IseeView attachment 3206619
Hiyo ndio habari mpya toka mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwa Dkt Emmanuel Nchimbi ndio Mgombea mwezi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Ujao.
Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amesema Dkt Philip Esdori Mpango ameomba kupumzika,
Mabadiliko haya yatakuwa na effect kuanzia mwezi July baada ya Bunge kuvunjwa hivyo Dkt Mpango na Dkt Emmanuel Nchimbi wataendelea katika nafasi zao hizo hizo.
Ila hajavunja sheria yeyotekwa nini siyo P.Mpango? haijawahi kutokea tanzagiza raisi akabadilisha mgombea mwenza ngwe ya pili, nafikiri kuna kitu kinaendelea na sii kidogo kwenye nchi yetu, mficha ugonjwa kifo kitamuumbua …
Fuatilia historia, nyerere alikuwa na makamu wangapi?kwa nini siyo P.Mpango? haijawahi kutokea tanzagiza raisi akabadilisha mgombea mwenza ngwe ya pili, nafikiri kuna kitu kinaendelea na sii kidogo kwenye nchi yetu, mficha ugonjwa kifo kitamuumbua …
Hongera Sana Mama Samia umeupiga mwingi mno. Nchimbi ni jembe Kweli KweliView attachment 3206619
Hiyo ndio habari mpya toka mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwa Dkt Emmanuel Nchimbi ndio Mgombea mwezi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Ujao.
Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amesema Dkt Philip Esdori Mpango ameomba kupumzika,
Mabadiliko haya yatakuwa na effect kuanzia mwezi July baada ya Bunge kuvunjwa hivyo Dkt Mpango na Dkt Emmanuel Nchimbi wataendelea katika nafasi zao hizo hizo.
Labda mama kamuona kuwa "hana mpango"Mpango imekuaje tena?

Sasa yakitokea ya Magufuli nani atashika nafasi?View attachment 3206619
Hiyo ndio habari mpya toka mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwa Dkt Emmanuel Nchimbi ndio Mgombea mwezi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Ujao.
Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amesema Dkt Philip Esdori Mpango ameomba kupumzika,
Mabadiliko haya yatakuwa na effect kuanzia mwezi July baada ya Bunge kuvunjwa hivyo Dkt Mpango na Dkt Emmanuel Nchimbi wataendelea katika nafasi zao hizo hizo.
Na huyo ndio mgombea urais wa 2025!Hatimaye na nyanda za juu kusini wataonja urais.