimepitia post zote nione kiongozi yeyote wa CDM kama wamebariki taarifa hii ili nishushe matokeo kamili. Kifupi naona viongozi wameustukia mtego wa huyu Klorokwini.
 
Nawaomba Chadema wawe watulivu maana ukimya pia una nguvu ya ajabu.Semeni wasipowasikia,sisi wananchi tunasikia.Msilazimishe wakawaita waleta vurugu,sisi wananchi tunajua ni wakati gani wa kufanya nini!Aluta continua,hongera wana Tabora
 
Its beer O' clock somewhere. Chadema raha sanaa.
 
Nimepitia post zote nione kiongozi yeyote wa CDM kama wamebariki taarifa hii ili nishushe matokeo kamili. Kifupi naona viongozi wameustukia mtego wa huyu Klorokwini.
Fafanua,kwa maana jamaa kaleta uongo mtupu?!
 
Mbona taarifa ulizo update kama zmepingana na zile za mwanzo mfano mwanzoni kijiji namaba 16 chadema walishinda lakini ulivo update imeonesha kashindwa HUELEWEKI NA TAARIFA ZAKO MKU.
 
Tunatoa onyo:-
Wale wa idara ya kutumika tafadhalini msikubali kutumwa mkakubali kufanya hujuma.
Petroli inaweza kuhusika "dhis taim araundi"

Hatutavunja miguu.
Wewe nadhani utatangulia kuonana na akina akina marehemu kabla ya yote
 
hizi data ni za uongo,ccm imeshinda vijiji 14 na chadema 1.
 
Mbona nilisikia kwamba chadema inakwenda kujifia,sasa imekuwaje tena hapo unyamwezini?
 
Upotoshaji hauwasaidii chochote
Wilaya ya Uyui ilikuwa na Vijiji 15 vyenye Uchaguzi na Vitongoji 58
CCM imeshinda Vijiji 14 kati ya 15
CCM imeshinda Vitongoji 51
Chadema 7
Binafsi nilisimamia Kata ya Ibelamilundi iliyokuwa na vitongoji 6ambavyo vyote vile kwenda CCM
 
Sawa naona ushindi wa huko, kijiji au wapi tena panaitwaje? umekupa furaha. Ila enjoy kadri uwezavyo, wanaweza kuja kuwashinda mlikoshinda kwa sasa sehemu nyingi au niseme kote.
Uyui wilaya hii tabora huko ndio ngome za CCM. Si unajua maeneo mengi ya vijijini kwenye umasikini sana ndio CCM huwa inashinda uchaguzi? Inavyoonekana wananchi wamechoka Na hiki chama miaka zaidi ya 50 bado watu wana umasikini uliokithiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…